Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 34,743
- 101,247
Pisi za Wakanda
Pisi za Wakanda
Nchi za Afrika ufisadi hauwezi kuishaHuyo Lulu alikuwa mtu wa low profile na rekodi zake za nyuma zimefichwa sana, naamini huyo wana udugu na rais Mnagangwa. Na kuna uwezekano yeye mwenyewe alikuwa ofisa kipenyo.
Kwahiyo kupewa ulinzi wa aina hiyo unaonyesha connection iliyopo kati ya hao watu. Na ndiyo maana Mnagangwa amemlinda sana Chivayo na kumpa ma deal mengi ya mikataba ya serikali.🥺🙇🏿♂
Ni kweli Lakini pesa haiwezi kirudisha muda nyuma.Pesa inafanya mambo mengi sana hili ni jambo la kawaida
There it is, ila behind him kuna watu wengine wazito.Kazi alliyotumwa kufanya imekamilika, haitajiki tena
Imeandikwa Zab:127Bwana asupoylinda Mji, waulindao wafanya kazi bure
Nimemtajia mifano michacheMshana Nimegundua kumbe pamoja na yote hujawahi kukutana na Madon wenye majina unaowajua wewe hapa Tz,Unajua kwamba Hwa top notch ya matajiri wa Tz wengi wanalindwa na usalama wa taifa na Makomando wa kijeshi kabisa?? Hii ipo nchi nyingi sana
Nyingi ni za siri giza giza.Watu wana connection zap za siri na za wazi
Staged helicopter crash to run away from USA investigation about chivayo wealth'LULU' ALIKUWA AKILINDWA NA KOMANDO?
Huyu ndiye Senelisiwe Magagula, aliyekuwa msaidizi binafsi (mlinzi) wa Lucy Muteke (Lulu) aliyekuwa mke wa Wicknell Chivayo. Magagula alikuwa miongoni mwa watu watano waliouawa katika ajali ya Helikopta iliyotokea jioni ya tarehe 30 Septemba 2026 eneo la Marondera karibu na Mji Mkuu wa Zimbabwe, Harare. Wengine walikuwa ni Wicknell Chivayo, Lucy Muteke na marubani wawili.
Inaelezwa kuwa Senelisiwe Magagula alikuwa mwanajrshi wa Kikosi Maalum cha Jeshi la Zimbabwe (Zimbabwe National Army’s Special Forces). Aliondoka jeshini na kwenda kufanya kazi sekta binafsi. Baadaye alikwenda kufanya kazi za ulinzi katika Ofisi ya Meya wa Bulawayo kabla ya kuitwa tena jeshini kuendelea na kazi.
Taarifa hii ni kwa mujibu wa Mduduzi Mathuthu ambaye ni mhariri wa ZimLive. Kwa ujumla, Mduduzi Mathuthu anahoji ilikiwaje Chivayo alindwe na mtu wa Usalama wa Taifa wa nchi?
View attachment 3682405View attachment 3682404
Oga do u think that chivayo is really died ?Time can reveal everythingView attachment 3682500
Huyu jamaa alikuwa “Kingmaker” wa ZANU-PF. Na ndiye aliyepewa tenda ya kuchapa kura kule Zimbabwe. Kuna uwezekano alitumika hata kule Malawi kwenye mambo ya uchaguzi. Ndo maana ya heshima anayopewa pamoja na mengineyo.Huyo Lulu alikuwa mtu wa low profile na rekodi zake za nyuma zimefichwa sana, naamini huyo wana udugu na rais Mnagangwa. Na kuna uwezekano yeye mwenyewe alikuwa ofisa kipenyo.
Kwahiyo kupewa ulinzi wa aina hiyo unaonyesha connection iliyopo kati ya hao watu. Na ndiyo maana Mnagangwa amemlinda sana Chivayo na kumpa ma deal mengi ya mikataba ya serikali.🥺🙇🏿♂
Yapi maoni yako Mshana zaidi ya maswali ya kujiuliza maswali ya kujipa majibu ya papo kwa kwa papo,ipi tafakuri yako binafsi??'LULU' ALIKUWA AKILINDWA NA KOMANDO?
Huyu ndiye Senelisiwe Magagula, aliyekuwa msaidizi binafsi (mlinzi) wa Lucy Muteke (Lulu) aliyekuwa mke wa Wicknell Chivayo. Magagula alikuwa miongoni mwa watu watano waliouawa katika ajali ya Helikopta iliyotokea jioni ya tarehe 30 Septemba 2026 eneo la Marondera karibu na Mji Mkuu wa Zimbabwe, Harare. Wengine walikuwa ni Wicknell Chivayo, Lucy Muteke na marubani wawili.
Inaelezwa kuwa Senelisiwe Magagula alikuwa mwanajrshi wa Kikosi Maalum cha Jeshi la Zimbabwe (Zimbabwe National Army’s Special Forces). Aliondoka jeshini na kwenda kufanya kazi sekta binafsi. Baadaye alikwenda kufanya kazi za ulinzi katika Ofisi ya Meya wa Bulawayo kabla ya kuitwa tena jeshini kuendelea na kazi.
Taarifa hii ni kwa mujibu wa Mduduzi Mathuthu ambaye ni mhariri wa ZimLive. Kwa ujumla, Mduduzi Mathuthu anahoji ilikiwaje Chivayo alindwe na mtu wa Usalama wa Taifa wa nchi?
View attachment 3682405View attachment 3682404ho