tofali
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 4,010
- 3,422
Hahahaha tena mwanamke asiyeona tabu kukaa baaa nawewe kila siku mpk saa saba ilihali ana watoto nyumban....Mwanamke anaemjua mungu ndo kila kitu! Unaoa Mke anskunywa tungi unategemea nn
Hahahaha tena mwanamke asiyeona tabu kukaa baaa nawewe kila siku mpk saa saba ilihali ana watoto nyumban....Mwanamke anaemjua mungu ndo kila kitu! Unaoa Mke anskunywa tungi unategemea nn
Yes ni kumuomba Mungu ila kutofautisha ni rahis na unaweza date ht wasichana kumi unachambua..sasa wewe ht siku moja mmekaa hata kuombea chakula tu anaona tabu...ikifika jpili unamcall ndio kwanza kalala anakwambia bby nimechoka jana tulihave fun sana somewhere....ht siku moja hakupigii kukumbusha bby church usisahau kwenda kesho ...tupa kulee hafai kwa matumiz ya sasa wala baadaeKupata mke mwenye hofu ya Mungu siyo jambo jepesi, ni kumuomba Mungu tu.
fyosaSiamini kama huu uzi una page zote izi
Hii familia kumbe ilikuwa maarufu ivi....
Sijui ni utajiri wa marehemu erasto... Au
Uzuri wa anathe... Au
Aina ya vifo vililivyotokea
Unadhani Shetani nini?,,,ni MTU kama wewe ila hutamjua hadi afanye TukioNdugu wa damu waliimuua dada yao shetan huyumhh
Mungu uliye Mkuu onyesha wauaji Wa huyu Dada Aneth. Nimesoma post nyingi tu lakini sijapata inayomhusisha mumewe Anathe ambaye tuliambiwa naye ni mtuhumiwa wa mauaji.hii ni epsode 12 kama hukubahatika za nyuma tafuta kwanza ndio utaelewa kilichoandikwa
Mimi naona nita pass kwa mume wake Annet maana hiyo familia ya Msuya tayari ina mikiki mingi, unafikiri huyo kijana ataiweza? Maana hiyo familia ina pesa. ...huyo kaka hana nguvu yeye kaachwa na mke....Mungu uliye Mkuu onyesha wauaji Wa huyu Dada Aneth. Nimesoma post nyingi tu lakini sijapata inayomhusisha mumewe Anathe ambaye tuliambiwa naye ni mtuhumiwa wa mauaji.
Nlishangaa msichana beautiful kama yule kuachana na mume wa ndoa bado mdogo. Mungu amtee tu kaka wa watu atoke selo. Sorry naye alikuwa anaishi Dar?Mimi naona nita pass kwa mume wake Annet maana hiyo familia ya Msuya tayari ina mikiki mingi, unafikiri huyo kijana ataiweza? Maana hiyo familia ina pesa. ...huyo kaka hana nguvu yeye kaachwa na mke....
sijui kwa kweliNlishangaa msichana beautiful kama yule kuachana na mume wa ndoa bado mdogo. Mungu amtee tu kaka wa watu atoke selo. Sorry naye alikuwa anaishi Dar?
Mimi naona nita pass kwa mume wake Annet maana hiyo familia ya Msuya tayari ina mikiki mingi, unafikiri huyo kijana ataiweza? Maana hiyo familia ina pesa. ...huyo kaka hana nguvu yeye kaachwa na mke....
Polisi hawafanyi kazi kwa kutumia taarifa za kimbeya,polisi wana weledi mkubwa sana,waachieni wafanye kazi yao baada ya hapo ndio mtajua ukweli,acheni kuwa mabush cid.Kwa kweli Marry kaeleza vizuri sana kiasi cha kuwaongoza hata wapelelezi wakajua pakuanzia au kuendeleza.Mke wa Erasto na kama walivyo wengi hakutumia busara hata kidogo.Hii inaonyesha hata marehemu Erasto akiwa hai huyu mkewe alikuwa anachepuka sana.Kwa kipindi kifupi hivi asingeweza kutafuta wa kumwoa kwani wazazi na ndugu bado walikuwa na machungu ya kumpoteza kijana alietegemewa na wote.Kama hamu zilimzidi angekutana na bwanake kwenye vyumba vya hoteli zake.Kwa vyovyote vile hasira za mawifi na wakweze ziliamshwa kwa kuona mali za ndugu yao Erasto zinaenda kumnufaisha mwanamme mwingine asiyezitolea jasho.Hili kibinadamu halivumiliki na ndicho kilichosababisha hata baba mkwe wake kuacha nadhiri yake na kutafuta ukweli wa kifo cha mwanae kwa waganga na kwa vyovyote vile ingawa siko akilini mwake alikuwa anataka kujua kama mkwewe alihusika na kifo hicho kwa kuona hakikumgusa sana na kutafuta mme mwingine.Huyu mke wa marehemu Erasto inaonyesha hayuko karibu na watu vinginevyo wangemshauri aache mpango huo kwani bado mapema na anao watoto wa kulea.
Well saidKulikua kuna Uvumi kua anatembea na mume wa mtu akaonywa na mwenye mume lakini marehemu hakuacha kilichopo huyo mume wa mtu na mkewe wasakwe na wao waende wakasaidie police sidhani Kama mama Simon ameusika japo tuache police ifanye uchunguzi, marafiki wa anathe wakaribu wangesaidia kumtaja huyo mume wa mtu alikua Ni nani
Ndio hivyo maana hakuna namna na waliwe tu.Ahahhaa....KARANJA....hii bonge moja ya taktiki....unataka kumnyegesha ISIS...ahahaa....maeneo yake ya PM! lol
Ushìndwe na ulegee Karanja 007...duh! Haki ya Mungu.Ndio hivyo maana hakuna namna na waliwe tu.
Siyo rahisi bana. ....hakima na busara mbele ndugu yangu. ...Ahahhaa....KARANJA....hii bonge moja ya taktiki....unataka kumnyegesha ISIS...ahahaa....maeneo yake ya PM! lol
Mamii sikumaanisha ni wewe,ilikuwa ni kumchangamsha rafiki yangu,wewe nakuheshimu sana tena sana na nafuata masharti yako mamii,siwezi kabisa kukushushia heshima.Ushìndwe na ulegee Karanja 007...duh! Haki ya Mungu.
Amen!Mamii sikumaanisha ni wewe,ilikuwa ni kumchangamsha rafiki yangu,wewe nakuheshimu sana tena sana na nafuata masharti yako mamii,siwezi kabisa kukushushia heshima.
Kulikua kuna Uvumi kua anatembea na mume wa mtu akaonywa na mwenye mume lakini marehemu hakuacha kilichopo huyo mume wa mtu na mkewe wasakwe na wao waende wakasaidie police sidhani Kama mama Simon ameusika japo tuache police ifanye uchunguzi, marafiki wa anathe wakaribu wangesaidia kumtaja huyo mume wa mtu alikua Ni nani