Fahari ya kusini
JF-Expert Member
- Nov 26, 2022
- 521
- 1,875
Mfanyabiashara maarufu wa Zimbabwe, Wicknell Chivayo amefariki dunia leo Septemba 30, 2026 kwa ajali ya helikopta akiwa na mkewe Lucy āLuluā Muteke pamoja na watu wengine wanne.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Shirika la Utangazaji nchini Zimbabwe, limemnukuu mwanafamilia Herbert Chivayo ambaye ameeleza kuwa ajali hiyo imetokea eneo la Marondera vijijini.
Hadi sasa, Polisi nchini humo kupitia kwa msemaji wake, Paul Nyathi imethibitisha kutokea kwa ajali hiyo, ambayo haikuwa na manusura yeyote, bali ni vifo vya watu sita, wakiwemo marubani wawili.