DE FULE
JF-Expert Member
- Jan 10, 2013
- 1,213
- 714
Tatizo kwa social media mko wachache sana kuliko hao ambao wameirudisha tena CCM madarakani
Waambie waambieeeeee [kwa sauti kubwaaaa]
Nchi kubwa sanaa hii....
Tatizo kwa social media mko wachache sana kuliko hao ambao wameirudisha tena CCM madarakani
kuta za ndege zimeupumbaza ubongo wake
Hata wachungaji wako wanao tumia mapepo kuhadaa watu walisema hivyo hivyo, na kibaya walimuambia lowasahukatwi, akakatwa, wakasema tena eti hakuna wa kuzuia mafuriko sasa mafuriko yako baharini. Mkome kumtania Mungu!Nguvu ya mabadiliko Tanzania inakuja kwa kasi ya ajabu. Hakuna kinachoweza kuzuia nguvu ya umma.
Kila sehemu ya maisha wananchi wa kada zote wanaonyesha kutofurahia serikali iliyopo madarakani. Ugumu wa maisha na kushamiri kwa rushwa ni kero kubwa kwa Mtanzania wa kawaida.
Unachokiona hapa JF pamoja na propaganda lakini ni wazi watetezi wa serikali ya Magamba huwa hawana hoja, nimepitia Twitter, Facebook na blog nyingi zinazoongozwa na watanzania kote huko serikali inachanwa mno. Pamoja na kuwa na watetezi wa mafisadi lakini ninaona kabisa wimbi hili litatufikisha mahali pazuri. Nimeongea na jamaa yangu yuko hazina pale wizara ya fedha kutaka kujua ukweli wa uchumi wetu, alichonijibu hakuna tofauti na anachofanya Jairos bungeni.
Uchumi wetu umeathirika sana na mgawo wa umeme. Lakini kunapropaganda eti uchumi unakuwa hii ni kumdanganya nani....hata sisi tusiojua hata zile theories of economic development tunaona inflation inavyokuwa kwa kasi. Wataalamu wanaambiwa wachakachue takwimu ili waziri aweze ongea kile ambacho serikali inapenda kukisikia.
You cant change the wind of changes .......aluta continua pamoja tunaweza epusha nchi yetu kutoka kwa mafisadi hawa.
Tuanze kwanza na kutengeneza vyama ( chama) vya siasa vyenye uzalendo na demokrasia ya dhati, vyenye nia ya kweli ya kumkomboa mtanzania..!! Tukifanya hivyo kweli tutafanikiwa lakini kwa maigizo yanayoendelea ni ngumu sana kutafunika...
Natamani jeshi lichukue nchi. Uonevu basi.
Bora mchg mtikila kafa
Hivi kwa nini ndege hazipati ajari siku hizi?Ningependa kusikia hivi kwenye taarifa ya habari ndege aina ya xxxxx kutoka SA imelipuka na kuteketea,baada ya tank la mafuta kutoboka
siku hiyo ningefunga turubai nje ningenunua kreti za bia na mbuzi wa hitima na kuanza kulia kilio cha furaha.
Nguvu ya mabadiliko Tanzania inakuja kwa kasi ya ajabu. Hakuna kinachoweza kuzuia nguvu ya umma.
Kila sehemu ya maisha wananchi wa kada zote wanaonyesha kutofurahia serikali iliyopo madarakani. Ugumu wa maisha na kushamiri kwa rushwa ni kero kubwa kwa Mtanzania wa kawaida.
Unachokiona hapa JF pamoja na propaganda lakini ni wazi watetezi wa serikali ya Magamba huwa hawana hoja, nimepitia Twitter, Facebook na blog nyingi zinazoongozwa na watanzania kote huko serikali inachanwa mno. Pamoja na kuwa na watetezi wa mafisadi lakini ninaona kabisa wimbi hili litatufikisha mahali pazuri. Nimeongea na jamaa yangu yuko hazina pale wizara ya fedha kutaka kujua ukweli wa uchumi wetu, alichonijibu hakuna tofauti na anachofanya Jairos bungeni.
Uchumi wetu umeathirika sana na mgawo wa umeme. Lakini kunapropaganda eti uchumi unakuwa hii ni kumdanganya nani....hata sisi tusiojua hata zile theories of economic development tunaona inflation inavyokuwa kwa kasi. Wataalamu wanaambiwa wachakachue takwimu ili waziri aweze ongea kile ambacho serikali inapenda kukisikia.
You cant change the wind of changes .......aluta continua pamoja tunaweza epusha nchi yetu kutoka kwa mafisadi hawa.
Watanzania tuko waoga mno, inflation rate inakuwa kama Zimbabwe bado tunapiga domo! Ingekuwa kwa wachimba mafuta, tungeisha mkimbiza Vasco da Gama II siku nyingi.
Nchi imemshinda, uchumi umeporomoka vibaya na maisha yamekuwa magumu yeye anakata mawingu na sisi tunaendelea kujipa moyo-tuchukue hatua kali za nguvu ya umma!
Tuanze kwanza na kutengeneza vyama ( chama) vya siasa vyenye uzalendo na demokrasia ya dhati, vyenye nia ya kweli ya kumkomboa mtanzania..!! Tukifanya hivyo kweli tutafanikiwa lakini kwa maigizo yanayoendelea ni ngumu sana kutafunika...
Haya mawazo yako ndio niko nayo mimi sasa hivi..Ndiyo maana mimi naomba usiku na mchana haya matatizo yanayotukabili watz yaongezeka hata mara mia ili kuharakisha ukombozi, siyo kama nafurahia ki hivyo ila ni kutokana na watz wenyewe kuwa wagumu kutambua chanzo cha matatizo yao.Matatizo yetu kwa asilimia 95 yamesababishwa na uongozi mbovu, kwani Mwenyezi Mungu ametujalia kila kitu cha kutufanya watz tuwe matajiri kuliko watu wote duniani, lakini kwa uzuzu wetu tumeendelea kuikumbatia CCM ambayo ni janga la kitaifa.CCM NDIYO WAMEIFUKARISHA NCHI
Jamaa hii comment uliitoa mwaka 2012 lakini mpaka leo hii bado iko relevant.huku bongo inaezekana kuendeleza mfumo huu wa kiutawala kwa kakitambo kidogo kwani viongozi washawasoma watanzania na kuwaona ni mabwege wa kulaghaiwa hata kwa sahani ya wali wakainga kingi(reffer kwa yaliyotokea juzi kwa wanafunzi wa udom wakati wanafungua blog ya ccm, buku tano tano walizopewa juzi watu kwa kuja pale jangwani na sasa sanakuja na benki ya vijana na wakulima)
ninachojua mimi tatizo ni njaa njaa zetu tusitegemee mabadiliko ya hivi karibuni kwa watanzania hawa maybe baadae sana
Mwaka 2011 ndio vita ya Syria ilianza, Tamati yake ilifika mwaka jana mwezi wa 12,Miaka 14 imepita Hakuna cha mapinduzi wala chochote