Mapungufu ya Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr. Wilbrod Slaa

Mapungufu ya Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr. Wilbrod Slaa

Status
Not open for further replies.
profesa baregu kaombe msamaha kufukuzwa <nakuona
 
Ungeonekana sehemu muhimu ya Great thinkers katika jukwaa kama ungeleta vigezo vya kum-disqualify na sio hii mipasho humu kwa ID fake nyuma ya Keyboard halafu unataka watu wasikujibu?.What a coward

I have no time for you!
 
Ili mjadala uwe mzuri; hapa tuwaweke makatibu wakuu wa CDM na CCM na washirika wake...

1.SlAA
Strength....Amefanikiwa sana kuwaadabisha Mafisadi mfano EPA, RADDER! CDM iko Juu Kisiasa
Weakness.. Anachelewa kuandaa mazingira ya kuchukua dola 2015

2. KANAL ABDULRAHMAN KINANA
Strength......Think Tank Individual, Hana papara, Kiona mbali
Weakness.....Anapenda sana uwindaji, amekubali kutumika kwa manufaa ya CCM inayofikia ukomo

MATATIRO
Strength....Kuvaa kofia kubwa kuliko yeye, anauwezo mkubwa wa kumuigiza Prof Lipumba
Weakness..With money, yuko tayari kutoa kabaang! refer choppa ya Igunga...

....
 
Ili mjadala uwe mzuri; hapa tuwaweke makatibu wakuu wa CDM na CCM na washirika wake...

1.SlAA
thStreng....Amefanikiwa sana kuwaadabisha Mafisadi mfano EPA, RADDER! CDM iko Juu Kisiasa
Weakness.. Anachelewa kuandaa mazingira ya kuchukua dola 2015

2. KANAL ABDULRAHMAN KINANA
Strength......Think Tank Individual, Hana papara, Kiona mbali
Weakness.....Anapenda sana uwindaji, amekubali kutumika kwa manufaa ya CCM inayofikia ukomo

MATATIRO
Strength....Kuvaa kofia kubwa kuliko yeye, anauwezo mkubwa wa kumuigiza Prof Lipumba
Weakness..With money, yuko tayari kutoa kabaang! refer choppa ya Igunga...

....
hapo kwenye the last ndo linmfaa huyu padri
 
unashindwa kueleza mapungufu ya wabunge wako wa ccm unaleta ugolo wako hapa....unajua faida za huyo ulie mtaja...
 
UTENDAJI WA KATIBU MKUU DR WILBROD SLAA

​
Nimepata wasiwasi na utendaji wa katibu mkuu dr slaa kwa namna anavyoshughulikia mambo.

1. Kushindwa kumfahamisha kwa barua prof: baregu kuhusu maelezo ya kikao cha kamati kuu kuhusu kujitoa katika mchakato wa katiba mpya. Ukiwa mtendaji mkuu hupaswi kuagiza kwa mdomo unapaswa kutoa barua na kuijbiwa kwa barua utaratibu aliotumia kumfahamisha prof baregu unaonyesha mapungufu ya kutambua kazi za ukatibu mkuu. Source; gazeti la raia mwema

2.Katibu mkuu namna alivyoshughulika suala la kutaka kutekwa mama yake Zitto limeleta utata.

Namna katibu mkuu alivyolishughulikia na kushindwa kutoa press release kama chama kwani ye ye ndio mtendaji mkuu kwani watu wamezusha kwamba kuna mpango wa hujuma kama katibu mkuu naona kuna mapungufu.source: gazeti la mtanzania

3.Kuvuja kwa barua ya siri ya mh, Zitto Kabwe ambayo ilikuwa ni confidential haya ni mapungufu katika utendaji wa katibu mkuu dr. Slaa. Source: jamiii forum
.

Ukifatilia CHADEMA chini ya katibu mkuu kuna mapungufu yanajitokeza katika utendaji kazi nafikiri angepima mwenyewe kabla ya kuamua kujiuzulu.

This is too low
 
Akili ndogo na finyu hujadili watu.
" Kwa Jina la Baba na La Mwana Na La Roho
Mtakatifu, Amen. Ee Yesu Msamehe
Rais Wetu Kilaza Kwa kutugawa kidini ili
atutawale kirahisi. Ingawa amechelewa
kujirekebisha lakini nakuomba ee Bwana
umpe angalau akili kidogo ya kumtosha
kujitambua kuwa ni kilaza ili ajitazame upya.
Amen.
 
Hakuna perfection ya asilimia 100 hapa duniani instead popote palipo na mapungufu lazima mafanikio yapo ndo maana yanatuwezesha kuona upande wa mtoa uzi . . .
 
Hongera sana!.. Prove hili CCM ni chama sikivu,, MBONA JANGILI KINANA HATEMWI?
Mbona mifano nimeshakupa, Makamba, Mukama na hata wengine kama kina Tambwe Hizza wako wapi?
Nyie mna mizigo wa wazee wanooa wake za watu na kula ruzuku yenu nyie mwachekelea tu.
 
Kikwete ana mapungufu mangapi? Vjana ha2na ma2c bali 2nawaelimisha nyie wazee ambao mmegubikwa na ujinga. Cshangai mna lack of phylosophical thinking.
 
Mbona mifano nimeshakupa, Makamba, Mukama na hata wengine kama kina Tambwe Hizza wako wapi?
Nyie mna mizigo wa wazee wanooa wake za watu na kula ruzuku yenu nyie mwachekelea tu.

Huyu mkuu wenu anayeoa wasanii, watoto wa mawaziri wake, na wafanyabiashara... Mwanza, Iringa, Kilimanjaro, Mbeya na Dar mbona humsemi?!
 
Huyu mkuu wenu anayeoa wasanii, watoto wa mawaziri wake, na wafanyabiashara... Mwanza, Iringa, Kilimanjaro, Mbeya na Dar mbona humsemi?!
Ulitaka mifano umeshapewa, lete parralle yake kwenu CDM.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom