Mkuu Maringo, naamini kwa wiki tatu ulizokuwemo rasmi humu jukwaani, wewe sio mgeni na JF!, unapandisha thread kuhoji integrity ya Dr?!.
Wee subiria tuu, utajibiwa ipasavyo!.
Pasco.
Kumbe ni mgeni, ndo maana!! Utoto bado mwingi
Mkuu Maringo, naamini kwa wiki tatu ulizokuwemo rasmi humu jukwaani, wewe sio mgeni na JF!, unapandisha thread kuhoji integrity ya Dr?!.
Wee subiria tuu, utajibiwa ipasavyo!.
Pasco.
Marcopolo, wenzako wamewahi kuyaonja machungu...wewe endelea kula kivulini ila kumbuka, iko siku!![]()
Hata mtupiwa makombo hunenepa...kwa nini uhangaike?Matatizo mengine ni ya kujitakia...
i love greeks have free mind (philosophy)
Nimepata wasiwasi na utendaji wa katibu mkuu dr slaa kwa namna anavyoshughulikia mambo.UTENDAJI WA KATIBU MKUU DR WILBROD SLAA
1. Kushindwa kumfahamisha kwa barua prof: baregu kuhusu maelezo ya kikao cha kamati kuu kuhusu kujitoa katika mchakato wa katiba mpya. Ukiwa mtendaji mkuu hupaswi kuagiza kwa mdomo unapaswa kutoa barua na kuijbiwa kwa barua utaratibu aliotumia kumfahamisha prof baregu unaonyesha mapungufu ya kutambua kazi za ukatibu mkuu. Source; gazeti la raia mwema
2.Katibu mkuu namna alivyoshughulika suala la kutaka kutekwa mama yake Zitto limeleta utata.
Namna katibu mkuu alivyolishughulikia na kushindwa kutoa press release kama chama kwani ye ye ndio mtendaji mkuu kwani watu wamezusha kwamba kuna mpango wa hujuma kama katibu mkuu naona kuna mapungufu.source: gazeti la mtanzania
3.Kuvuja kwa barua ya siri ya mh, Zitto Kabwe ambayo ilikuwa ni confidential haya ni mapungufu katika utendaji wa katibu mkuu dr. Slaa. Source: jamiii forum.
Ukifatilia CHADEMA chini ya katibu mkuu kuna mapungufu yanajitokeza katika utendaji kazi nafikiri angepima mwenyewe kabla ya kuamua kujiuzulu.
wee kilimo kwanza unasahau kuwa ukianika nguo wenzako wana anuaNimepata wasiwasi na utendaji wa katibu mkuu dr slaa kwa namna anavyoshughulikia mambo.UTENDAJI WA KATIBU MKUU DR WILBROD SLAA

Goooood!suala la baregu ni rumours and serious people don't work on rumours, suala la mamake zitto na barua ya zitto ni usanii wa zitto na mamake, tafuta mapungufu mengine.
Marcopolo, wenzako wamewahi kuyaonja machungu...wewe endelea kula kivulini ila kumbuka, iko siku!![]()
Mbona kinana hajatoa press release ya kuhusu shutuma za pembe za ndovu zaid ya kutumia majukwaa ya kisiasa na wapambe uchwara kumtetea.Kuhusu ya mama zito nenda kwa polisi ndipo taarifa sahihi ziko je ya ndovu twende wapi?
Dada Jose,
Kama unajitambua kuwa wewe ndio mke wa Rais wa Tanzania basi hongera sana. Hauko peke yako, hata vijana wengi wa bavicha wamelaghaiwa na wanaamini Dr. Slaa ndio Rais wa nchi na wewe ndio first lady. Nimefurahi kuona kuwa uko sambamba na vijana hao.
Nikutakie jioni njema dada yangu mpendwa.