Mapungufu ya Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr. Wilbrod Slaa

Status
Not open for further replies.
struggle is a process think 4 urself an not somebody think 44 u is lk ur dead
 
Josephine dada yangu,

Mimi kama siku zote huwa napenda kukukumbusha kuwa NAKUPENDA na KUKUHESHIMU sana. Ni bahati mbaya maisha ya mwanasiasa hayawezi kuepuka kujadiliwa ndio maana mdogo wako nalazimika kukutaja pale inapobidi. Lengo langu sio kukukatisha tamaa kwenye ndoto zako za kuwa first lady ila ni kuwajulisha wadau kuwa Dr. Slaa anachopigania ni nini, ili kuweka kumbukumbu sawa.

Otherwise dada yangu mpendwa naappreciate sana upiganaji wako. Wewe ni hodari sana kusimamia jambo unaloliamini. Endelea hivyohivyo, lakini kuhusu Dr. jaribu kulipa nafasi ya kutosha swala la ustawi wa afya yake kuliko ambitions za kisiasa. Sio wanawake wote wenye furaha maishani ni first ladies. Umeishi miaka yote bila kuwa first lady na mambo yako poa tu, so u first lady isiwe too much of a driving force.

Tuendelee kuwa pamoja dada...
mhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh
 
umeambiwa uwewke na mapungufu ya mama yako ili yamfanye ajiuzulu kulea familia yenu...hivi nyinyi watoto wa lumumba mbona mnaweka thread nyepesi sana humu ndani>>>>embu tafuta nyingine nzito kidogo co kuweka vitu vyepesi hata teja akija anaona huu ni UKUDA usio na mpango.....sasa ina maana huoni mafanikio yake au huoni mapungufu laki nne aliyonayo mzee wa Tembo au majangili wenzake na wauza silaha wenzake?

mbona unamtwisha msalaba ambao unajua kabisa hawezi kuubeba hiyo nzito atatoa wapi!!
 
Kibabu nilikuwa nakiamini sasahivi sikiamini tena maana kinafki sana

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
MIMInamjua baregu alisumbua sana nccr. sasa dk.slaa anatakiwa amwangalie sana.
 
mhe,
Haha Mungu hawazi kama wanadamu,hasa kama unavyowaza wewe,zaidi huwainunua wanyenyekevu.
nitaendelea kujinyenyekeza mbele za Mungu kama chombo dhaifu,na mapenzi yake yatimie kwangu.

Cheers.

Inakera mijitu inavyomdhalilisha Mungu.
 
Josephine dada yangu,

Mimi kama siku zote huwa napenda kukukumbusha kuwa NAKUPENDA na KUKUHESHIMU sana. Ni bahati mbaya maisha ya mwanasiasa hayawezi kuepuka kujadiliwa ndio maana mdogo wako nalazimika kukutaja pale inapobidi. Lengo langu sio kukukatisha tamaa kwenye ndoto zako za kuwa first lady ila ni kuwajulisha wadau kuwa Dr. Slaa anachopigania ni nini, ili kuweka kumbukumbu sawa.

Otherwise dada yangu mpendwa naappreciate sana upiganaji wako. Wewe ni hodari sana kusimamia jambo unaloliamini. Endelea hivyohivyo, lakini kuhusu Dr. jaribu kulipa nafasi ya kutosha swala la ustawi wa afya yake kuliko ambitions za kisiasa. Sio wanawake wote wenye furaha maishani ni first ladies. Umeishi miaka yote bila kuwa first lady na mambo yako poa tu, so u first lady isiwe too much of a driving force.

Tuendelee kuwa pamoja dada...

eti huyu ni mbunge mtarajiwa wa morogoro mjini
 
UTENDAJI WA KATIBU MKUU DR WILBROD SLAA

​
Nimepata wasiwasi na utendaji wa katibu mkuu dr slaa kwa namna anavyoshughulikia mambo.

1. Kushindwa kumfahamisha kwa barua prof: baregu kuhusu maelezo ya kikao cha kamati kuu kuhusu kujitoa katika mchakato wa katiba mpya. Ukiwa mtendaji mkuu hupaswi kuagiza kwa mdomo unapaswa kutoa barua na kuijbiwa kwa barua utaratibu aliotumia kumfahamisha prof baregu unaonyesha mapungufu ya kutambua kazi za ukatibu mkuu. Source; gazeti la raia mwema

2.Katibu mkuu namna alivyoshughulika suala la kutaka kutekwa mama yake Zitto limeleta utata.

Namna katibu mkuu alivyolishughulikia na kushindwa kutoa press release kama chama kwani ye ye ndio mtendaji mkuu kwani watu wamezusha kwamba kuna mpango wa hujuma kama katibu mkuu naona kuna mapungufu.source: gazeti la mtanzania

3.Kuvuja kwa barua ya siri ya mh, Zitto Kabwe ambayo ilikuwa ni confidential haya ni mapungufu katika utendaji wa katibu mkuu dr. Slaa. Source: jamiii forum
.

Ukifatilia CHADEMA chini ya katibu mkuu kuna mapungufu yanajitokeza katika utendaji kazi nafikiri angepima mwenyewe kabla ya kuamua kujiuzulu.

mapungu ya kinana umeyaona?
 
Kila mtu ana mapungufu, lakini upungufu wa ethics kwa kuhongwa suti nne huku unaachia ardhi kwa wageni umepitiliza.
 
Josephine dada yangu,

Mimi kama siku zote huwa napenda kukukumbusha kuwa NAKUPENDA na KUKUHESHIMU sana. Ni bahati mbaya maisha ya mwanasiasa hayawezi kuepuka kujadiliwa ndio maana mdogo wako nalazimika kukutaja pale inapobidi. Lengo langu sio kukukatisha tamaa kwenye ndoto zako za kuwa first lady ila ni kuwajulisha wadau kuwa Dr. Slaa anachopigania ni nini, ili kuweka kumbukumbu sawa.

Otherwise dada yangu mpendwa naappreciate sana upiganaji wako. Wewe ni hodari sana kusimamia jambo unaloliamini. Endelea hivyohivyo, lakini kuhusu Dr. jaribu kulipa nafasi ya kutosha swala la ustawi wa afya yake kuliko ambitions za kisiasa. Sio wanawake wote wenye furaha maishani ni first ladies. Umeishi miaka yote bila kuwa first lady na mambo yako poa tu, so u first lady isiwe too much of a driving force.

Tuendelee kuwa pamoja dada...

Ngoja nikupe siri Mhe,

ninavyoishi leo najitambua kama mke wa Rais.
Maana heshima nayopewa na watanzania wengi hakika sihistahili.
sasa nitamani mara ngapi,wakati kona zote nazopita first Lady is my name,sasa sijui akili zako unafikiri kuwa mama wa kwanza ni kuishi Ikulu?

Sitamani kuishi Ikulu,NATAMANI KUWAONDOA WATANZANIA KATIKA LINDI LA LAANA YA UMASIKINI.

Hiyo ndiyo sababu inayonifanya niwatumikie na zaidi kendelea kupambana,kuwajengea uwezo na ujasiri kada mbalimali

mhe,
ugonjwa wa Dr SLAA unaujua wewe,mbona sijawahi kumpeleka hospitali yeyote tangu niishi nae,ukiacha alipopata tatizo la mkono.

Mhe,Mwanamke anayejitambua ni tabibu wa famila yake,zaidi mme wake.

Ngoja ni kuhakikishie,Sitaruhusu maradhi yamuandame hata siku moja sababu namuhitaji katika maisha yangu kama rafiki na baba wa mtoto wangu,moja ya kazi yangu kubwa ni kumtunza awe na afya njema,I will keep it up,ndiyo maana anauwezo wa kutembea 15km bila kuchoka.

Naomba nikutakie jioni njema.
Tambua kama ni mpango wa Mungu no one will stop it.
 
unawaondoaje watanzania umaskini wakati ww mkewamtu mbona tunadanganyana
 
Ngoja nikupe siri Mhe,

ninavyoishi leo najitambua kama mke wa Rais.
Maana heshima nayopewa na watanzania wengi hakika sihistahili.
sasa nitamani mara ngapi,wakati kona zote nazopita first Lady is my name,sasa sijui akili zako unafikiri kuwa mama wa kwanza ni kuishi Ikulu?

Dada Jose,

Kama unajitambua kuwa wewe ndio mke wa Rais wa Tanzania basi hongera sana. Hauko peke yako, hata vijana wengi wa bavicha wamelaghaiwa na wanaamini Dr. Slaa ndio Rais wa nchi na wewe ndio first lady. Nimefurahi kuona kuwa uko sambamba na vijana hao.

Nikutakie jioni njema dada yangu mpendwa.
 
Maringo,

Kuwa mke wa mtu kama mawazo yako,hanizuii mimi kufanya harakati.
 
harakati kwa garama za nani katibu mkuu anatumia kodi zetu wananchi katika harakati je garama za harakati zako nani analipa kwani hta kwny katiba ya chama haizungumzii kazi zako kwny chm
 
Nimesoma shule iliyonielekeza kujiajiri.
karibu ofisini kwangu,ujue nini nazungumza.

Sikuanza harakati jana,nilianza tangu nikiwa nauza mama Ntirie.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom