Mapungufu ya Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr. Wilbrod Slaa

Mapungufu ya Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr. Wilbrod Slaa

Status
Not open for further replies.
bila shaka kusoma unajua...ila kuelewa ndio shida!
In short watu ninaowazungumzia...utaona kuna mahali zitafuatana komenti zake tuuu kama tano....halafu tena unakuja kukutana nazo mbele tatu consecutive...nakadhalika....kwa heri!
mficha maradhi kifo kitamuumbua
 
Mkuu Maringo, naamini kwa wiki tatu ulizokuwemo rasmi humu jukwaani, wewe sio mgeni na JF!, unapandisha thread kuhoji integrity ya Dr?!.

Wee subiria tuu, utajibiwa ipasavyo!.

Pasco.

Hivi pAsco tatizo ni kuhoji au tatizo ni unakuja na hoja gani na vithibitisho gani?
Naamini vijana wengi ni waelewa endapo utakuja na hoja iliyoshiba kwa vyovyote wataipokea lakini kama unakuja na udaku tena udaku mwepesi tegemea aibu.
 
akili ndogo hujadili watu na akili kubwa hujadili hoja. Jipime na uchukue hatua!!!!
 
Huyu katibu mkuu ana uzoefu na uongozi wa kanisa niyo kwenye Vayma vya siasa, sasa kama mambo madogo kama hayo yanamshinda itakuaje huo urais?
 
bora mapungufu ya Slaaa kuliko ya Kinana haisee, Jamaa anapiga Risasi Tembo kama ana akili yani ni Puuuuuuuuu! Mala Paaaaaaa!.
 
akili ndogo hujadili watu na akili kubwa hujadili hoja. Jipime na uchukue hatua!!!!
Hivi kwa nini SLAA akiguswa watu huambiwa wana akili ndogo? Huku si kutowatendea haki watanzania?
 
Wadau wameshamshauri sana Dr. Slaa astaafu ila Josephine ana ndoto za kuwa first lady ndio maana anamlazimisha Dr. Slaa kuendelea na siasa.

Kwahiyo anachopigania Dr. Slaa sasa hivi ni ndoto za Josephine za kuwa first lady.

hahahahahahahaha hata kama hoja ni za kweli kwa uandishi huu wa mzee mbunge mtarajiwa wa morogoro mjini tena DR hakika bandiko limechafuliwa. ukiangalia uhusiano ya alicho kiandika mzee huyu na mada lazima ujue kuna tatizo. hebu jikite kwenye mada mbunge mtarajiwa lakini hutopita kura za maoni.
 
Pasco,

..CCM wangemuacha tu huyu mzee.

..nadhani jinsi wanavyomsumbua ndivyo wanavyomuongezea umaarufu.

..unakumbuka Mrema, alikuwa anapanda chati mpaka pale Mwalimu alipoingilia na kuwashtua CCM kwamba wasimbugudhi.

..sasa tofauti ya Dr.Slaa na Mrema, ni kwamba Dr.Slaa keeps on re-inventing himself. yaani kila CCM wanapofikiria they have figured him out, anakuja na jambo lingine jipya.

..kwa upande mwingine adui mkubwa wa CCM siyo CDM na Dr.Slaa, bali matatizo ya kiuchumi na kijamii pamoja na mazingira ya utandawazi tunayoishi sasa hivi.

..I dont think Dr.Slaa akiamua kwa hiari yake kuacha siasa basi CCM will go back to the good old days za kuwaaminisha wananchi kila kitu.
 
Last edited by a moderator:
Huyu katibu mkuu ana uzoefu na uongozi wa kanisa niyo kwenye Vayma vya siasa, sasa kama mambo madogo kama hayo yanamshinda itakuaje huo urais?

mkuu ume sahau kujadili mada husika umejikuta una jadili kanisa
 
bora mapungufu ya Slaaa kuliko ya Kinana haisee, Jamaa anapiga Risasi Tembo kama ana akili yani ni Puuuuuuuuu! Mala Paaaaaaa!.
kuwa serious na mijadala ya humu JF , hatukuja humu kutaniana wewe, ujinga wenu wa kutukana kamwe hakutawapeleka kokote , watanzania hawajafikia kuwa mataahira kiasi hicho cha kusoma upuuzi kama huu, puuuu, pwwaa, MODs watu wa aina hii wasiruhusiwe kuwemo humu.
 
...weka na mapungufu yako. Wewe umeshindwa hata kuwa diwani inamaana katika fani za akina slaa upungufu wako umekuficha porini kabisa...
 
Hivi pAsco tatizo ni kuhoji au tatizo ni unakuja na hoja gani na vithibitisho gani?
Naamini vijana wengi ni waelewa endapo utakuja na hoja iliyoshiba kwa vyovyote wataipokea lakini kama unakuja na udaku tena udaku mwepesi tegemea aibu.

Achana na Pasco wewe. Anakamilisha mradi wake, soon mtamwona hapa akimwaga povu..
 
Last edited by a moderator:
...weka na mapungufu yako. Wewe umeshindwa hata kuwa diwani inamaana katika fani za akina slaa upungufu wako umekuficha porini kabisa...

kwa hiyo kila mmoja anatakiwa awe mwanasiasa? Au kumkosoa mtu kosa? Mbona ninyi CHADEMA mkiambiwa ukweli POVU LINAWATOKA?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom