Mapungufu ya Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr. Wilbrod Slaa

Mapungufu ya Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr. Wilbrod Slaa

Status
Not open for further replies.
Yawezekana sina uwezo mzuri wa kufikiria,yawezekana sijui mambo mengi,ila bado nina nafasi ya kujadili masuala.
Ukisoma kwa makini hiyo 'thread',tatizo siyo Dr. Slaa kama katibu mkuu,ila ni mtu ambaye ndiyo ameonekana kuiweka CHADEMA katika ramani nzuri kisiasa (akishirikiana na wengine). Akili ya mleta thread si kujadili mapungufu ya mtu kwa nia ya kumrekebisha,bali kujenga taswira kuwa Dr. Slaa hafai kuwa katibu mkuu na siyo presidential material na ndiyo maana mwisho akaweka "apime kisha ajiuzulu".
Ukisoma hoja ya 2 na 3,unapata picha kuwa mwenye mapungufu ni mleta mada.. Hoja ya 2 si suala la katibu mkuu,ni suala la jeshi la polisi. Na hata mtoto wa aliyevamiwa (Zitto Kabwe) alitoa tamko kuwa suala hilo lipo polisi. Hoja ya 3,ni vyema mleta mada atuambie barua hiyo ilivuja ikiwa tayari imemfikia Katibu mkuu au bado,na a'support maelezo kwa ushahidi hata wa kimazingira.
 
mia mkuu huyu mleta mada ni KIBOGOYO AND NAPE TYPE.
 
Mkuu maringo

Wasiwasi wako unaujenga katika vitu vya kutunga/wa.

Mosi, hakuna barua yoyote kamilifu, hususan ya siri, kutoka kwa mtu yeyote kwenda kwa Katibu Mkuu, imewahi kuvuja mahali popote, si hapa tu Jamii Forum. Hakuna kitu kama hicho. Ni taasisi/ofisi makini inayofanya kazi zake chini ya usimamizi wa mtendaji makini vile vile.

Pili, suala la Prof. Baregu, labda wewe Maringo ndiyo haujui taratibu za utendaji kazi wa tume za namna hii na makamishna wake. Ungelikuwa unajua, ungekuja hapa na kumumwagia sifa za umakini Dkt. Slaa kwa namna alivyokuwa makini ku-communicate suala hilo, hasa kwa kujua implications na complications za kumwandikia barua mjumbe wa tume ya namna hiyo.

Tatu, suala la Mama Shida Salum, sijajua kama maelezo yako unakata rufaa ama vipi, kwa sababu Katibu Mkuu Dkt. Slaa alishalitolea ufafanuzi hapa hapa hasa katika maeneo ambayo chama ama viongozi walikuwa wameguswa katika ripoti ya gazeti lililoandika habari hiyo.

Katibu Mkuu wa CHADEMA anaendelea kuwa mtendaji mkuu makini akisimamia utendaji makini wa kila siku wa chama makini. Ni mtu ambaye huwezi kumfananisha na mtendaji wa chama kingine chochote wa nafasi yake au hata wenyeviti wa vyama vingine mbali ya CHADEMA.

Mtu yeyote makini hapa au nje ya jukwaa hili akiamua kuorodhesha criteria za umakini wa Katibu Mkuu wa CHADEMA anaweza kuandika mambo mengi sana, lakini itoshe kusema kwa hapa, ni mmoja wa watu waadilifu, watakaokumbukwa na historia ya vizazi vya nchi hii kama mtu aliyeshiriki kuzifanya siasa za nchi hii kuwa zilivyo hivi leo, kwamba CHADEMA inasimama kama tishio kubwa la uwepo wa CCM madarakani kuliko wakati mwingine wowote katika historia ya upinzani katika nchi hii.

Ni mmoja wa viongozi shupavu walioanzisha vita dhidi ya ufisadi na ubadhirifu, ikiwa ni moja ya hatua kubwa zilizowahi kupigwa katika safari ndefu ya harakati hizi za mapambano ya awamu ya pili, kusaka uhuru wa kweli, mabadiliko ya kiutawala na kimfumo, kwa ajili ya matumaini na haki za Watanzania, kupitia jukwaa la CHADEMA.

Huwezi kumfananisha na wale wengine wanaoandamwa kila kona ya nchi hii sasa kwa tuhuma kubwa za uhujumu wa rasilimali za nchi hii kiasi cha kukaribia kuzimaliza na kuzifanya kuwa historia tu. Wala huwezi kuwafananisha na wale wengine waliopewa madaraka, wakasahau bigger picture ya struggle waliyopaswa kuisimamia kwa ajili ya maslahi ya wananchi na nchi hii.

Viongozi na Watendaji wanaotembea na tuhuma za kutisha mbele ya vipaji vya nyuso zao na migongoni mwao, si tu kwamba uadilifu wao unatiliwa shaka kubwa na kila raia mpenda nchi hii, bali hawapaswi na hawana uhalali wa kukalia ofisi wanazoziongoza sasa, kwani kuendelea kuruhusu hali ya namna hiyo ni kuziunganisha ofisi zao na ufisadi huo wanaoufanya, waliowateua/ kuwachagua na wote wanaowaongoza.

Hatua kwa hatua, yeye pamoja na makamanda wengine, wakiwepo waliotawanyika nchi nzima, kila kona ya nchi hii, ikiwemo haoa jukwaani na kwingineko, ameendelea kusimamia ofisi ambayo imetokea kuwa mwiba mkubwa kwa walioko madarakani, kiasi kwamba hakuna siku watawala wanaweza kuamuka asubuhi na kwenda kulala usiku, kupata kifungua kinywa, kwenda lunch au dinner, kwenda safari au mapumzikoni, mchana au usiku, inanyesha au linawaka, wakicheka au wakilia, bila kupasua vichwa vyao kufikiria namna gani wataweza kuokoka katika wimbi kubwa la mabadiliko linalopiga kila kona ya 'bahari' hii ya Tanzania kuiondoa CCM madarakani kwa sababu imeshindwa...sera zake zimeshindwa, haiwezi tena.
 
ukiwa kamanda raha sana hutakiwi kumpinga @Dr W. Slaa wala mbowe hata kama wamefanya makosa makamanda wenyewe wanajua wanaofanya makosa ni CCM tu au Zitto
dr slaa kafanya mambo mazuri mengi sana ila haimaanishi kwamba hana mapungufu kwa sababu yeye ni binadamu pia anapokosea tumwambie ili ajirekebishe nazani hapo tutamfanya kuwa imara zaidi
 
Last edited by a moderator:
Udhaifu mwingine ni kumuacha mke wake aliyemvua joho la upadre na kuoa binti mdogo wa kihaya.
 
ukiwa kamanda raha sana hutakiwi kumpinga @Dr W. Slaa wala mbowe hata kama wamefanya makosa makamanda wenyewe wanajua wanaofanya makosa ni CCM tu au Zitto
dr slaa kafanya mambo mazuri mengi sana ila haimaanishi kwamba hana mapungufu kwa sababu yeye ni binadamu pia anapokosea tumwambie ili ajirekebishe nazani hapo tutamfanya kuwa imara zaidi

Basi yasiwe ya kutungwa kwa kukaa chini na kujiandikia kwa kuunganisha unganisha maneno yasiyokuwa na facts wala ukweli wowote.
 
Last edited by a moderator:
Mnamkosoa nabii Slaa?? yule padri aliyeiba mke wa mtu akamuweka ndani kinyumba?
 
Naona umegusa moyo unadhani watakuelewa kuna watu wanaona slaa mkamilifu kuliko mtu yeyote duniani kwao ni kila kitu fahamu wengi wao wanapenda mtu kuliko chama
 
Hujajibu hoja isitotoshe tuhuma si zako kimbelembele chann kujibu halafu uko out of line na thread
 
kwa iyo Mjakaya una matunda matamu sana maana mmeuzunguka mnarusha mawe!

na hakika vijana wa Bavicha watamkumbuka Jakaya kama bwana maendeleo. Wanapozwa na mwizi wa wake za watu dr. Slaa hawataki kuona ukweli.
 
Angekuwa na mapungufu kama hayo asingeweza kuwanyima usingz na kuwafanya mukeshe kwenye matambiko kila siku nyie munaojiona hamna mapungufu
 
Angekuwa na mapungufu kama hayo asingeweza kuwanyima usingz na kuwafanya mukeshe kwenye matambiko kila siku nyie munaojiona hamna mapungufu
kila mwanadamu ni mkosa mbora wenu ni yule mwenye kujirudi
 
umeambiwa uwewke na mapungufu ya mama yako ili yamfanye ajiuzulu kulea familia yenu...hivi nyinyi watoto wa lumumba mbona mnaweka thread nyepesi sana humu ndani>>>>embu tafuta nyingine nzito kidogo co kuweka vitu vyepesi hata teja akija anaona huu ni UKUDA usio na mpango.....sasa ina maana huoni mafanikio yake au huoni mapungufu laki nne aliyonayo mzee wa Tembo au majangili wenzake na wauza silaha wenzake?
 
Wadau wameshamshauri sana Dr. Slaa astaafu ila Josephine ana ndoto za kuwa first lady ndio maana anamlazimisha Dr. Slaa kuendelea na siasa.

Kwahiyo anachopigania Dr. Slaa sasa hivi ni ndoto za Josephine za kuwa first lady.

Mhe,
bila kumtaja Josephine hujalala usingizi.

Ngoja nikwambie kitu,nitasimama kama mwanamke nayejitambua.
Kazi kubwa ya mwanamke ni kuwa msaidizi,kwa hiyo maneno yako na kundi lililo nyuma yako halitaweza kuninyamazisha kimwili na zaidi kiroho.Moto lazima usambae.

Mwisho,mwanadamu asiye na ndoto ni maiti.Ndoto zangu haziwezi kuzuiwa na yeyote isipokwa Mungu,maana yake nini,wewe hutanikatisha tamaa kwa lolote,hakuna aliyezaliwa akijua yeye ni nani,bali kila mmoja wetu hupambana kwa neema kutimiza madhumuni ya Mungu juu ya maisha yake.

mhe,
Haha Mungu hawazi kama wanadamu,hasa kama unavyowaza wewe,zaidi huwainunua wanyenyekevu.
nitaendelea kujinyenyekeza mbele za Mungu kama chombo dhaifu,na mapenzi yake yatimie kwangu.

Cheers.
 
women empowerment
 
Josephine dada yangu,

Mimi kama siku zote huwa napenda kukukumbusha kuwa NAKUPENDA na KUKUHESHIMU sana. Ni bahati mbaya maisha ya mwanasiasa hayawezi kuepuka kujadiliwa ndio maana mdogo wako nalazimika kukutaja pale inapobidi. Lengo langu sio kukukatisha tamaa kwenye ndoto zako za kuwa first lady ila ni kuwajulisha wadau kuwa Dr. Slaa anachopigania ni nini, ili kuweka kumbukumbu sawa.

Otherwise dada yangu mpendwa naappreciate sana upiganaji wako. Wewe ni hodari sana kusimamia jambo unaloliamini. Endelea hivyohivyo, lakini kuhusu Dr. jaribu kulipa nafasi ya kutosha swala la ustawi wa afya yake kuliko ambitions za kisiasa. Sio wanawake wote wenye furaha maishani ni first ladies. Umeishi miaka yote bila kuwa first lady na mambo yako poa tu, so u first lady isiwe too much of a driving force.

Tuendelee kuwa pamoja dada...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom