Mapokezi ya Heche na ToneTone yavunja rekodi Mbeya

Mapokezi ya Heche na ToneTone yavunja rekodi Mbeya

Principle ya dialogue ni moja kukubali kutokubaliana without getting into exchange of insults
Hii ni 'principle', sijawahi kuisikia; bali huwa nasikia msemo huu mara nyingi tu, na sijawahi kuuchukulia kuwa ni 'principle'.
Wewe unazungumzia 'insults'; hujaona waTanzania wanatekwa na kuuliwa kwa kuwa tofauti na hao uliokuwa unawashangilia sana humu. Sasa unataka hata tukatafute maandishi uliyoweka kuleta ushuhuda juu ya hili?
Mkuu 'Stuxnet', hivi unanichukuliaje wewe. Siji humu kufanunya mizaha wala kulaumu mtu bila ya sababu.

Nimekwishakueleza, na bila shaka unaweza kutafakari mwenyewe "yaliyomo moyoni mwako" kama ni tofauti sana na uliyowahi kuandika humu. Nilitaka tu kukupa fursa hiyo ya ku'reflect' mwenyewe. Haya unayoweka hapa ni maonyesho tu anayoweza kuyaona kila mtu.

Utaniwia radhi kwa haya yafuatayo; lakini mfano wa mtu fundi sana wa maonyesho ni Samia (sijasema kuwa na wewe ni kama Samia katika ufundi huo, ila nimetumia mfano ulio wazi kabisa kwa kila mtu kuelewa ninachojaribu kueleza.
Kuhusu hili, natumaini nimemalizana nalo kwa matumaini makubwa juu ya Tanzania inayokuja.
 
Huko Mbeya ndio Kuna wajinga wengi sana.

Ingefaa hizo pesa wachange wampe mchina amwage maji barabarani wasipate vumbi vinginevyo watakula vumbi na kurundikana kwenye baa blaa hizo za kina Heche na hakuna chochote watapata.
Chawa zuzu hili, wananchi wachangie tena pesa ya kumwaga maji halafu kodi walizolipa zitumike kulipa machawa wa kusifia hata upumbavu kama wewe na akina Abdul kununua magari ya bilioni?

Kazi ya pesa za kodi inaenda kuneemesha majizi na familia chache halafu wananchi ndio wakamuliwe maradufu.
 
View attachment 3614894
View attachment 3614895
Kwa namna ambavyo Serikali imeudharau mkoa wa Mbeya ambao ndiyo unalisha nchi kwa chakula na ambayo ndiyo lango la kwenda Zambia, DRC na Malawi, naungana na wana Mbeya Kuchangia ToneTone. Cc Erythrocyte, ChoiceVariable
Ndivyo wana CCM wa Morogoro, Kigoma, Kilimanjaro, Tabora, Mwanza na mikoa yote ya TANGANYIKA wanavyoilaumu CCM kwa kuwadharau.

Kuishabikia CCM hii, yataka uwe na moyo wa kishetani ama uwe "robot".
 
Jambo la msingi na maana la wewe ndugu Stuxnet kufanya ni kuomba radhi wana JF kwa kufurahia mazira wanayoyapitia Watanzania kwa kuunga mkono CCM + GoT na utendaji kazi wake.
 
Yamenuna Mboga Mboga
Wanamtafuta RPC, OCD Haa
 
View attachment 3614894
View attachment 3614895
Kwa namna ambavyo Serikali imeudharau mkoa wa Mbeya ambao ndiyo unalisha nchi kwa chakula na ambayo ndiyo lango la kwenda Zambia, DRC na Malawi, naungana na wana Mbeya Kuchangia ToneTone. Cc Erythrocyte, ChoiceVariable
Unakubali kiaina x2 Chid Benz 😂😂😂
View attachment 3614894
View attachment 3614895
Kwa namna ambavyo Serikali imeudharau mkoa wa Mbeya ambao ndiyo unalisha nchi kwa chakula na ambayo ndiyo lango la kwenda Zambia, DRC na Malawi, naungana na wana Mbeya Kuchangia ToneTone. Cc Erythrocyte, ChoiceVariable
Unakubali kiaina.....X 2 Chid Benz 😂😂😂😂 hawa jamaa wanatisha washakuwa imani hata ufanyeje huwezi wazuia
 
Mikoa ya wavivu ipo!! Ulishapita Tanga, Lindi, Tabora na Mtwara?
Sasa unataka nikatae vipi hii hoja yako potofu kabisa isiyokuwa na msingi wowote.
Nimekwambia hapo juu huu ni mjadala unaohitaji mada inayojitegemea yenyewe; tena ijadiliwe kwa utulivu bila ya hizi hekaheka za ukombozi wa taifa hili.

Wengine wetu wakati huu akili zetu zimetekwa zaidi na hili joto joto la waTanzania kuokoa taifa lao kutoka kwenye janga hili tulilomo sasa.
Utapata wapi utulivu wa akili kujadili maswala ya namna hii wakati akili yote imetekwa na mambo ya hovyo kabisa wanayofanyiwa waTanzania.
 
Jambo la msingi na maana la wewe ndugu Stuxnet kufanya ni kuomba radhi wana JF kwa kufurahia mazira wanayoyapitia Watanzania kwa kuunga mkono CCM + GoT na utendaji kazi wake.
Tukubali kutokubaliana na hiyo ndiyo haki ya kikatiba ya uhuru wa maoni. Siyo kila kitu nifikirie kama wewe, kuna wakati lazima tutofautiane
 
Hii inahusiana nini na mada ndugu Mtibeli? BTW barabara za Mbeya zimechimbuliwa sana ni zaidi ya miaka 3 sasa na hawataki kuzimalizia
Mafungu hakuna mambo yashakuwa magumu sana hazina imepukutika na wadau wa maendeleo wamegoma kutoa pesa kutokana na mwenendo wetu mbovu hasa kwenye suala la haki za binadamu, demokrasia, utawala wa sheria nk Hivyo vumbi litaendelea kutimka hapo sana tu
 
Tumeishi na hiyo hali na tutaendelea kuishi nayo...acha tukomae tu mkuu
 
Tumeishi na hiyo hali na tutaendelea kuishi nayo...acha tukomae tu mkuu
Mwaka juzi nilikuwa huko nilikuwa nikipita sana mitaa hiyo Mbeya Pazuri, Block T, Sae, NaneNane, Forest mpaka Mlowo hali sio hali tena kipindi kile bora mkandarasi alikuwa anajitahidi kumwaga japo maji na kazi ilikuwa inaenda mdogo mdogo ila hapana ifike sehemu tuseme imetosha haiyumkini si shwari vumbi namna ile pale Kabwe, Mwanjelwa hakutamaniki, biashara za watu namna ile haifai. Tulia nae licha yabkuwa naibu spika kisha spika hakuna kitu amefanya haishangazi kakimbia jimbo la Mbeya mjini.
 
Acha ujinga ww, walikuwa wanataka uhuru ama walikuwa wanapambania na ubaguzi wa rangi?
Kuppambana na ubaguzi wa Rangi ndiyo uhuru wenyewe same meaning different jargons
 
Kuppambana na ubaguzi wa Rangi ndiyo uhuru wenyewe same meaning different jargons
Hata hapa tunapambana kuondokana na wakoloni weusi. So uone jinsi unavyojicontradict kwenye utetezi wako.
 
Back
Top Bottom