Mapinduzi yaja Tanzania

Mapinduzi yaja Tanzania

Pakichafuka unaweka wapi makamasi yako, unaroho mbaya kuliko shetani, eti unaombea matatizo zaid
Acha iwe mbaya,kama huna uacholinda ie masiha ya kifisadi nk. then unajali nini?Nazungumzia ambao hawana wanacholinda ie mali za kifisadi nk.Hao ndiyo watanzania walio wengi.Uzuri ni kwamba si wananchi wote watakaopoteza maisha.Lakini ukweli ni kwamba mtatia adabu na taifa litakuwa kwenye msitari.Hayo matumbo yenu yaliyojaa mavi yatatoboka?Tafuta pa kuyaweka.
 
Pakichafuka unaweka wapi makamasi yako, unaroho mbaya kuliko shetani, eti unaombea matatizo zaid

Kwani hapa kuna amani, yaani amani ya watu wachache kuvimbewa na wengine kufa njaa! sasa kunatofauti gani na machafuko, yaani hapa tupo katika machafuko makubwa sana kuliko hata Kandahar, fikri vizuri.
 
.. ..

Tuwe tayari muda wowote,tujiandae.Hakuna wa kutuzuia....nitakuwa msatari wa mbele katika hili.Muda wenyewe hauko mbali

Wabillah Tafiq Ben nitakuwa pembeni yako mstari wa mbele kwani binadamu si kitu, Mbona tuliowatuma Uganda kwa amini walienda kwa heshima kubwa kwani hawa kuwa na damu? Kwani amini hakuwa na sihala za kuwaangamiza wanajeshi wetu? Mbona walisonga mstari hatua kwa hatua bila kujali nani kafa jana!

Kama ni kufa tutakufa tu, kama si kwa HIV basi kwa ajali au njaa au Malaria; bora kufa tukidai uhuru wa kuondoa hawa wakoloni kuliko kusubiri watuuwe kwa Malaria na njaa; Huu udhalim hauwezi kuondoka wenyewe bila sisi kuingia Barabarani na kuweka kambi Magogoni tuonyeshe kwa vitendo kuwa hatutaki.
 
Kweli jk aondoke coz hao watu anaowabeba wana kiburi na wanaringia matunda ya wezee wetu huko vijijini walipa kodi,yani jamaa anawabeba washikaji wake, tupunguze ushabiki wa ajabu this true hiyo ccm ni mzigo na hao wanaojiita wapambanaji wa ufisadi wanatupumbaza. Lengo lao ni kujiandaa kula kwa miaka inayokuja
 
Reverend Masanilo,

Kuna mahali nilichangia kwenye thread aliyoianzisha mkandara leo alfajiri nikasema

Mkandara,

Hoja nzuri sana umetoa.Kama demokrasia ingekuwa universally beneficial kwa mataifa yote basi tungekuwa katika nafasi nzuri zaidi ya kunufaika.Kwa hali ilivyo sasa,ni kweli kuna kila Dalili kwamba Demokrasia imetushinda tunaifanyia majaribio tu bado tena kwa mbinu na mikakati ile iliyoshindwa

Kwa kweli hii dhana tuliyoletewa ya Demokrasia,imesababisha sisi kurudi nyuma.Hatuna tofauti na mfumo wa kisultani.Leo hii maamuzi magumu ya hayawezi kuchukuliwa kwa hoja ya kipuuzi kabisa mkuu wa nchi yupo nje ya nchi.Rais akiwa nje kuna VP na wengineo,katiba yenye maono ya demokrasia inasema hivyo.

Ni bora turudi kwenye mfumo wa chama kimoja utakaozuia fikra ili sisi wengine tusiopenda kuburuzwa tutumie nguvu za kimapinduzi kwa kusukumwa na uzalendo wetu tuchukue nchi tuongeze kidikteta lakini kizalendo.Tunahitaji utawala kama wa Gaddaffi,tunahitaji mfumo kama wa kagame na Hugo Chavez.tunahitaji mfumo kama wa Evo morales,kusema kweli na siogopi kusema Democracy does not Suit us.bado hatujajiandaa,hii ni imported vice ! ! !

Kama si kuitikia wito na kukubali kuburuzwa na mfumo wa kibeberu,leo hii ningekuwa kwenye kambi,milima ya mbali na au hata msituni kujiandaa kizalendo.Ningekuwa na sababu za kutosha ! ! ! Huwezi kuwa na demokrasia ya kweli kama wananchi wako ni maskini,wanasumbuliwa na maradhi na Ujinga....Huwezi kuwa na uongozi ambao ni zao la Demokrasia bila kuwa na msingi wa imani ya kisiasa,kiuchumi na kijamii katika kiungo cha uongozi na utawala (namaanisha ideology).

Leadership tuliyo nayo ni hadaa tu,sio kwa serikali tu hata kwa vyama vingine vya siasa.Tunapata pigo kubwa sana kwa ngumi iliyovaa gloves za demokrasia(Pseudo democracy).jaribu kufikiria na kutafakari juu ya mfumo wote wa vyama vya siasa Tanzania,jaribu kufuatilia mfululizo wa matukio kwenye vyama hivyo.Kila siku tunapiga hatua kuwasukuma vijana wazalendo kuingia kambini,milimani au misituni.kila dakika ambayo tunahubiri democracy na vijana wazalendo kweli kweli kwa nchi yao hawaoni uhalisia na matunda yatokanayo na dhana hiyo basi tunawatoa kwenye Demokrasia tunawapeleka misituni.

Haya yana Mwisho,kinachohitajika ni hatua za haraka zichukuliwe ama la basi yatatimia.Carl max,alisema...'A single step in the Revolutionary movement worths a Dozen programmes'

Hapa naona kama unailaimu democracy kama kiini cha matatizo tuliyo nayo. Tunaweza kurudi kwenye mfumo wa chama kimoja na haya matatizo bado yakaendelea kuwepo. Sidhani kama issue ni kuwa au kutokuwa na democracy. BTW, pia inategemea una maana gani ya democracy. You seem to limit democracy as a political system for choosing and replacing the government through free and fair elections. Lakini weengine tunaiangalia demokarasia kwa mapana zaidi which include a rule of law, in which the laws and procedures apply equally to all citizens and the protection of the human rights of all citizens.

Kama nilivyosema kwenye posts nyingine, tatizo hapa sio kuwa au kutokuwa na democracy. The real problem ni sisi Watanzania wenyewe. I posted this somewhere else let me repeat it here. I know that we have talked incessantly about making change, but we have never asked the question if most people really want change. Personally, I do not see it. If people really wanted to change, they would. There is no one great power, alien or other, that seems to have control over ourselves.

So, before any of us start to blame concepts like democracy, religion or government for the lack of positive change, remember that governments, society, religions, nations and so on are made up of individuals. Many individuals develop or believe in irrational, illogical or false concepts and it is these individuals who need to change. It is only individuals that truly can make change, not concepts. There seems to be so few people who are aware, rational, logical, empathetic and intelligent enough to offer or accept positive change. Many of the members here at JF have come up with great ideas, but how do a few change the minds of the many, especially when the many do not desire change?

The biggest reason that Tanzanians do not make positive change in their lives is fear. Fear of the unkown, fear of persecution, fear of alienation and so on. There are also people who have become very comfortable with their lives and do not want to change, even if it is positive. They are also known as indifference, laziness or apathy. Another fundamental reason, is Tanzanians have been programmed. We have people who have been educated or coersed to "believe" that their negative belief systems are correct and do not need to be changed. They are also known as delusion or brainwashed. We have plenty of them even here at JF. Then, we have people with ego who believe that they are beyond the need for any change.

If you read Masanilo's first post, it clearly shows that people want things to change. But people always want things to be better than they are. No matter how good we ever have it we will always want it to be better. But the other side of the coin is people's willingness to change themselves. This is the clincher. This is where it gets really tough because despite how good it could be people are very rarely willing to change themselves. Take, for example, the frog in water comparison, a frog will jump out of a pot of boiling water but if the water starts at room temperature and is brought to a boil what do you have? Cooked frog.

So, lets not blame concepts. Lets blame ourselves first. The water in the pot is boiling up but we don't want to jump out of it. Instead, we are blaming the pot. We will end up being cooked in the pot just like the frog.
 
@Barubaru

Unavyoongelea Wa-Tanzania ni kama Wa-CCM wanayoona Wa-Tanzania!

Kumbuka ule msemo maarufu wa Wa-China "a journey of thousand miles..." - Tumeanza safari despite all ODDS! Historia yetu ndiyo imetufikisha hapa - hapa tulipo ni kama mgonjwa aliyepo Intensive Care UNIT (ICU) - Tunahitaji madaktari bingwa (Watu wenye uzalendo, wenye uchungu na nchi yao) kutuwezesha kurudi wodini kama wagonjwa wengine ile tuanze kupata matibabu kama wagonjwa wengine tukielekea kupona..

Regardless mambo yaliyotokea huko nyuma - Miaka hamsini ya UHURU ni muda mrefu saana kuendelea kuishi bila maisha - alive but dead! Inawezekana mimi ni mwoga na Rev Masa ni mwoga, lakini trust me you - Enock siyo mwoga - and that is what I'm personally banking on - Our children will need to "live and let others live"...
 
Wendawazimu ninyi mlinyonya wiki ngapi? Mtu aliyenyonya vizuri hawezi kufurahia machafuko. Mbona mnafikiri kwa kutumia kamasi?

Wewe ni sehemu ya matunda ya Ufisadi na ndio maana ukapewa kuwa Muweka hazina wa hicho chama, hivyo akili yako imeziba hawezi kufikiri vyema.
 
Hivi kwa nini ndege hazipati ajari siku hizi?Ningependa kusikia hivi kwenye taarifa ya habari ndege aina ya xxxxx kutoka SA imelipuka na kuteketea,baada ya tank la mafuta kutoboka
siku hiyo ningefunga turubai nje ningenunua kreti za bia na mbuzi wa hitima na kuanza kulia kilio cha furaha.
Ama kweli JK kama hapendwi kama shetani,niamini mimi maxence ameshapigiwa simu afunge hii thread kisa inatachochea mapinduzi na umwagaji damu
 
Mapinduzi hayawezi kutokea ila yawezekana kabisa machafuko kutokea. Dalilizote zimekwisha jitokeza na navyowajua Wadanganyika wanasubiri tu mbiu ya Mwizi waanze kualikana wakiwa na mapanga mikononi. Ni jambo jingine kusema mapinduzi kwa sababu mapinduzi hupangwa na hutayarishwa na kundi la watu wakati machafuko ni cheche ndogo tu inayotakiwa kuwashwa na hali ikabadilika kabisa..

Kusema kweli hali iliyopo sasa hivi inatisha na nachelea kusema nina mashaka makubwa sana kama JK atamaliza miaka minne iliyobakia kwa usalama ikiwa hatachukua maamuzi magumu kukabiri hali mbaya ya uchumi iliyopo. Tatizo la Umeme hayatokani na mvua ambazo JK amedai hazikunyesha bali mipango mibaya ya serikali ktk utekelezaji wa kilimo kwanza. Mvua zimenyesha sana mwaka huu kuliko miaka 20 iliyopita, imewakumbusha wananchi zile mvua za miaka ya 70 na 80 lakini kwa sababu wananchi wengi wamevuta maji toka vyanzo vya mito kumwagilia mashamba yao, kujenga visima na kadhalika hii ndio athari yake kwani mto hauna vyanzo vya chemichemi kama za ziwa ama Bahari ni maji yanayopita kwa kasi kutoka vyanzo mbalimbalia ikiwa ni pamoja na mvua.

Wakati wananchi wanalia na umeme hali ya uchumi wetu ni mbaya kupita kiasi na pengine kuliiko hata Ugiriki isipokuwa sisi waafrika ni kawaida yetu kuficha maradhi, hivyo ugonjwa utakuja kutuumbua!... katika hali hiyo nina mashaka sana kama wananchi watakuwa na subira tena.
Mkuu heshima yako!
Katika watu walioongea UKWELI wa hali halisi ya TZ kwa sasa ni wewe.Ni ukweli kabisa sio mapinduzi bali ni machafuko ndo yatatokea hapa nchini kwetu tena muda sio mrefu tutayaona hayo.
Watu wamechoka na kinachosubiriwa ni cheche tu...afu walianzishe.Angalia yaliyotokea Mwanza na Arusha utagundua kuwa watu imefika hatua hata polisi hawawaogopi kabisa!
 
MABADILIKO YAJA TANZANIA ZAIDI YA TSUNAMI: VIJANA WALALAHOI KOTE NCHINI TUKAE MKAO WA KULA TANGU SASA !!!!!!!!!

Msione Rais Kikwete anavyozunguka ovyo duniani; mambo si shwari tangu ndani ya familia yake, si shwari ikulu, nasema na wenye akili wanajua kwamba mambo si shwari kwenye kikundi cha wanamtandao, serikalini wala kimataifa.

In a nutshell, president Kikwete is by this minute far more than just a MAN UNDER SIEGE under the cobweb of political miscaculations and over-merchinisation.

The centre can no longer hold anymore, things are imminent of falling apart to the very core of his own family government; and that slightly explains Mama Salma's eloquent hybernation from public view with her supposed better half in life.

Na kwa upande wa suala zima la TAASISI ZA SERIKALI NA UENDESHAJI wake; kote huko ni mrundikano wa mashemeji mtindo mmoja, washikaji hivyo utendaji wa tija pengine tuutegemee kwa 2020 huko na wala si leo hii!!!!

Hakika vyombo vya Usalama wa Viongozi wa CCM, Taasisi ya Kuboresha na Kushamirisha Rushwa Nchini pamoja na Tume ya Taifa ya Uchakachuaji Uchaguzi vyote kwa pamoja vikome kutumia jina letu kama Tanzania na viache pia kutumia kodi zetu maana havina TIJA tena kwetu.

Nasema vyombo hivi ni kero kubwa kuliko hata jinsi Rais Kikwete alivyo mzigo wa misumari ya moto mabegani mwetu. Hebu tuacheni tujue kimoja kwamba hatuna Taasisi za Kiserikali zenye kuweza kufanya kazi KWA MASLAHI YA TAIFA (Sisi wananchi).

Kitendo cha Rais Kikwete kupenyeza
WANAMTANDAO (Mdudu aliyoiumba yeye na sasa kumshinda kuidhibiti na sumu zake) dhana ya TAASISI haipo tena Tanzania bali ni kwamba kumebakia tu masimulizi za enzi za Mwalimu Nyerere ambapo TAASISI kweli zilikua zikifanya kazi kwa weledi zaidi na kuheshimika na wananchi walio wengi.

Mabadiliko yaja Tanzania kwa Mtindo ambao ni zaidi ya Tsunami na wachafu wote kusahaulika hivi karibuni.

Nguvu ya mabadiliko Tanzania inakuja kwa kasi ya ajabu. Hakuna kinachoweza kuzuia nguvu ya umma. Kila sehemu ya maisha wananchi wa kada zote wanaonyesha kutofurahia serikali iliyopo madarakani. Ugumu wa maisha na kushamiri kwa rushwa ni kero kubwa kwa Mtanzania wa kawaida. Unachokiona hapa JF pamoja na propaganda lakini ni wazi watetezi wa serikali ya Magamba huwa hawana hoja, nimepitia Twitter, Facebook na blog nyingi zinazoongozwa na watanzania kote huko serikali inachanwa mno. Pamoja na kuwa na watetezi wa mafisadi lakini ninaona kabisa wimbi hili litatufikisha mahali pazuri. Nimeongea na jamaa yangu yuko hazina pale wizara ya fedha kutaka kujua ukweli wa uchumi wetu, alichonijibu hakuna tofauti na anachofanya Jairos bungeni. Uchumi wetu umeathirika sana na mgawo wa umeme. Lakini kunapropaganda eti uchumi unakuwa hii ni kumdanganya nani....hata sisi tusiojua hata zile theories of economic development tunaona inflation inavyokuwa kwa kasi. Wataalamu wanaambiwa wachakachue takwimu ili waziri aweze ongea kile ambacho serikali inapenda kukisikia.

You cant change the wind of changes .......aluta continua pamoja tunaweza epusha nchi yetu kutoka kwa mafisadi hawa.
 
Tanzania tupo zaidi ya Mil 40, ninaamini kati yetu wapo walio bora zaidi. Tunahitaji mtu mwenye uchungu na vision ya kuleta maendeleo....tumechoka na sanaa na maigizo

Rev,

Umefanya kosa kubwa kumjibu huyo jamaa (Mr siju Mrs Mark!!). Kuona kwamba mambo hayaenda sawa siyo lazima wewe binafsi uwe na uwezo wa kuwa rais!

Kuna watu wana mawazo ya ajabu sana......!!
 
Rev,

Umefanya kosa kubwa kumjibu huyo jamaa (Mr siju Mrs Mark!!). Kuona kwamba mambo hayaenda sawa siyo lazima wewe binafsi uwe na uwezo wa kuwa rais!

Kuna watu wana mawazo ya ajabu sana......!!

Kibaya zaidi hao ni majority! Wakipewa kofia na kuambia nchi yetu tunaenzi amani na utulivu umewamaliza hawawezi fikiria zaidi ya urefu wa pua zao.
 
mkuu wanajeshi wengi nji hii ni wabinafsi, wanalipwa hela nyingi sana na wanamtii Shimbo km Mungu wao, believe me, jaribu kumdodosa mmoja uone, watakwambia nnayosema hapa, hawao tusiwategemee kabisa katika mapinduzi tunayotarajia kuyafanya, labda askari magereza au manjuka wa mwema wanaoua raia, cha msingi watu wajitokeze kwa wingi ili risasi ziwe chache kuliko waandamanaji.
egypt na mubarak
 
Hapa naona kama unailaimu democracy kama kiini cha matatizo tuliyo nayo. Tunaweza kurudi kwenye mfumo wa chama kimoja na haya matatizo bado yakaendelea kuwepo. Sidhani kama issue ni kuwa au kutokuwa na democracy. BTW, pia inategemea una maana gani ya democracy. You seem to limit democracy as a political system for choosing and replacing the government through free and fair elections. Lakini weengine tunaiangalia demokarasia kwa mapana zaidi which include a rule of law, in which the laws and procedures apply equally to all citizens and the protection of the human rights of all citizens.

Kama nilivyosema kwenye posts nyingine, tatizo hapa sio kuwa au kutokuwa na democracy. The real problem ni sisi Watanzania wenyewe. I posted this somewhere else let me repeat it here. I know that we have talked incessantly about making change, but we have never asked the question if most people really want change. Personally, I do not see it. If people really wanted to change, they would. There is no one great power, alien or other, that seems to have control over ourselves.

So, before any of us start to blame concepts like democracy, religion or government for the lack of positive change, remember that governments, society, religions, nations and so on are made up of individuals. Many individuals develop or believe in irrational, illogical or false concepts and it is these individuals who need to change. It is only individuals that truly can make change, not concepts. There seems to be so few people who are aware, rational, logical, empathetic and intelligent enough to offer or accept positive change. Many of the members here at JF have come up with great ideas, but how do a few change the minds of the many, especially when the many do not desire change?

The biggest reason that Tanzanians do not make positive change in their lives is fear. Fear of the unkown, fear of persecution, fear of alienation and so on. There are also people who have become very comfortable with their lives and do not want to change, even if it is positive. They are also known as indifference, laziness or apathy. Another fundamental reason, is Tanzanians have been programmed. We have people who have been educated or coersed to "believe" that their negative belief systems are correct and do not need to be changed. They are also known as delusion or brainwashed. We have plenty of them even here at JF. Then, we have people with ego who believe that they are beyond the need for any change.

If you read Masanilo's first post, it clearly shows that people want things to change. But people always want things to be better than they are. No matter how good we ever have it we will always want it to be better. But the other side of the coin is people's willingness to change themselves. This is the clincher. This is where it gets really tough because despite how good it could be people are very rarely willing to change themselves. Take, for example, the frog in water comparison, a frog will jump out of a pot of boiling water but if the water starts at room temperature and is brought to a boil what do you have? Cooked frog.

So, lets not blame concepts. Lets blame ourselves first. The water in the pot is boiling up but we don't want to jump out of it. Instead, we are blaming the pot. We will end up being cooked in the pot just like the frog.

EMT,

Thanks alot for you contribution/clarification.Hata hivyo unahitaji tena kuisoma hiyo post yangu.By the way hebu ielezee hiyo demokrasia kwa mapana halafu tuangalie sisi tuna aina gani ya democracy.

Instead of the Tanzanian masses physically rebelling against the leaders, a rebellion that will leave the masses of Tanzanians dead or hurt, the masses must rebel instead against the lies and ignorance created by the gouvernment which keep the minds of Tanzanians people imprisoned and their mental strength weak. To make it plainer, the only rebellion the Tanzanian masses can win at this time is a mental revolution, which will put the Tanzanian masses in mental power. Then they will have the power to do anything else that may be necessary for complete liberation and well being.

We need a revolution/radical change, but it has to be planned. It has to be structured and it has to be timed. People have to be re-oriented that revolution doesn't mean tribal war or ethnic cleansing. They have to be reminded that there will be no looking back.By true revolution, I mean the complete uprooting and overturning of the status quo; who the powers are, how the economy runs, how regions integrate, refocusing of the media and other instituitions for positive propaganda and localisation of solutions

Revolution ought not to be envisioned as an attempt to transform Tanzania into a functional democratic nation-state because the motive behind the birthing of this nation-state by the colonials is exactly what we see on the ground today and that is: socio-political upheaval; a precondition for the sustainance of an economy of extraction. In other words, the Tanzania situatuion is not an accident rather it is the sole result of the social engineering of a diverse people. Tanzania cannot be reformed it can only be dismantled.

A revolution should be geared towards a forceful implementation of the most suitable political and economic structure for the diverse groups of peoples contained in that geopolitical area called Tanzania. Such a social structure would address and accomodate, most importantly, the divergent interests of all gruops invovled. A confederacy of sovereign ethnicities will do the trick.

The people are the resistance.It's true that anzanians fail to know we got a common attitude wether you like it or not we have a comfort zone mentality. We got people praying for a revolution,even U.S got them too but the more we keep growing the less we see in a revolution.There are those who like to talk all day, but some of us are just here looking for like-minded folks who are actually ready for change to step out with us, and start somewhere. Are you one of those?
 
Looks like our society itself is corrupt and may be the reason why we have a corrupt regime!

Kwa sasa kusema ukweli mambo magumu, lakini tufanyeje kubadili hulka ya Watanzania hawa? hulka ya kutaka mafanikio bila kuto jasho, sishangai wengi tunatamani mabadiliko lakini hatutaki kushiriki mapambano.

Inabidi hali izidi kuwa mbaya zaidi ya ilivyo sasa kabla hujapata watu wa kutosha kufanya mapinduzi. Mambo yawe magumu kiasi kwamba hata akina Jairo huko maofisini wakose cha kuiba nao waje watuunge mkono.
 
egypt na mubarak

kweli mkuu! tena hapa dar najua hapatatosha, watu ni wengi mno, njia rahisi tukidhamiria tunafunga bara bara kwa malori tu, na hivyo miundo mbinu yetu ilivyo butu, ha ha ha haa...hakuna kibajaji cha FFU kitapenya, TUKIAMUA TUNAWEZA, tatizo wabongo hii thread itapita bila action, braa braa braa braa nyingi.
 
Reverend Masanilo,

Kuna mahali nilichangia kwenye thread aliyoianzisha mkandara leo alfajiri nikasema

Mkandara,

Hoja nzuri sana umetoa.Kama demokrasia ingekuwa universally beneficial kwa mataifa yote basi tungekuwa katika nafasi nzuri zaidi ya kunufaika.Kwa hali ilivyo sasa,ni kweli kuna kila Dalili kwamba Demokrasia imetushinda tunaifanyia majaribio tu bado tena kwa mbinu na mikakati ile iliyoshindwa

Kwa kweli hii dhana tuliyoletewa ya Demokrasia,imesababisha sisi kurudi nyuma.Hatuna tofauti na mfumo wa kisultani.Leo hii maamuzi magumu ya hayawezi kuchukuliwa kwa hoja ya kipuuzi kabisa mkuu wa nchi yupo nje ya nchi.Rais akiwa nje kuna VP na wengineo,katiba yenye maono ya demokrasia inasema hivyo.

Ni bora turudi kwenye mfumo wa chama kimoja utakaozuia fikra ili sisi wengine tusiopenda kuburuzwa tutumie nguvu za kimapinduzi kwa kusukumwa na uzalendo wetu tuchukue nchi tuongeze kidikteta lakini kizalendo.Tunahitaji utawala kama wa Gaddaffi,tunahitaji mfumo kama wa kagame na Hugo Chavez.tunahitaji mfumo kama wa Evo morales,kusema kweli na siogopi kusema Democracy does not Suit us.bado hatujajiandaa,hii ni imported vice ! ! !

Kama si kuitikia wito na kukubali kuburuzwa na mfumo wa kibeberu,leo hii ningekuwa kwenye kambi,milima ya mbali na au hata msituni kujiandaa kizalendo.Ningekuwa na sababu za kutosha ! ! ! Huwezi kuwa na demokrasia ya kweli kama wananchi wako ni maskini,wanasumbuliwa na maradhi na Ujinga....Huwezi kuwa na uongozi ambao ni zao la Demokrasia bila kuwa na msingi wa imani ya kisiasa,kiuchumi na kijamii katika kiungo cha uongozi na utawala (namaanisha ideology).

Leadership tuliyo nayo ni hadaa tu,sio kwa serikali tu hata kwa vyama vingine vya siasa.Tunapata pigo kubwa sana kwa ngumi iliyovaa gloves za demokrasia(Pseudo democracy).jaribu kufikiria na kutafakari juu ya mfumo wote wa vyama vya siasa Tanzania,jaribu kufuatilia mfululizo wa matukio kwenye vyama hivyo.Kila siku tunapiga hatua kuwasukuma vijana wazalendo kuingia kambini,milimani au misituni.kila dakika ambayo tunahubiri democracy na vijana wazalendo kweli kweli kwa nchi yao hawaoni uhalisia na matunda yatokanayo na dhana hiyo basi tunawatoa kwenye Demokrasia tunawapeleka misituni.

Haya yana Mwisho,kinachohitajika ni hatua za haraka zichukuliwe ama la basi yatatimia.Carl max,alisema...'A single step in the Revolutionary movement worths a Dozen programmes'
Angalau katika siku nilizowahi kukufahamu humu Jamvini Ben leo jambo muhimu sana na la maana kwamba sisi sheri na kuendesha nchi ki demokrasia bado haitakuwa na maana kulingana na hali halisi ilivyo tumeoza kila kona na kama tukichekeana tutachukua miaka zaidi 20 tukipelekena mahakani kutafuta haki za binadamu na Demokrasia kitu ambacho hapa kwetu ni story
 
Back
Top Bottom