feitty
JF-Expert Member
- Jul 10, 2015
- 2,594
- 4,198
Sahihisha. .....sema Wauaji wa kibongo huua bila kukusudiaWAuaji wa kibongo huua bila kupangilia

Mapenzi kwao siyo diri shekeli ndiyo bigdeal..! Mpare, mchaga, muarusha, mumeru ata wamburu ni mafedhuli sana hawa wamama![]()
![]()
![]()
haya mkuu

Msilolijua ni usiku wa kiza!
Hii kesi haiko ki wepesi hivyo kama inavyoonekana.......
inayotakiwa ni mali ila na visasi vipo tena vibichi!
Kuna watu ni zaidi ya wanyama.......
... Cain aliambiwa... dhambi inakuotea mlangoni pako!
Za gizani zile.... masharti penzi mpaka na dada unadhani ndugu watakosa zitaka wakati na "wao"
kawezesha?
Na mwisho ni kupukutika watu na mali...
kumaanisha...
mke alichangia dhahiri ila na dada alichangia kwa siri!
Vita haitakwisha... mpaka koo na koo...
Habari kubwa hii.....!

Jaji Feleshi aliiondoa kesi mahakamani baada ya wapelelezi kuvuruga ushahidi, aligundua kuna hila na pesa inatembea akaiindoa kesi na akaagiza upelelezi upya na hivyo kesi kufunguliwa upya, asingefanya vile serikali ingeshindwa asubuhi tu.hata ivo mtuhumiwa wa ile kesi ya mauaji ya erasto msuya alifutiwa mashtaka ya mauaji hayo na DPP kwa wkati ule elieza felishi.ila malipo APA APA duniani naamini kwa wakati huu ao waliohusika kwa aneth sheria itafanya kazi yake
Kwanini ataje kwa chuki binafsi.. situation zote zinaonyesha kuna kitu kahusika nacho, kwann asihusike katika kumzika wifi yake? huoni kuna tatzo hapo! na kwann atajwe yeye? lazma kutakua kuna kitu, kama hajahusika basi kuna kitu anajuayeah name nimehisi hilo, yawezekana aliona huyo ndio kikwazo cha kuipata mali kama alivyokusudia. Let wait maana yaweza kuwa katajwa tu kwa chuki binafsi
Za gizani zile......masharti mpaka mfanye mapenzi na dada..
Dada kashiriki kwa siri..mke kashiriki kwa dhahiri
kweli hiyo vita ni kubwa.
na dunia ina mambo kama wasemavyo watu pori..![]()
![]()
Haya makabila mawili (sitaki kuyataja) ni shida sana, wanatamaa sana ya hela kwa waume zao, Mkumbuke pale arusha Mianzini Ilkiurei kuna mkaka alikuwa mfanyabiashara wa madini jamaa alikuwa mhaya aliuwawa hivyohivyo kwa bastola, pale arusha Moshono tena jamaa mwingine aliponea kuuwawa baada ya bodaboda 2 kumtokea na kumpa hela ambazo mkewake aliwapa ili wammalize kabisa jamaa alimshitaki mkewe na kpelekwa mahabusu. sasa pateni picha na hii ya Erasto msuya aliuwawa na bodaboda, wanawake acheni tamaa. Halafu hawa wanawake wanatabia moja hawataki kuzaa sana na ww wanakwambia mzae mtoto 1 tu au 2 tu wanamipango wanayojua wao, wito kwa wafanya biashara wa madini mzalishe mwanamke hadi mayai yote yaishe tumboni hata 10 azae tu na uwe na mke wa pili ajue kabisa atakoma ubishi wa mchezo na akili wanazo fundishwa, haya makabiala hatari sana, akikataa piga chini maana sio dhamana kwako na kwa wazaziwako.Ni August 9, 2016 ambapo stori inayochukua headlines kwenye magazeti ya Tanzania ni kuhusiana na kukamatwa kwa mke wa marehemu wa bilionea Erasto Msuya.
Kwa mujibu wa gazeti la Tanzania Daima limeripoti kwamba Miriam Msuya alikamatwa
juzi na Jeshi la Polisi nyumbani kwake Sakina Arusha kisha kusafirishwa hadi Dar es Salaam kwa uchunguzi zaidi kuhusu tuhuma za mauaji ya Aneth Msuya ambaye ni dada wa bilionea Erasto Msuya.
Gazeti la Tanzania Daima leo August 9 2016 limeripoti kuwa mke wa Msuya alikamatwa baada ya msichana wa kazi wa marehemu Aneth Msuya kumtaja kuhusika. Mfanyakazi huyo wa ndani ni mmoja kati wa watu wanaoshikiliwa na polisi kwa tuhuma za mauaji
hayo.
Sasa millardayo.com & Ayo TV imempata kamanda wa polisi Arusha Liberatus Sabas na kayaongea haya;
"Nadhani kama mtakuwa mnakumbuka hilo tukio lilitokea jiji Dar es Salaam
kwahiyo hapa baada ya uchunguzi kufanyika jeshi la Polisi likamkamata mke wa marehemu Erasto Msuya ambae ni Miriam Msuya na kusafirishwa Dar es Salaam kwa ajili ya uchuguzi wa kina, alikamatwa Alhamisi iliyopita. "
ni mtu wawapi huyo mwanamke? nyie mnaoaa angalieni na wanawake wa kuoa sio mnaoaoa tuHUYO MWANAMKE MAMA SAIMON NIMEFANYA KAZI NAYE NA NINGESHANGAA KAMA ASINGEHUSIKA NAMJUA VIZURI TABIA ZAKE MI ALISHAWAHI KUNIKAMATIA BASTOLA................ WACHA AISOME NAMBA.KWANZA MUMEWE ALIVYOFARIKI HATA KABLA MACHUNGU HAYAJAISHA ALITANGAZA NDOA NA MTU MWINGINE NA ERASTO HAKUWA MUME WA KWANZA ,,,,,,, ALIOLEWA MUME AKAWA HANA MKWANJA WA KUTOSHA ERASTO KAJA KAMUOA.................
KWANINI UMEBADILISHA AVATAR PICHA YAKO WEWEE?? IRUDISHE FASTAHAHA
GT achana nao hao wameamua tu kukuzingua ukasirikeNaomba nikujibu kwa upole kwamba kulikuwa na makosa kwenye hiyo post yake , nikaliona kosa nikamweleza kupitia reply hii naye akaliona na kulirekebisha
Nitakuwekea uone ni nani kakurupuka kati yangu mimi na wewe
Unavyohukumu ndugu unakijua chanzo?Kugawana mali inawezekana,kwanini mtu asizungumzie kugawana mpaka aue?mwishowe wote hawatazila hizo mali,wamachame wameacha wapare ndiyo hatari.
Inakuwa hadithi ya"MTAKA YOTE KWA PUPA,HUKOSA YOTE"
Usikurupuke,soma mada fuatilia michango ya watu,huu ni mjadala,kama huna la kuandika pita kimyaUnavyohukumu ndugu unakijua chanzo?
nhahahhahaaaHaya makabila mawili (sitaki kuyataja) ni shida sana, wanatamaa sana ya hela kwa waume zao, Mkumbuke pale arusha Mianzini Ilkiurei kuna mkaka alikuwa mfanyabiashara wa madini jamaa alikuwa mhaya aliuwawa hivyohivyo kwa bastola, pale arusha Moshono tena jamaa mwingine aliponea kuuwawa baada ya bodaboda 2 kumtokea na kumpa hela ambazo mkewake aliwapa ili wammalize kabisa jamaa alimshitaki mkewe na kpelekwa mahabusu. sasa pateni picha na hii ya Erasto msuya aliuwawa na bodaboda, wanawake acheni tamaa. Halafu hawa wanawake wanatabia moja hawataki kuzaa sana na ww wanakwambia mzae mtoto 1 tu au 2 tu wanamipango wanayojua wao, wito kwa wafanya biashara wa madini mzalishe mwanamke hadi mayai yote yaishe tumboni hata 10 azae tu na uwe na mke wa pili ajue kabisa atakoma ubishi wa mchezo na akili wanazo fundishwa, haya makabiala hatari sana, akikataa piga chini maana sio dhamana kwako na kwa wazaziwako.
Story nzima inaonesha tangu afariki kaka wa marehemu familia imekuwa na mgogoro wa mali, na huyu mama alishinda kesi, kwa chuki ndani ya familia yawezekana kuna kitu kilisababisha, soma nyuma kuna taarifa mamamkwe alisema alimwaona atakufa na pressure, isingekuwa busara akaenda angekufa mama mtu mgekuja na mengine, ila pia wanadai alishikiriki kwa mali kufanikisha mazishiKwanini ataje kwa chuki binafsi.. situation zote zinaonyesha kuna kitu kahusika nacho, kwann asihusike katika kumzika wifi yake? huoni kuna tatzo hapo! na kwann atajwe yeye? lazma kutakua kuna kitu, kama hajahusika basi kuna kitu anajua
Mkuu kuna mtu amesema hiyo mali ni ya baba yke ndio nami nkamwambia ukweli kua jamaa kaanza mbali na mawe alipata kwa flani ndio yakamuweka kwenye ramaniKinachoongelewa hapa ni kifo cha Dada msuya sasa naona wachambuzi Wa utajiri wake alikoanzia wametia timu.
Wamesahau kwamba mafaanikio ya NTU ni siri yake na Mungu wake