Mapungufu ya Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr. Wilbrod Slaa

Mapungufu ya Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr. Wilbrod Slaa

Status
Not open for further replies.
ukisema ukweli jiandae kupigwa mawe. people want 2 hear what they want2 hear not otherwise
 
UTENDAJI WA KATIBU MKUU DR WILBROD SLAA

​
Nimepata wasiwasi na utendaji wa katibu mkuu dr slaa kwa namna anavyoshughulikia mambo.

1. Kushindwa kumfahamisha kwa barua prof: baregu kuhusu maelezo ya kikao cha kamati kuu kuhusu kujitoa katika mchakato wa katiba mpya. Ukiwa mtendaji mkuu hupaswi kuagiza kwa mdomo unapaswa kutoa barua na kuijbiwa kwa barua utaratibu aliotumia kumfahamisha prof baregu unaonyesha mapungufu ya kutambua kazi za ukatibu mkuu. Source; gazeti la raia mwema

2.Katibu mkuu namna alivyoshughulika suala la kutaka kutekwa mama yake Zitto limeleta utata.

Namna katibu mkuu alivyolishughulikia na kushindwa kutoa press release kama chama kwani ye ye ndio mtendaji mkuu kwani watu wamezusha kwamba kuna mpango wa hujuma kama katibu mkuu naona kuna mapungufu.source: gazeti la mtanzania

3.Kuvuja kwa barua ya siri ya mh, Zitto Kabwe ambayo ilikuwa ni confidential haya ni mapungufu katika utendaji wa katibu mkuu dr. Slaa. Source: jamiii forum
.

Ukifatilia CHADEMA chini ya katibu mkuu kuna mapungufu yanajitokeza katika utendaji kazi nafikiri angepima mwenyewe kabla ya kuamua kujiuzulu.

hz nazo ni siasa, hazina mshiko, je kinana ambaye anahusishwa na ujangili wa wanyama pori naye unamsemaje, mm naogopa personal attacks, ni vizuri tuzungumzie kila katibu mkuu wa chama amefanya nn kujenga chama. je kwan unadhani kila suala linalofanyiwa kazi na chama/serikali ni lazima lipelekwe kwenye vyombo vya habari.
 
Naona unajaribu kufukia mashimo ya Kinana; pole maana Kinana ni mhujumu asiyesafishika hata kama ccm mtaendelea kutawala
 
Naona umegusa moyo unadhani watakuelewa kuna watu wanaona slaa mkamilifu kuliko mtu yeyote duniani kwao ni kila kitu fahamu wengi wao wanapenda mtu kuliko chama

na kitu kikubwa kinachotuponza ni hicho vijana wengi tumejenga utamaduni wa kuamini kila.kinachosemwa na wanasiasa wa upande tunaoegemea kwa mfano vijana wa CCM wanaamini kila kinachosemwa na Nape au mwigulu hali kadhalika vijana wa CHADEMA wanaamini kila kinachosemwa na dr slaa au lissu bila wao wenyewe kujilidhisha kwanza tunawaambie ukweli viongozi wetu wanapofanya makosa ya wazi na tusipende siasa za maji taka za kuzusha mambo ya mambo ya uongo kwa viongozi wetu Tumaini Makene
 
Last edited by a moderator:
Mtoa mada. wewe ungekuwa katibu mkuu wa chama chochote ungefanya nini tofauti?.
 
UTENDAJI WA KATIBU MKUU DR WILBROD SLAA

​
Nimepata wasiwasi na utendaji wa katibu mkuu dr slaa kwa namna anavyoshughulikia mambo.

1. Kushindwa kumfahamisha kwa barua prof: baregu kuhusu maelezo ya kikao cha kamati kuu kuhusu kujitoa katika mchakato wa katiba mpya. Ukiwa mtendaji mkuu hupaswi kuagiza kwa mdomo unapaswa kutoa barua na kuijbiwa kwa barua utaratibu aliotumia kumfahamisha prof baregu unaonyesha mapungufu ya kutambua kazi za ukatibu mkuu. Source; gazeti la raia mwema

2.Katibu mkuu namna alivyoshughulika suala la kutaka kutekwa mama yake Zitto limeleta utata.

Namna katibu mkuu alivyolishughulikia na kushindwa kutoa press release kama chama kwani ye ye ndio mtendaji mkuu kwani watu wamezusha kwamba kuna mpango wa hujuma kama katibu mkuu naona kuna mapungufu.source: gazeti la mtanzania

3.Kuvuja kwa barua ya siri ya mh, Zitto Kabwe ambayo ilikuwa ni confidential haya ni mapungufu katika utendaji wa katibu mkuu dr. Slaa. Source: jamiii forum
.

Ukifatilia CHADEMA chini ya katibu mkuu kuna mapungufu yanajitokeza katika utendaji kazi nafikiri angepima mwenyewe kabla ya kuamua kujiuzulu.
Hii ndio counter offensive kwenye mapambano au siyo? Jino kwa jino!
 
kukupeleka shule hiyo ya kata hata mawazo yako yapo kikata kata

Asante nadhani we ni msomi mzuri sana, jibu hoja kama wewe ungekuwa katika hiyo nafasi nini ungekifanya tofauti na huyo usemaye ana mapungufu. Fikiria kwa makini maana hata kama umekuwa impaired na ambition zako au you JD ni kuponda Dr leta hoja.
 
nshaeleza maranyingi NINGEJIUZULU ndo mana nakwambia ndalichako2012/13
 
nshaeleza maranyingi NINGEJIUZULU ndo mana nakwambia ndalichako2012/13

Umekata tamaa wewe. Je leo ukiteuliwa kwenye hiyo nafasi kitu gani utafanya tofauti na kifanyikacho sasa. Ni jibu linalohitali number of pgs.
 
Josephine dada yangu,

Mimi kama siku zote huwa napenda kukukumbusha kuwa NAKUPENDA na KUKUHESHIMU sana. Ni bahati mbaya maisha ya mwanasiasa hayawezi kuepuka kujadiliwa ndio maana mdogo wako nalazimika kukutaja pale inapobidi. Lengo langu sio kukukatisha tamaa kwenye ndoto zako za kuwa first lady ila ni kuwajulisha wadau kuwa Dr. Slaa anachopigania ni nini, ili kuweka kumbukumbu sawa.

Otherwise dada yangu mpendwa naappreciate sana upiganaji wako. Wewe ni hodari sana kusimamia jambo unaloliamini. Endelea hivyohivyo, lakini kuhusu Dr. jaribu kulipa nafasi ya kutosha swala la ustawi wa afya yake kuliko ambitions za kisiasa. Sio wanawake wote wenye furaha maishani ni first ladies. Umeishi miaka yote bila kuwa first lady na mambo yako poa tu, so u first lady isiwe too much of a driving force.

Tuendelee kuwa pamoja dada...
ameiumiamkeslaa.jpg

​
Marcopolo, wenzako wamewahi kuyaonja machungu...wewe endelea kula kivulini ila kumbuka, iko siku!
 
Last edited by a moderator:
Mbona kinana hajatoa press release ya kuhusu shutuma za pembe za ndovu zaid ya kutumia majukwaa ya kisiasa na wapambe uchwara kumtetea.Kuhusu ya mama zito nenda kwa polisi ndipo taarifa sahihi ziko je ya ndovu twende wapi?
 
huwezi kumpa amri za mdomo prof; education makes people confidence and make them stand firm on abusing his rights lyman always follow everything even if is not nation interest
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom