Mapya yaibuka mauaji ya Aneth Msuya

Mapya yaibuka mauaji ya Aneth Msuya

Mr Isis kuna watu wanakuwa na roho ya kujisukuma yaani utafikiri roho zao zimekwama kwenye tope zito hadi wanashindwa wanashindwa kuzitoa zilipokwama,kwamfano km ulikuwa na kipato cha shi/100000 kwa mwezi lazima mapato yako ya asilimia 25 yatahalipika baada ya kupokea hilo laki,nahata ukiwa na milioni moja asilimia itapanda tu,na unakuta mtu anaanza kuwa na roho ya kutawaliwa na pesa sio kutawala pesa,sasa hapo unakuta mtu kwakuwa pesa iko km alikuwa anakula chakula cha nyumbani sasa anahamia hotelini na raund za hoteli nitafauti na za geto, na akirudi home lazima abague chakula kisa pesa,amezoea chakula chenye sahani sita,mfano .pirau ya mbuzi na kachumbali kwa mbali,na ukirudi geto pirau hiyo hiyo inapikwa na mwezako lkn unapewa na chai ya maziwa so unaanza kugomba kachumbali iko wapi,na hapo ndipo amni inaaza kutoeka kwa mbaaali! Lkn kwakuwa pesa iko km naona poa,tafautisha hoteli unakula kwanza ndipo ulipe na nyumbani unatoa kwanza ndo ule,lkn ukichanhanya tu hiyo pesa yako lzma iwe na ugomvi,je hapo hujatawaliwa na pesa?kwasbbu matumizi hujui unaiga! Lzma upate taabu na asie mwelewa atasema Shetani! Na km umepata 1000% ukatoa 10% fungu la kumi hiyo pesa yako huoni ina ulizi mkubwa na mipango dhabiti lazima uwe nayo!
 
inapaswa uelewe kuwa hii familia tayari ina visasi na mke wa marehemu, kama kuna mengi yanaendelea kugombea mali upande mwingine kutoridhika, yawezekana huyo mama hakwenda kwa sababu ya ugomvi, vaa viatu kama umeolewa kwenye familia kama hii ungrfanyaje. Kumbuka binti anapoolewa kaka yake alikuwa hai, marehemu kipenzi cha kaka na familia wewe ni mke, upende husipende kulinda familia wanao utakuwa mstari wa Mbele kushiriki kwa upendo hata wa kinafiki, si husiki si wajui, najibu kwa logic za matukio na muendelezo wa taarifa
Sasa kama sio kukogombania mali ni nini, sika mmewe uumesema ameandika mke wake akitaka kuolewa aachie mali Sasa si achie akaolewwe aanze moja
 
Kuna mtu amewahi kuniambia mimi ni mwalimu mzuri sana.
Tena akanipiga msasa wa mambo ya kiintelijensia.
Hivyo hapo nimeelezea kwa kutumia taaluma mbili...ualimu na intejensia.

Heshima zikufikie popote ulipo Mdakuzi
Na ile fani ya madera na abaya?
 
Sio dadake mkewake bana ni dadazake wote erasto hadi mamasaimoni akapeleka malalamiko ukweni lkn jibu alilopewa ndilo linamtesa hadi leo ,kwaujumla ushilikina ulitawala saana
 
kwani sg ni nini si majina ya watoto simon and gloria?
Mkuu upo sahihi kabisa, katika mali za weka majina ya watoto.

Robert kiyosaki anasema "rich people don't put anything under your name" this is financial IQ.
 
Hakuna viashiria vyovyote alivyokutwa navyo mpaka hao police hawasemi chochote na wamechukua magari yake 2 sasa magari yake na mauwaji yanahusiana na nn
Rafiki..Upelelezi ni Fani...kesi kama hizo watu waliofaulu vzr kwenye mambo ya Upelelezi ndipo wanapochukulia Credit hivi unajua wapelelezi wanaweza kufatilia hata ganda la MUWA ulilokula mwaka Jana lengo nikuunganisha dots....Kwahiyo usishangae kuchukuliwa magari mawaili...kama hahusiki ataachiwa tu....sema tatizo la upelelezi hakuna muda maalum wakukaa ndani sababu kila jiwe lazima liinuliwe kujua ukweli ulipo
 
Nazidi kupata sababu za kuto oa

Wakuu endeleeni kuchochea moto mpaka niwake tamaa kubwa ya kuto oa.
Oa, ila weka majina ya watoto katika mali zako. Hapa utakuwa mpiga stop mke ambaye ni golddigger.
 
Kwanza mm kama hilo zoezi la mariamu kuumua wifi yake sio kweli kabsa kwangu nakataa hadi siku ya kiaama,,kwanza ebu kila mtu ajiulize baada ya mazishi mamake aneth alitoka mererani kwenda dar na hadi leo hajarudi pili yule mfanyakazi wa ndani kukamatwa nikwanini mama aneth na dadazake aneth waliomba wamhoji faraga? Je hayo maongezi yalilekodiwa na kujua walizungumza nini? Je polisi inajua hiyo faraga walizungumza nini na huyo mfanyakazi wa ndani?kwasbbu huyo msuchana kutoka kwao hadi nyumbani kwa mamake aneth kuna umbali wa 149mt nikama jurani na usitoshe yy mamaaneth ndie waliomtafuta huyo housegiry kwenda kufanya kazi kwa aneth,na lingine ukiangalia mkewa wa erasito anakaa arusha na kutoka arusha hadi nyumbani kwao mererani ni 64km,je mwenye ukaribu wa kushawishi ubaya kwa house girl ni nani kati ya mama erasto na mke wa erasto? Jamni yaani usilolijua ni usiku wa giza!! Mbona swala liko wazi jamni ebu vyombo vya dola nawaomba tumieni akili saana kwenye hii pointi kuna tagerti iko hapo!! Chazo cha hayo yote nikwamba kwanza babake marehemu aliapa mahakamani kwamba baada ya erasto kufa amemwachia mungu! Na mkewa erasto akawambia mawifi km mnataka gari kwaajiri ya ushahidi mahakamni mbona baba mkwe amekataa na amesema amemwachia mungu basi na Mimi pia nimesema naachana na hiyo kesi,ss hapo ndipo mawifi wakachachamaa!! Na mkewamarehemu akaona aolewe na mwaume mwingine,na waliposikia kwamba mke wa marehemu ameolewa na mtu mwingine sasa ikawa ni kero hadi kwa mama aneth, hasra zikapanda kwa ndugu hususani mawifi, na ndio maana walimpiga marufuku kuja kuzika wifi yake siokwamba yy ndo aliktaa apana,mamakemarehemu alisema kabla ya aneth hajafikwa na mauti akimuona mke wa marehemu anatamni hata ampigie ukunga kisa ana bwana mwingine ambae anakula Mali ya mwanae erasto,ndo chazo cha kutohudhulia msiba wa aneth sio vingunevyo,na baba yake baada ya kusema amemwachia mungu kwa ajiri ya mauaji ya erasto na akakiuka na kuanza kwenda tena kwa waganga sasa kilichompata tena mzee wa watu nimungu anajua,sijui kafanyeje mikono yote imeungua na moto hata wiki haijaisha,je na hiyo ni mkewa erasto ndo alimuunguza???? Jambi kumi ni kumi lkn ukitoa sufuri inabaki moja sio kumi tena!!!! hausegirl amesomeshwa na mama aneth na dadazake aneth wa sio vinginevyo wadau,mamaaneth arudi tu mererani aje ampeleke bwanake hospitl kaungua mikono
Hapa kama kuna ukweli maana umefunguka sana...!!
 
Mkuu umeongea ukweli wote hapa istoshe mawe ya lemakoo ndio yalimyanyua mpka akajenga sg hotel.baadae ndio akaanza kupata mawe ya bomu kutoka tanzaniteone ambayo ndio yalimuweka juu kiuchumi...watu wanaongea hapa ila kiundani hawajuikua jamaa kapambana sana kimaisha ingekua hela yke inashida cdhani kma hiyo mali leo hii ingebakia
Kuhusu Ole Makoo siyo madini yake yaliyomtoa Erasto. Sipendi kuzungumzia issues za ndani za watu ila ili kuweka kumbukumbu ntaongea ninalolifahamu.

Erasto alikuwa anatoka Arusha alipofika kona ya Kia kwenda Mirerani akamkuta hapo mmasai akiomba lift. Akampa wakaenda wakiongea, wakaelewana kuwa Erasto atampa mtaji Ole Makoo wa kununua rough Tanzanite na akafanya hivyo. Ole makoo akawa ameibuka kuanza kupata utajiri akiwa kama nyoka wa Erasto.

Erasto akawa ameshajenga guest house mirerani ndipo Ole Makoo akawa anafadhili mgodi wa Simon Meshack, madini yakatoka Erasto akapata japo cyo kivile. Kilichompa utajiri mkubwa ni wafanyakazi wa tanzanite one kuanzia miaka ya 2000, walikuwa wakiuza madini at a very cheap price. Wafanya kazi walikuwa wanaiba production let say nusu kiroba cha tanzanite, halafu hawajui bei. Mtu anauza jiwe kg moja kwa milioni 30 au 50...utaacha kutajirika ukizingatia yeye Erasto aliikamata hiyo channel vizuri?

Kuhusu mawe ya bomu, Erasto alifaidi kidogo sana na hapa ndipo palizaa ugomvi wake na Chusa. Mawe ya bomu aliyopata mengi ni kuanzia 2012-2013 almost mwaka mmoja na miezi michache kabla ya kifo chake. Na wakati huu alishakuwa mbali kiuchumi.
 
Erasto Simon Msuya aliuawa tarehe 07/08/2013.

Aneth Simon Msuya aliuawa tarehe 27/05/2016.

Huyu Erasto alishafariki na hana uwezo wa kujieleza kuhusu hayo anayotuhumiwa kuwa aliyafanya. Mimi nilibahatika kuzungumza nae kuhusu hiyo tuhuma yangu "incest". Nakumbuka alinijibu hivi "kaka katika jambo linaloniuma roho katika maisha yangu ni kupewa kashfa kuwa natembea na dada yangu. Lakini ipo siku Mungu atawadhihirishia hao mahasimu wangu ukweli kuhusu hilo jambo. Hebu chukulia picha wewe utembee na dada yako wa kuzaliwa nae, utaanzaje na wanawake wamejazana kila kona? Nilianza kushika pesa nikiwa mdogo wakati niko Advance, Makumira Sec, nilikuwa nikitoka shule kipindi cha likizo naenda kuzama mgodini kama nyoka wa viongozi wa MAREMA, nikawa napata hela, isipokuwa watu wanaona kama nilipata pesa ghafla kumbe nimefight sana ila Mungu ndiye anayejua".

Kwahiyo moyo wa mwanadamu ndio unaojua kilichpo ndani. Tuache kuzungumza maneno ambayo hayana ukweli wala faida. Tuzungumzeni tunayoyafahamu na tusiyoyafahamu tusitunge uongo ili uonekane unajua.
Mkuu kutembea na Dadaake ni Kashfa...hata kama nikweli asingekukubalia...kwa sisi tunaojua habari za matajiri hilo lakufanya maagano sio geni...kuna wanaoua..watu kwaajili ya Kafara..wengine wanabaka watoto...nk...kwahiyo kuongea nae nakukuthibitishia kuwa sikweli ilitakiwa ujiongekeze
 
Mama saimon hajaolewa na hao ndugu hata wakipewa Mali hawatawasaidia watoto wa kaka yao coz walishawakana kuwa hawawatambui kama watoto wa familia wakipewa hizo Mali watoto wa marehemu watateseka na pia erasto alitafuta Mali kwa ajili ya familia yake mkewe na watoto na sio ukoo mzima wa wasuya mirathi yao walishapewa Mali zilizobaki erasto aliandika ziwe chini ya uangalizi wa mke wake kwa ajili ya watoto wake
Watoto baadhi wapo Australia wanasoma na wanaishi kwa dada yao yule aliyetoaga speech kwenye msiba, Esther Msuya. Kama waliwakana kuwa hawatawasaidia watoto wa kaka yao inakuwaje wapo nao huko?
 
Mkuu upo sahihi kabisa, katika mali za weka majina ya watoto.

Robert kiyosaki anasema "rich people don't put anything under your name" this is financial IQ.
kabisaaa maana mambo yakishaharibika watoto ndo wanaumia mimi mpaka vitanda na magodoro naandika jina la mtoto wangu maana dunia hii imevaa mlegezo........... hata mie babangu alivyofariki ilikuwaga mbinde kama kama sio mamangu kuwa ngangari tungekuwa watoto wa mitaani na mbaya zaidi walitaka kumrithi na mama wapare swain sana, eti mama arithiwe na mwingine na sisi watoto kila mtoto aondoke na mtu na mali.... hahaha mamangu sitaacha kumshukuru alisimama kama kifaru cha kivita hakuna aliyegusa hata kijiko cha chai waliishia kumlaani na laana zao wala hazijamfikia ........
 
Back
Top Bottom