Mapya kifo cha dude

Mapya kifo cha dude

Mshana huyo Chivayo ana undugu na rais ni kama mpwa wake kwa Wazimbabwe wajomba sijui wapwa ni ndugu kweli tofauti na huku kwetu wanakua kama watu wa mbali ndio maana hata pesa alizokua anachezea nyingi ni za miradi Serikali imeingia na Wachina kwenye migodi nae anakula % yake tu kuhusu ajali ni ajali tu kama ajali zingine maana chopa sio za kuziamini kabisa nae alitumia ushawishi wa fedha kununua bila kutumia wataalamu sahihi wa vyombo vya anga..
 
Unaweza mchukulia poa Pisi..Akakugonga unafika Hospital unaambiwa mbona umechelewa Damu haitembei mwilini😳😀🙆‍♂️
 
Mshana huyo Chivayo ana undugu na rais ni kama mpwa wake kwa Wazimbabwe wajomba sijui wapwa ni ndugu kweli tofauti na huku kwetu wanakua kama watu wa mbali ndio maana hata pesa alizokua anachezea nyingi ni za miradi Serikali imeingia na Wachina kwenye migodi nae anakula % yake tu kuhusu ajali ni ajali tu kama ajali zingine maana chopa sio za kuziamini kabisa nae alitumia ushawishi wa fedha kununua bila kutumia wataalamu sahihi wa vyombo vya anga..
Hizi private jet sijui wanazipendea nini
Ni majanga matupu.
Hivi Kwa humu kwetu mpwaeni ndugu wa mbali?
 
Mshana Nimegundua kumbe pamoja na yote hujawahi kukutana na Madon wenye majina unaowajua wewe hapa Tz,Unajua kwamba Hwa top notch ya matajiri wa Tz wengi wanalindwa na usalama wa taifa na Makomando wa kijeshi kabisa?? Hii ipo nchi nyingi sana
Haswa, hata matajiri wakubwa wa Iraq enzi za vita walikuwa wanalimdwa na makomando wa USA kwa kulipwa hela ndefu sana
Walikuwa wanaacha kazi na kwenda Baghdad kuwalinda wakiwemo mpaka wastaafu

Ni kawaida sana kuwaajiri kama hela ipo
 
😂 😆 😂 😆 😂 😆 😂
Kuwa makini siku ukiniona live usije tu kunifungulia uzi ukielezea sura ya baba yangu ilivyo binuka na kuchambuka ovyo
Mimi sio Gen z sifungui uzi maisha ya nje ni ya nje yanaishia huko life goes on..
 
Sijafanya tafiti yoyote bali kule selfika nilioona wote wabovu.

sio dhambi kufanana na baba
nimekuelewa
Kacheki insta utaziona baazinya pisi za jf kwa jimsi wanavo andika reply zao, Kuna mademu wawili ni members humu sema sijajua wanatumia id Gani hakika ni wakali balaa nime appreciate 💪💪💪🙏🙏
 
Back
Top Bottom