Leak
Platinum Member
- Feb 22, 2012
- 52,942
- 43,599
Tatizo lenu mnafikiri watu tunadhani DR ni malaika,tatizo ni ninyi mnapo shindwa kuthibitisha hizo tuhuma zenu kwa hiyo mkipingwa mnasema tuna tetea sana.
kwa mfano kwenye hiyo barua hakuna anayejua kuwa ilivuja kabla au baada ya kufika kwenye ofisi ya katibu wewe uliiona hapa jf na ilikuwa imechapwa tuu.
alaf umesha fanya Conclusion na source zako na unategemea tuamini hizo source si wahusika na tukipinga hizo source zako na yaliyo andikwa utasema Dr slaa huwa asemwi kumbe nyie wenyewe ndio mnashindwa pa kumsemea mnajikuta mnaongea bila ushahidi usio tia shaka alaf mnata tusipinge.