tonetone

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Q

    JamiiForums Tanzania CCM wanauliza hela ya ToneTone, mwaka jana Samia alichangisha B.86 Mlimani city watuambie ziko wapi

    Kama zilitumika watuambie zilitumikaje, vinginevyo wakae kimya. Ushahidi wa waliochanga na ndio wasaliti wa wananchi. 1. Dkt. Samia Suluhu Hassan - Milioni 100. 2. Wachimbaji wadogo wadogo - Bilioni 16.2; (pamoja na ahadi), bilioni 9 imeshawekwa kwenye akaunti ya CCM. 3. GSM - Bilioni 10...
  2. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Wanasheria wa CHADEMA , Wakili Uchwara Mrema, Jana alitoa Tuhuma za Uongo wakati wa Dodoso , et Million 39 za tonetone zimetolewa kwenye Akaunti !!

    KATIKA Kile kinachoonekana Propaganda, Huyu Wakili kilaza wa Serikali, hakutoa Hilo Ulizo kwa Bahati mbaya !. Ulizo lake, Lengo lake lilijikita kwenye KUAMINISHA UMMA WA WATANZANIA, KUA FEDHA ZA TONETONE ZINALIWA. Kwa unafiki wake , akajifanya Kuishia kwenye Swali, Zilitolewa?. Kama Lengo...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mnyika amjibu Mrema: Ungetaka walipwe wote, ukirudi ofisini mshauri Boss wako mwanasheria Mkuu wa Serikali alipe pesa zetu zaidi ya Milioni 400

    Job Mrema: Ni sahihi ubaguzi ni kinyume na Katiba yetu ya Tanzania? Mnyika: Ni sahihi. Job Mrema: Yale makusanyo ya Tonetone kuna uamuzi ulifanyika kuwa kuna wachache wanufaike na wachache wasinufaike angali wengine wapo? Mnyika: Sio Ubaguzi. Na ungetaka walipwe wote ukirudi ofisini mshauri...
  4. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania CHADEMA's Tonetone Latest Updates: Mpaka kufikia leo asubuhi kapu la tonetone limefikisha TZS 283.1M. Bado TZS 50.9M kufikia target ya TZS 334M

    Hii ndio maana halisi ya tonetone. Maana yake, kila mtu atoe kidogo dogo kwa kadiri ya uwezo wake. Huwezi kuamini kuwa Kuna watu wanachangia hadi TZS 100, 200, 500, 1,000 nk. Hakuna anayetoa milioni 10 au 20 au 50 au 100 au 500 au bilioni 1, 10 kama watakatisha pesa wa CCM na kikaragosi...
  5. figganigga

    JamiiForums Tanzania NMB wakwamisha Mpango wa Tonetone ya CHADEMA. Bado Vodacom

    Sasa hivi huwezi kutuma hela za Tonetone kupitia NMB. Ukituma hela haiendi. Ni mpango wa kukwamisha CHADEMA isifikie lengo la Milioni 334. Je, na Vodacom watagoma kutumia huduma yao?
  6. Idugunde

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wapuuzeni Chaumma msijibu hoja zao. Ninyi komaeni na operation tonetone na Maandamano ya kumtoa Lissu jela

    Ukimjibu mtu ambae hana hoja katika jamii. Unampa mtu nafasi kujiona anafaa. Dili la Chauma kutumiwa na CCM lilishabuma. Andaeni maandamano ya nchi nzima Lissu aachaiwe maana akitoka nje CCM watakiona cha moto.
  7. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Simiyu: CHADEMA yaingia Mitaani kuhamasisha Tonetone, wananchi wajazana, shughuli zavurugika

    Hii ndio Taarifa ya sasa inayosambaa kwa kasi kila mahali Mpango huu kabambe unaongozwa na John Heche ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nimefurahi Sadaka yangu ya mwezi huu July kwenda CHADEMA

    Moyo wangu umejawa na furaha kama Ile ya Abel (Habil) baada ya kutoa sadaka ya kukubalika mbele za Mungu. Ingawa sadaka ya Abel ilikuwa na wivu dhidi ya ndugu yake Kaini.
  9. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Twende kazi Tonetone chaka to chaka, tunaitafuta 334M. Hizi ndizo njia za kuchangia

    Hadi jana tulikuwa na 144M cash. usipitwe ukichanga.changa tena buku inadhamani kubwa.sana kwetu. Nitakuwa naleta updates hapa daily moto wa tonetone ni mkali sana ccm hawaamini macho yao. CHANGIA SASA M-Pesa Namba: 0744446969 Jina: CHADEMA HQ NMB Bank Namba ya Akaunti: 22606600140 Jina la...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mfano Rais akawachangia CHADEMA tonetone, Hali itakuwaje?

    Inatokea Rais samia, nae akaguswa na tonetone la chadema, akaamua kuchanga hata million 50, Je chadema watapokea huo mchango? Je watanzania wataona ni njia kuelekea maridhiano? Je kweli Rais anaweza kuwachangia chadema, au ni jambo lisilowezekana Mpira naurudisha kwenu ma great thinkers...
  11. Common Folk

    JamiiForums Tanzania Public Sympathy: Maelfu ya Wananchi waomba kumchangia Heche baada ya mfumo kumuundia zengwe la uongo kufisadi michango ya "Tone Tone"

    Zengwe walilobuni mfumo la kumzushia Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Ndg. John Heche limemnufaisha zaidi yeye na chama chake baada ya wananchi kukataa "Kununua huo uzushi". Badala yake sasa wameomba Heche awape utaratibu wa kutuma michango yao ili wamchangie yeye kama yeye na si chama tena!
  12. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Tunapoteza mwelekeo: Kwa nini kelele nyingi kwenye michango ya Tonetone, lakini kimya kwenye fedha za umma?

    Kuna jambo ambalo Watanzania tunapaswa kulitafakari kwa kina. Katika kipindi hiki, mjadala mkubwa umeibuka kuhusu tuhuma zinazomhusisha kiongozi wa CHADEMA, John Heche, kuhusu fedha za michango ya wananchi. Tuhuma hizo zinapaswa kuchunguzwa kwa haki na kwa kufuata taratibu za chama na sheria...
  13. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Tunaomba sasa mtupe mapato na matumizi ya ToneTone otherwise ni UTAPELI kama UTAPELI mwingine

    Tunawaomba Chadema waweke wazi mapato na matumizi ya Hela za ToneTone na hatutegemei tusikie walikuwa wanatumia kwenye chakula cha jioni kwasababu John Mnyika alishasema Kuna beberu liliwapa kiasi cha Mil. 918. Na hakuna taarifa yyte ya beberu kustisha wao wanataka tusifanye KAZI ili waanze...
  14. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Tanzania hata mwenyekiti wa mtaa anataka ashinde ofisini muda wote badala afanye kazi zingine haya sasa ToneTone imekoma leo rasmi.

    Hii mentality ya kuishi kupitia siasa kula kupitia mikutano ya Hadhara ifikie mahali iondolewe hasa kwa hawa wanasiasa wanaotegemea wale kupitia kapu la donation. Wewe mwanaume unaishije kwa kutembeza kikapu? Ipo siku utajiuza kwa mabeberu ila mostly mmeshajiuza Mfano wewe kama mwenyekiti wa...
  15. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Mapokezi ya Heche na ToneTone yavunja rekodi Mbeya

    Kwa namna ambavyo Serikali imeudharau mkoa wa Mbeya ambao ndiyo unalisha nchi kwa chakula na ambayo ndiyo lango la kwenda Zambia, DRC na Malawi, naungana na wana Mbeya Kuchangia ToneTone. Cc Erythrocyte, ChoiceVariable
  16. W

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti UVCCM (Kagera) Faris Buruhani: CHADEMA walisema chama wanakiendesha kwa ToneTone, wamenyimwa pesa na wafadhili wameanza kulialia

    Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Kagera Faris Buruhani amekitaka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kutangaza kuikubali Serikali iliyoko madarakani inayoongozwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kabla ya kumuomba Waziri Mkuu kuingilia kati suala la Ruzuku kwa Chama hicho. Ametoa wito huo...
  17. upupu255

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Je, ni kweli viongozi wa CHADEMA wameamuru wapigwe wanaohoji kuhusu tonetone?

    Nimekutana na hii video TikTok na maelezo haya, kuna uhalisia wowote wa hili? == Taswira inayozidi kujitokeza ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) inazidi kuibua maswali mengi kuliko majibu, huku vitendo vya baadhi ya viongozi vikionekana kukiondoa chama hicho kwenye misingi ya...
  18. upupu255

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Je, John Heche amesema pesa za tonetone zitajenga nyumba ya Lissu na kuzigawa kwa viongozi?

  19. Kinoamiguu

    JamiiForums Tanzania Bora Tonetone ya Hiari kuliko Harambee ya Mabwenyenye na Walanguzi

    Habari wanajamvi Kampeni/matamasha yanaendelea watu walewale wanaendelea kusombwa kwa malori kutoka sehemu moja kwenda nyingine. Akiwa kwenye mkutano mmoja wa kampeni juzi, mgombea wa CCM Bibi SAMIA alisema " SISI SIYO WALE WA TONETONE" Bila shaka raisi ameelewa maana ya tonetone ama hajaelewa...
  20. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Sisi hatuendi na 'Tone Tone' tunamimina Fedha

    Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, amewataka wananchi wa Wilaya ya Kondoa kuendelea kuamini chama hicho kwa kuchagua wagombea wake kuanzia ngazi ya urais, ubunge hadi udiwani, na kwamba chama hicho hakiendi na “tone tone,”...
Back
Top Bottom