Mapya yaibuka mauaji ya Aneth Msuya

Mapya yaibuka mauaji ya Aneth Msuya

Ila Jamaa aligegeda Sana Dada zetu... kwenye hotel zake unaweza kuta anao Wa 4 room tofauti na wote anapiga mgegedo kwa siku.

Pesa acha iheshimiwe!

Hiyo sio kazi yako kwasasa. Mwachie yeye na Mungu wake. Angalia maisha yako
 
Samahani lkn wana jf, hivi mbona nakumbuka kama wauwaji wa Eresto walikamatwa? sasa mbona kuna wachangiaji wengine wanadai wakikamatwa hawa wa Aneth ndio na wa Erasto watapatikana mbona sasa pasua kichwa?
Wauwaji wa erasto wameshakamatwa na kesi yao bado inaendelea ilihairishwa tu
 
Hili suala lingeishia kwa Erasto isingekuwa shida hivi..
Tatizo ni kwa nini huyu Aneth nae awawe! !???
Huyo mama sijui kama atachomoka hapo.
Kuchomoka atachomoka kwa uweza wa mungu maana mungu ndio hakimu kushinda mahakimu wote kwenye hii dunia na anahukumu kwa haki akisema ndio hakuna wa kusema hapana
 
Sema key concept ya habari yako sijaijua baDo..
Ni kama unatumia Hisia zaidi kuliko akili
Acha polisi wamalize kazi yao,masuala ya usalama ni mapana Zaidi
 
Duh, hii mada watu wamefunguka kupita kiasi, hoja ziko nyingi na wengine wanaonekana ni watu wa karibu sana na familia hiyo
Kuunganisha kwangu dot kunanileta hapa
1. Huyo Mke wa Marehemu na huyo Aneth aliyauawa Kigamboni walikuwa mashost, watu wanaoelewana sana na kama inavyosemwa kuwa alilelewa na huyo mke wa Erasto basi walikuwa wanelewana sana
2. Baada ya kifo cha Erasto, ambacho inaonekana kuwa Familia ya Erasto inakijua chanzo chake ambacho si Mke wa erasto, Ugomvi wa mali ulianza
3. Inaonekana Aneth hakuwa upande wa familia yake katika kumnyanganya mali wifi yake, yaani Aneth alikiwa kinyume na Familia yake, so inawezekana alikiwa anatoa siri za Familia yake kwa wifi yake mke wa Erasto
4. Inaonekana kuwa Familia ya Erasto haikupendezwa na ukaribu wa ndugu yao na wifi yake
5. Inaonekana/ au inawezekana kuwa mama Erasto kwa kushirikiana na ndugu zake walimuua Aneth
6. Kwa nini mama mkwe alimzuia Mke wa Erasto kuhudhuria msiba wa Wifi yake, kama aliweza kuhudhuria msiba wa mumewe angeshindwa vipi kuhudhuria msiba wa Wifi yake
7. Huyo house girl alikimbilia wapi baada ya kutoka hapo kwa marehemu?, alikuwa na mawasiliano na nani?
8. .................
 
Mmmmh wewe sasa ni wale wale kutoka kule kule kwa ndugu yenu alieko mahabusu.

Mama mzazi amuue binti yake!!!! Hata kama unataka kumtetea huyo mama alie kuwepo mahabusu lkn sio kwa utetezi huu jamani!?!?!

Kesi ipo mahakamani basi tuache tu sheria ichukue mkondo wake.... Au kama una utaalam wa sheria unaweza kwenda kumsaidia ndugu yako huko....... Kifo cha aneth kilikua kibaya sana kuwahi kutokea.... Angeweza kurudi na kusimulia bado tu machungu yangekuwepo kwake. ....
 
Duh, hii mada watu wamefunguka kupita kiasi, hoja ziko nyingi na wengine wanaonekana ni watu wa karibu sana na familia hiyo
Kuunganisha kwangu dot kunanileta hapa
1. Huyo Mke wa Marehemu na huyo Aneth aliyauawa Kigamboni walikuwa mashost, watu wanaoelewana sana na kama inavyosemwa kuwa alilelewa na huyo mke wa Erasto basi walikuwa wanelewana sana
2. Baada ya kifo cha Erasto, ambacho inaonekana kuwa Familia ya Erasto inakijua chanzo chake ambacho si Mke wa erasto, Ugomvi wa mali ulianza
3. Inaonekana Aneth hakuwa upande wa familia yake katika kumnyanganya mali wifi yake, yaani Aneth alikiwa kinyume na Familia yake, so inawezekana alikiwa anatoa siri za Familia yake kwa wifi yake mke wa Erasto
4. Inaonekana kuwa Familia ya Erasto haikupendezwa na ukaribu wa ndugu yao na wifi yake
5. Inaonekana/ au inawezekana kuwa mama Erasto kwa kushirikiana na ndugu zake walimuua Aneth
6. Kwa nini mama mkwe alimzuia Mke wa Erasto kuhudhuria msiba wa Wifi yake, kama aliweza kuhudhuria msiba wa mumewe angeshindwa vipi kuhudhuria msiba wa Wifi yake
7. Huyo house girl alikimbilia wapi baada ya kutoka hapo kwa marehemu?, alikuwa na mawasiliano na nani?
8. .................
Impossible case. ...no way and haiwezekani kwa mama yeyote duniani
 
Hili suala lingeishia kwa Erasto isingekuwa shida hivi..
Tatizo ni kwa nini huyu Aneth nae awawe! !???
Huyo mama sijui kama atachomoka hapo.
Una ushahid aliyeua ni uyo mama?Mim na wew hatujui kitu lakin pia usihukum kwa vitu usivyovijua,anza kufuatilia baadhi ya michango humu,halaf kaa pembeni uangalie movie
 
Duh, hii mada watu wamefunguka kupita kiasi, hoja ziko nyingi na wengine wanaonekana ni watu wa karibu sana na familia hiyo
Kuunganisha kwangu dot kunanileta hapa
1. Huyo Mke wa Marehemu na huyo Aneth aliyauawa Kigamboni walikuwa mashost, watu wanaoelewana sana na kama inavyosemwa kuwa alilelewa na huyo mke wa Erasto basi walikuwa wanelewana sana
2. Baada ya kifo cha Erasto, ambacho inaonekana kuwa Familia ya Erasto inakijua chanzo chake ambacho si Mke wa erasto, Ugomvi wa mali ulianza
3. Inaonekana Aneth hakuwa upande wa familia yake katika kumnyanganya mali wifi yake, yaani Aneth alikiwa kinyume na Familia yake, so inawezekana alikiwa anatoa siri za Familia yake kwa wifi yake mke wa Erasto
4. Inaonekana kuwa Familia ya Erasto haikupendezwa na ukaribu wa ndugu yao na wifi yake
5. Inaonekana/ au inawezekana kuwa mama Erasto kwa kushirikiana na ndugu zake walimuua Aneth
6. Kwa nini mama mkwe alimzuia Mke wa Erasto kuhudhuria msiba wa Wifi yake, kama aliweza kuhudhuria msiba wa mumewe angeshindwa vipi kuhudhuria msiba wa Wifi yake
7. Huyo house girl alikimbilia wapi baada ya kutoka hapo kwa marehemu?, alikuwa na mawasiliano na nani?
8. .................
Pamoja na id yako,lakin kuna kitu umekinote,niseme tu kuwa tunalingana kimtazamo lakin pia tusihukum kwa kusikia
 
Impossible case. ...no way and haiwezekani kwa mama yeyote duniani

Kaka kwenye issue za mali na familia zilizobubikwa na tamaa iliyozidi mipaka nawezekana kabisa, kaka doubt kubwa iko kwa huyo maid wa Aneth, huyo mke wa marehemu hamjui wala hana uhusiano na huyo maid, huyo maid aliletwa na mama wa marehemu na ndio anamjua kwa muda mrefu huyo mama kakaa na maid zaidimya miaka kumi ndio akamleta kwa mwanae WHY?, sasa iweje Mke wa Erasto apange kumuua Aneth na Maid akae kimya while yuko ROYAL na karibu mno na mama wa Aneth, si angesema tu mpango uliopo?
Kwa ilivyokiwa sio raisi kwa maid kuwa timu moja na mke wa marehem, lakini ni rais mno kiwa timu moja na mama Aneth, NI SIMPLE LOGIC TU

Cc: HOPECOMFORT
 
Unbelievable kwa kweli
 
I

I strongly agree,wamama wa mererani wana Tamaa kubwa sana ya Mali Za Watoto wao they can do anything for money iwe kwa kuua Au kwa kua Na uhusiano Na mtoto wake wa kiume kimapenzi yupo radhi ajilengeshe kwa mtoto kisa mali
 
Kaka kwenye issue za mali na familia zilizobubikwa na tamaa iliyozidi mipaka nawezekana kabisa, kaka doubt kubwa iko kwa huyo maid wa Aneth, huyo mke wa marehemu hamjui wala hana uhusiano na huyo maid, huyo maid aliletwa na mama wa marehemu na ndio anamjua kwa muda mrefu huyo mama kakaa na maid zaidimya miaka kumi ndio akamleta kwa mwanae WHY?, sasa iweje Mke wa Erasto apange kumuua Aneth na Maid akae kimya while yuko ROYAL na karibu mno na mama wa Aneth, si angesema tu mpango uliopo?
Kwa ilivyokiwa sio raisi kwa maid kuwa timu moja na mke wa marehem, lakini ni rais mno kiwa timu moja na mama Aneth, NI SIMPLE LOGIC TU

Cc: HOPECOMFORT
Police huwa hawakurupuki kwenye swala zito kma hili....kuna shida tena kubwa tu kwa mariam
 
Back
Top Bottom