Masanilo
Platinum Member
- Oct 2, 2007
- 22,283
- 4,553
- Thread starter
- #81
Mchungaji,
Jana kuna thread nime comment kuhusu yanayoendelea huko Malawi na kama yataweza kutokea Tanzania. Nikasema Watanzania tumekuwa wapole sana kwa serikali yetu. Serikali imejaa kibri na inajiona inaweza kufanya lolote kwa wananchi na bado inategemea kuwepo madarakani. Watanzania tume kuwa kama hatuna namna ya kuiwajibisha serikali yetu. Tunalalama tuu. Nikasema pia tatizo moja kubwa ambalo linatukabili ni kuwa tumekubali matatizo yanayotukabili kuwa part ya maisha yetu. Matokeo yake tunaishia kulalamika tuu bila kuchukua concrete action to eradicate the problems. Nikaweka picha hiyo hapo chini na kusema kuwa kama inafikia hatua ya watu kama hao kuyakubali matatizo kuwa part ya maisha then, there is nothing you can do about it.
![]()
Nikasema people believe things have fallen apart and that "It is no Longer at Ease" like it used to be. But they're doing nothing because they strongly believe "A Man of the People" will come around and rescue them. Nikasemasa there are also those who believe that "The Beautiful Ones are not yet Born", kwa hiyo wanasubiri mpaka wazuri wazaliwe. Lakini naamini the majority are afraid of "The Petals of Bloods" ndio maana tunasizitiza amani na utulivu. We're afraid to face "The Trial of Dedan Kimathi".
Mchungaji kama umepitia huko Twitter, Facebook na blogs za Watanzania, jaribu kusoma comments zilizoachwa na wachangiaji. Mara nyingi wachangiaji wanasema Eee Mungu tusaidie. Wengi wanaamini there is nothing they can do about the problems they are facing, so they have left it to God to help them. Hata wakati wa Mapinduzi ya Tunisia na Misri watu hapa walikuwa wanamwomba Mungu yatokee pia Tanzania. Then, jaribu kupitia blogs za Wakenya. They don't mention God in their comments, unless ni issue ya kidini. They don't depend on God to fix their problems. Kama Wakenya walikuwa wanamtegemea Mungu wasingepata katiba mpya.
Kwa kifupi siamini kama mapinduzi yanakuja Tanzania. Not yet. Bado sana. Tena sana. Tutandelea kulalamika, kutoipenda serikali n.k lakini yote tutamwachia Mungu. Sijui huko kanisani huwa mnawafundisha nini waumini. Kuwa mwombe Mungu tuu na matatizo yako yote yataisha?
Sahihi kabisa ! Ni ukweli huu mchungu kuukubali, lakini ukirudi nyuma ni mfumo wetu na makuzi yetu! Anachosema Kiongozi wa Dini ama na serikali tuliaminishwa ni sahihi kabisa. Ndiyo maana hata viongozi wa dini wanatubeza eti ni chaguo la Mungu. Kupenda kwetu kuamini uwongo basi tunapelekea kila kitu kuomba nguvu za kimungu zitusaidie umeme urudi na rushwa iondoke.
Time is always a good judge...lets wait a little longer, with our concerted efforts I tend to believe we will be there one day!!!