Mapishi yamtoa binti nishai ukweni

Mapishi yamtoa binti nishai ukweni

Hayo yote hutekea kwa sababu mbalimbali, mfano wewe Mamafacebook, unauza duka la mumeo kariakoo, ila mumeo ni mwajiliwa sehemu nyingine, yeye anawahi kurudi kabla yako, mfano anarudi saa 14:00 wewe muda huo bado uko dukani hamtahitaji msaidizi nyumbani. Ila mke wangu kama hajui kupika nitampeleka sehemu kujifunza, ila simwachi labda kama sjampenda.

Akiwahi kurudi atajipikia hahaaa
 
Kweli bhana I wish wanaume wote wangekuwa wanawaza kama wewe. Kuna vitu mtu huwezi kumfundisha mf. Huwezi kumfundisha malaya kutulia ila kupika mtu anajifunza tu japo wengine naturally hawapendi kupika...sijui mimi ni mmoja wao?
Yah, kama hupendi kupika, hata kama unajua ni kumjulisha mpendwa wako mapema kabla hamjawa pamoja, ili aweze kupima kama anaweza kumudu kuishi na wewe kwa mapungufu yako, hata huyo aliandikiwa mada hii, angemueleza mwenzi wake mpema udhaifu wake, yasingemkuta hayo.
 
Hayo yote hutekea kwa sababu mbalimbali, mfano wewe Mamafacebook, unauza duka la mumeo kariakoo, ila mumeo ni mwajiliwa sehemu nyingine, yeye anawahi kurudi kabla yako, mfano anarudi saa 14:00 wewe muda huo bado uko dukani hamtahitaji msaidizi nyumbani. Ila mke wangu kama hajui kupika nitampeleka sehemu kujifunza, ila simwachi labda kama sjampenda.
Mke kama hajui kipika mkipata wageni unakaa nae jikoni unapika wewe chakula kikiiva unatangulia kukaa na wageni unamwachia awatengee
 
Msukuma wewe utajulia wapi kukaangiza...
Kweli bhana I wish wanaume wote wangekuwa wanawaza kama wewe. Kuna vitu mtu huwezi kumfundisha mf. Huwezi kumfundisha malaya kutulia ila kupika mtu anajifunza tu japo wengine naturally hawapendi kupika...sijui mimi ni mmoja wao?
 
Sina hakika ulikuwa na haraka gani ila acha nifanye kazi yangu.
familia mzima = familia nzima
Bible = bibie
Rosta = risti (list)
Jongoo = jogoo
Linejaa = limejaa
Mqanamke = mwanamke
Break fast = breakfast
 
Back
Top Bottom