Mapokezi ya Heche na ToneTone yavunja rekodi Mbeya

Mapokezi ya Heche na ToneTone yavunja rekodi Mbeya

Tunapishana pale tu tunapitafuta haki kwa kutumia vurugu, na mimi siyo muumini wa kambi hiyo.

Passive resistance is a method of securing rights by personal suffering; it is the reverse of resistance by arms. -Mahatma Gandhi)
Ni wapi haki inapatikana kwa kubembelezana kwa ving'ang'anizi wa madaraka? Chama cha ACT si ndio lilikuwa kinajifanya kinafanya siasa za hoja, matokea yake wameingizwa mkenge wakashiriki uchaguzi na mgombea wao kaenguliwa kimezengwe. Kama ustaarabu unalipa mbona uhalisia unakataa?

Yaani ni kama useme hukutaka ANC wafanye siasa za vile wakati wa utawala wa makaburu kwani ni kukosa ustaarabu. Acha unafiki bro.
 
Labda umechelewa kunielewa, mimi napenda amani itawale ni sikubali kudai haki katika misingi ya uvunjifu wa amani.

Non-violence is a weapon of the strong.- (Mahatma Gandhi)
Mkuu 'Stuxnet', najitahidi sana, tena sana mkuu wangu; Ninakuelewa sana.

Ninakuomba tu usitazame nyuma tena, twende mbele. Tumepitia hali isiyokuwa ya kawaida hata kidogo katika taifa letu.

Tuliyochangia kwa maandishi, yote yamo humu humu JF, ni rekodi itakayodumu miaka yote; hatuwezi tena kubadili hayo ya nyuma,
Naomba tu tutazame ya mbele yetu.

Naelewa vyema kabisa wewe siyo juha, au sifa zingine zote nilizowahi kukusema nazo humu. Ninachoomba tu sote tuiangalie Tanzania yetu upya kabisa hapo hali itakapotengemaa.

Mimi siwezi kamwe kukuhukumu yaliyo moyoni mwako; ninachoona ni maandishi yaliyopita na haya mapya. Napenda tukazie haya mapya.
 
Sasa kama Mbeya inazalisha 6% ya GDP (Pato ghafi la Taifa) ikiwa nyuma ya Dar, Arusha na Mwanza halafu Serikali inakwenda kujenga mikoa ya wavivu kama Tabora, Mtwara na Ruvuma au Dodoma, kwanini niunge hiyo itikadi mbovu??
AHAAA!
This is not 'SMART"!

Ukweli ni kwamba hakuna mkoa au mji wa wavivu; kuna viongozi wabovu tu kila sehemu

Vipi mkuu 'Stux', haya tutayajadili zaidi hii hekaheka ya ukombozi ikishafikia ukomo. Ni mjadala mzuri sana huu.
 
Veggies wanawahonga wananchi pesa halafu wananchi wanawapelekea Chadema kwenye tonetone 😹

Hapo hakuna mwananchi aliyepewa pesa wala kubebwa na Lori. Hakuna ofisi wala soko lililoamrishwa lifungwe ili wakajaze mkutano. Ni wananchi na mahaba yao..!!
 
AHAAA!
This is not 'SMART"!

Ukweli ni kwamba hakuna mkoa au mji wa wavivu; kuna viongozi wabovu tu kila sehemu

Vipi mkuu 'Stux', haya tutayajadili zaidi hii hekaheka ya ukombozi ikishafikia ukomo. Ni mjadala mzuri sana huu.
Mikoa ya wavivu ipo!! Ulishapita Tanga, Lindi, Tabora na Mtwara?
 
Mkuu 'Stuxnet', najitahidi sana, tena sana mkuu wangu; Ninakuelewa sana.

Ninakuomba tu usitazame nyuma tena, twende mbele. Tumepitia hali isiyokuwa ya kawaida hata kidogo katika taifa letu.

Tuliyochangia kwa maandishi, yote yamo humu humu JF, ni rekodi itakayodumu miaka yote; hatuwezi tena kubadili hayo ya nyuma,
Naomba tu tutazame ya mbele yetu.

Naelewa vyema kabisa wewe siyo juha, au sifa zingine zote nilizowahi kukusema nazo humu. Ninachoomba tu sote tuiangalie Tanzania yetu upya kabisa hapo hali itakapotengemaa.

Mimi siwezi kamwe kukuhukumu yaliyo moyoni mwako; ninachoona ni maandishi yaliyopita na haya mapya. Napenda tukazie haya mapya.
Principle ya dialogue ni moja kukubali kutokubaliana without getting into exchange of insults. Tanzania ni yetu wote, ikiungua hatuna pa kwenda. Mimi niko hivyo Serikali ikikosea nitakosoa na upinzani ukifanya vizuri nitapongeza.

Ukini trace kwa threads nilizoanzisha utaniona niki criticise Serikali pia
 
Nyumbu waliokosa matumaini ya kesho watamshangilia yeyote anayewatumainisha kesho iliyo bora.
Mbeya eneo la Soko la Kabwe:-
 
Attachments

  • VID-20260624-WA0080.mp4
    4.9 MB
Ni wapi haki inapatikana kwa kubembelezana kwa ving'ang'anizi wa madaraka? Chama cha ACT si ndio lilikuwa kinajifanya kinafanya siasa za hoja, matokea yake wameingizwa mkenge wakashiriki uchaguzi na mgombea wao kaenguliwa kimezengwe. Kama ustaarabu unalipa mbona uhalisia unakataa?

Yaani ni kama useme hukutaka ANC wafanye siasa za vile wakati wa utawala wa makaburu kwani ni kukosa ustaarabu. Acha unafiki bro.
Mifano haiendani, ANC walikuwa wanataka uhuru nyie mnagombea Katiba Mpya
 
Kuliko kumpigia kura yule kigagula Tulia Ackson au huyu Patrick Mwalunenge, nitampigia kura mpinzani yeyote atakayetokea. Haya mazezeta siyataki tena.

Eti Jiji la Mbeya lilikuwa na Naibu Spika 2015-20 halafu Spika 2020-25, na Spika ndiyo boss wa Wabunge wote na uwaziri wao. Ameshindwa kuifanya Mbeya ipate kilomita 22 za barabara ya lami?

Kwa sasa Urambo na Makambako ziapendeza kuliko Mbeya

Tatizo la MBEYA vichwa ngumu wacha waoge vumbi wamewapopoa mawe marais wangapi wenyewe kwao
ndio Sifa🫎🫎

leo unawajengea Barabara yanini wacha waendelee kuvuta bangi zao wakitembea kwenye Vumbi wanajisikia wapo kwenye Lami bange oyee🫎🫎
 
Tatizo CCM wanaiba kura vibaya mno
Yaan Tume ya Uchaguzi inarundika kura kwa CCM

Wanaibiwa wapi CCM imesambaa kila kona ya nchi wapinzani wapo sehemu chache sana unaruka ruka mikoa

mfano wewe piga hesabu tuna
mikoa mingapi👈

kisha toa mikoa yenye Upinzani kidogo👈

utabaki na Mikoa mingapi Wilaya ngapi CCM ndiomana unaambiwa ipo milele👈

wapinzani wapo tu kuwapiga kama ivyo tonetone ndio ukombozi wenyewe🫎🫎??
CCM DAIMA MILELE
 
Attachments

  • Screenshot_20250801-182948~2.jpg
    Screenshot_20250801-182948~2.jpg
    73.3 KB · Views: 6
View attachment 3614894
View attachment 3614895
Kwa namna ambavyo Serikali imeudharau mkoa wa Mbeya ambao ndiyo unalisha nchi kwa chakula na ambayo ndiyo lango la kwenda Zambia, DRC na Malawi, naungana na wana Mbeya Kuchangia ToneTone. Cc Erythrocyte, ChoiceVariable
Huko Mbeya ndio Kuna wajinga wengi sana.

Ingefaa hizo pesa wachange wampe mchina amwage maji barabarani wasipate vumbi vinginevyo watakula vumbi na kurundikana kwenye baa blaa hizo za kina Heche na hakuna chochote watapata.
 
Tatizo la MBEYA vichwa ngumu wacha waoge vumbi wamewapopoa mawe marais wangapi wenyewe kwao
ndio Sifa🫎🫎

leo unawajengea Barabara yanini wacha waendelee kuvuta bangi zao wakitembea kwenye Vumbi wanajisikia wapo kwenye Lami bange oyee🫎🫎
Kumbuka ndiyo njia ya kupeleka 60% ya mizigo inayokwenda nchi jirani kupitia TPA ya DP WORLD
 
Back
Top Bottom