Mapinduzi yaja Tanzania

Mapinduzi yaja Tanzania

Watanzania NI MFANO halisi wa Wajinga waliokuwa na almasi akatokea mjanja na kutupa kioo kisha kuichukua Almasi yetu Slaa was the right candidate for Tanzania Hata wazee ndani ya CCM walimkubali wanamjua utendaji wake hatuhitaji mtu wa maneno kila kitu kipo sheria ,taratibu na maazimio ya Tanzania ipi inatakiwa Hawa Kikwete na CCM YAO WAMEFIKA MWISHO.Hakuna yeyete atakae toka huko CCM MSAFI NA MWENYE NIA YA DHATI YA KULETAMAENDELEO.
 
Niliwahi ku comment katika facebook..na leo ngoja ninene hapa.Kazi ya kuibadili Tanzania na kuijenga katika misingi imara ya utawala bora na kuleta maendeleo ni lazima iasisiwe na kifo cha CCM vinginevyo tusahau!!CCM ni Parasite mkubwa anayenyonya damu uchumi wetu!
 
infinite solution ni serikali iliyopo madarakani istep down iwachie wenyewe mawazo mapya waweze kureform hii nchi ,na possibility yakuindoa serikali madarakani ni PEOPLES POWER=NGUVU YA UMMA tu kwani ndio iliyo iweka madarakani na ndio itakayo itoa madarakani, kwa kweli hii serikali imeprove failure nyingi SANA . ni wakati watanzania wenzangu tuamke usingizini .. kwa tunaoamini mungu yupo kuna adhabu inakuja kwa kutoiwajibisha serikaki yetu pamoja kwa uzembe . hata mungu apendi kabisa sisi kukaa kimya.
 
Teh teh teh

Wameishiwa hoja imebakia kutishia wanamapinduzi wa kweli, kutumia rushwa na kuwalaghai kwa pesa na ahadi za uongozi U-DC na U-RC. Wao wanapesa sisi tuna Mungu.

Hahahaha sasa hivi wamekuja na gia ya kuwabeza wanaharakati eti wanatafuta umaarufu
 
Nguvu ya mabadiliko Tanzania inakuja kwa kasi ya ajabu. Hakuna kinachoweza kuzuia nguvu ya umma. Kila sehemu ya maisha wananchi wa kada zote wanaonyesha kutofurahia serikali iliyopo madarakani. Ugumu wa maisha na kushamiri kwa rushwa ni kero kubwa kwa Mtanzania wa kawaida. Unachokiona hapa JF pamoja na propaganda lakini ni wazi watetezi wa serikali ya Magamba huwa hawana hoja, nimepitia Twitter, Facebook na blog nyingi zinazoongozwa na watanzania kote huko serikali inachanwa mno. Pamoja na kuwa na watetezi wa mafisadi lakini ninaona kabisa wimbi hili litatufikisha mahali pazuri. Nimeongea na jamaa yangu yuko hazina pale wizara ya fedha kutaka kujua ukweli wa uchumi wetu, alichonijibu hakuna na anachofanya Jairos bungeni. Uchumi wetu umeathirika sana na mgawo wa umeme. Lakini kunapropaganda eti uchumi unakuwa hii ni kumdanganya nani....hata sisi tusiojua hata zile theories of economic development tunaona inflation inavyokuwa kwa kasi. Wataalamu wanaambiwa wachakachue takwimu ili waziri aweze ongea kile ambacho serikali inapenda kukisikia.

You cant change the wind of changes .......aluta continua pamoja tunaweza epusha nchi yetu kutoka kwa mafisadi hawa.

Yaani hata mimi nimelishuhudia......Ikitokea uchaguzi unafanyika kesho.....sisiemu lazima chali......hata wakiwaleta magwiji ya kuchakachua matokeo ya uchaguzi hawata fua dafu......

Ila ninachoomba tu haya mapinduzi yasimwage damu na kutuacha na makovu yasiyo sahaulika.......amani mbeleeeeee maslahi ya nchi mbeleeeeee
 
Bungeni nako mipasho mitupu..acha Rais afurahi kwa kauli za namna hii.
 
Nguvu ya mabadiliko Tanzania inakuja kwa kasi ya ajabu. Hakuna kinachoweza kuzuia nguvu ya umma. Kila sehemu ya maisha wananchi wa kada zote wanaonyesha kutofurahia serikali iliyopo madarakani. Ugumu wa maisha na kushamiri kwa rushwa ni kero kubwa kwa Mtanzania wa kawaida. Unachokiona hapa JF pamoja na propaganda lakini ni wazi watetezi wa serikali ya Magamba huwa hawana hoja, nimepitia Twitter, Facebook na blog nyingi zinazoongozwa na watanzania kote huko serikali inachanwa mno. Pamoja na kuwa na watetezi wa mafisadi lakini ninaona kabisa wimbi hili litatufikisha mahali pazuri. Nimeongea na jamaa yangu yuko hazina pale wizara ya fedha kutaka kujua ukweli wa uchumi wetu, alichonijibu hakuna na anachofanya Jairos bungeni. Uchumi wetu umeathirika sana na mgawo wa umeme. Lakini kunapropaganda eti uchumi unakuwa hii ni kumdanganya nani....hata sisi tusiojua hata zile theories of economic development tunaona inflation inavyokuwa kwa kasi. Wataalamu wanaambiwa wachakachue takwimu ili waziri aweze ongea kile ambacho serikali inapenda kukisikia.

You cant change the wind of changes .......aluta continua pamoja tunaweza epusha nchi yetu kutoka kwa mafisadi hawa.
Mchungaji kuhusu uchumi kuwa hoi ilo linafahamika sana,sema tu serikali ya magamba sio sikivu,na awataki kukubali kuwa wameshindwa kufanya kazi,ndio maana kila kukicha mkuu wa kaya anapanda ndege.,hizi zote ni dalili za kushindwa,jana alitia aibu sana alipokuwa nahojiwa na BBC,Watanzania tubadilike tuungane tufanye mapinduzi ya kweli.
 
Hivi kwa nini ndege hazipati ajari siku hizi?Ningependa kusikia hivi kwenye taarifa ya habari ndege aina ya xxxxx kutoka SA imelipuka na kuteketea,baada ya tank la mafuta kutoboka
siku hiyo ningefunga turubai nje ningenunua kreti za bia na mbuzi wa hitima na kuanza kulia kilio cha furaha.
 
infinite solution ni serikali iliyopo madarakani istep down iwachie wenyewe mawazo mapya waweze kureform hii nchi ,na possibility yakuindoa serikali madarakani ni PEOPLES POWER=NGUVU YA UMMA tu kwani ndio iliyo iweka madarakani na ndio itakayo itoa madarakani, kwa kweli hii serikali imeprove failure nyingi SANA . ni wakati watanzania wenzangu tuamke usingizini .. kwa tunaoamini mungu yupo kuna adhabu inakuja kwa kutoiwajibisha serikaki yetu pamoja kwa uzembe . hata mungu apendi kabisa sisi kukaa kimya.

Mkuu wangu,
Mapinduzi hayadondoki,ukisema uwasubiri wa-step down hawatafanya hivyo.Siku itafika ..........................!Watanzania watapata serikali wanayostahili.Si lazima ije kwa njia ya Demokrasia ya hila na ghiliba,mazingira ya sasa yako hivyo.Yanatunyima fursa,yanatupa fursa ambazo zinaonekana ni dhalimu,uhaini machoni pa wachache---watawala ,wanyonyaji,wabakaji wa demokrasia,waoga wa sanduku la kura.Tujiandae,watupe muda!

Pia nikumbushe ujumbe huu wa Ahmed Sekou Toure..alimwambia Rais wa Ufaransa General de Gaulle alipomtembelea Guinea 'We have told you bluntly, Mr President, what the demands of the people are ... We have one prime and essential need: our dignity. But there is no dignity without freedom ... We prefer freedom in poverty to opulence in slavery'
Sasa ipo siku tutawambia watawala na wakoloni weusi haya

Pia alisema kwenye the permanent struggle,

People of Africa, from now on you are reborn in history, because you mobilize yourself in the struggle and because the struggle before you restores to your own eyes and renders to you, justice in the eyes of the world.
 
hivi kwa nini ndege hazipati ajari siku hizi?ningependa kusikia hivi kwenye taarifa ya habari ndege aina ya xxxxx kutoka sa imelipuka na kuteketea,baada ya tank la mafuta kutoboka
siku hiyo ningefunga turubai nje ningenunua kreti za bia na mbuzi wa hitima na kuanza kulia kilio cha furaha.

lmao.......nimependa hii
 
Ninarudia tena na tena na tena siyo mchungaji tu yeyote kati watz mil 40 anaweza kuwa rais mzuri kuliko JK. We are fed uPPPPPPPPP!!!!!!!!!!!!!
afadhali hata ya mama Salma
 
say anything men,what i believe is that Tanzanians are tired!!!
Rafiki yangu mmoja,babake ni mkubwa sana serikalini huyo mzee nimekua nikibishana
nae sana kuhusu "serikali yao",....huyu jamaa alikua upande wa babake kila siku pale tunapokua
tuna bishana,...

nilishangaa sana jana aliposema:
"siipendi serikali hii tena,kama ni kweli bajeti zote hua zinapitishwa kwa rushwa,
hamna hata mbunge nitakae muona ni mzalendo maana siku zote wamejua
haya lakini hakuna aliye wahi kusema,
lakini kwanini bajeti ipitishwe kwa rushwa?
hizo hela zitarudi vipi?
afu nasikia jairo kajiuzuru kwanini asifukuzwe na ashitakiwe?"

with those questions,nilikua sehem mbaya nikamuambia tutaongea ijumaa zaidi,..
he is against what he always believed,and am sure,he is not alone,he represents thousands of
Tanzanians

Change is coming,it might not be today but it will surely come
 
Watanzania NI MFANO halisi wa Wajinga waliokuwa na almasi akatokea mjanja na kutupa kioo kisha kuichukua Almasi yetu Slaa was the right candidate for Tanzania Hata wazee ndani ya CCM walimkubali wanamjua utendaji wake hatuhitaji mtu wa maneno kila kitu kipo sheria ,taratibu na maazimio ya Tanzania ipi inatakiwa Hawa Kikwete na CCM YAO WAMEFIKA MWISHO.Hakuna yeyete atakae toka huko CCM MSAFI NA MWENYE NIA YA DHATI YA KULETAMAENDELEO.

MYK Tafadhali taratiibu hapo juu... unaongea kama vile labda hujakulia hapa TZ... Ni wazi kabisa Watanzania tuliandaliwa hivo... kutafuniwa/sagiwa kila kitu na kupewa tule, hivo kuvivusha akili ya utafakari mpaka ni Hatari... Majority ya watu (wasomi humo humo) anachukua kitu kama kilivo bila kutaka kuingia ndani na kitafakari kwa kutumia ubongo wake... HOW EVER... hio kitu taratibu (ingawa kwa kasi sasa) inaaanza kuimproove ingawa bado kundi la wakurupukaji bado lipo... Usitegemee kua eti ghafla tu wananchi wabadilike na wachukua hatua papo hapo.... Hivo usiiite kua ni wajinga... na the way hali ilivo tete saizi nchini... tayari change inatokea.... Mfano mzuri ile vurugu ya juzi kati hapo Mwanza - unafikiri ten years ago wangekua na Guts hizo hao wahusika?? (thou in the name of wamachinga...) Hio tayari ni dhahiri kua mambo yamebadilika na sasa Watanzania wamechoka!!

In RED... usitegemee kabisa eti hali tuliyopo Tanzania saizi itarekebishwa tu Chama kingine kikiingia Serkalini... Hapa tulipowekwa na CCM ni pabaya mno and itachukua mda kuweza weka mstari ulonyoooka na kuwafaa Wananchi... na wala Usitegemee eti Mwananchi wa kawaida atanufaika au kuboreshewa maisha yake at a personal level (bado safari ndefu...) - Maana ukweli ni kwamba CCM Wameshindwa... na kuja kwa CDM ni ile tu kubadilisha the name of the system itakayo kuwepo madarakani.... But for change eti ionekane.... Time ndio itasema... Na IMO siamini hilo...
 
Umenikumbusha ule wimbo wa Chama chetu cha mapinduzi. Siku hizi siusikii kabisa, nadhani ulikufa mara tu baada ya kifo cha Nyerere
Mkuu huko mikoa ya kusini wanaimba sana hizo nyimbo kila leo....yaani wale jamaa ni mtaji wa serikali ya magamba
 
MYK Tafadhali taratiibu hapo juu... unaongea kama vile labda hujakulia hapa TZ... Ni wazi kabisa Watanzania tuliandaliwa hivo... kutafuniwa/sagiwa kila kitu na kupewa tule, hivo kuvivusha akili ya utafakari mpaka ni Hatari... Majority ya watu (wasomi humo humo) anachukua kitu kama kilivo bila kutaka kuingia ndani na kitafakari kwa kutumia ubongo wake... HOW EVER... hio kitu taratibu (ingawa kwa kasi sasa) inaaanza kuimproove ingawa bado kundi la wakurupukaji bado lipo... Usitegemee kua eti ghafla tu wananchi wabadilike na wachukua hatua papo hapo.... Hivo usiiite kua ni wajinga... na the way hali ilivo tete saizi nchini... tayari change inatokea.... Mfano mzuri ile vurugu ya juzi kati hapo Mwanza - unafikiri ten years ago wangekua na Guts hizo hao wahusika?? (thou in the name of wamachinga...) Hio tayari ni dhahiri kua mambo yamebadilika na sasa Watanzania wamechoka!!

In RED... usitegemee kabisa eti hali tuliyopo Tanzania saizi itarekebishwa tu Chama kingine kikiingia Serkalini... Hapa tulipowekwa na CCM ni pabaya mno and itachukua mda kuweza weka mstari ulonyoooka na kuwafaa Wananchi... na wala Usitegemee eti Mwananchi wa kawaida atanufaika au kuboreshewa maisha yake at a personal level (bado safari ndefu...) - Maana ukweli ni kwamba CCM Wameshindwa... na kuja kwa CDM ni ile tu kubadilisha the name of the system itakayo kuwepo madarakani.... But for change eti ionekane.... Time ndio itasema... Na IMO siamini hilo...

AshaDII you have spoken volumes! Sina cha kuongezea zaidi ya kulaani mfumo wetu. Hatutakiwi kuhoji, kuogopa kufukuzwa kazi ama kushughulikiwa. Kila kitokacho kwa kiongozi ni sahihi na usifikiri tofauti. Lakini Kizazi kijacho si chakwetu kiko tofauti. My uncle 8 years old aliniuliza kwanini kuna watoto wengi wa mitaani? Kwa umri ule mimi nisingaliweza uliza kitu kuogopa kugombezwa.

AshaDII si FaizaFoxy nimeamini leo, I was always confused between the two.
 
Yaani hio statement imenikumbusha my six year kid aliniambia mama mimi nipo CDM... wewe Chamaa Gani??? Imagine hata nilikua sijui kwamba anajua kua kuna vyama hapa nchini - I was genuinely surprised... Ilibidi nimuulize siku hio walisoma nini (Sorry tuachane na hio - nimeweaka for emphasis...) But ukweli unabaki miaka yetu at 8 unawaza ule nini?? Ukacheze wapi?? and the like... Unakuja soma mambo ya chama kwenye soma la SIASA... lol.. What a subject!!!

Rev you must be kidding me kua you still thought i was FF??? Dah!!! Why such the confusion??
 
Mabadiliko ya kweli hayaletwi kwenye social networks.
Watu tunaongea tu bila kuchukua hatua, tunalaumu na kukosoa bila kutoa nia mbadala.
Tunahitaji hatua za ziada ili kuyaende mabadiliko.

Social Network ina nguvu sana ni rahisi zaidi kufikia watu wengi kwa muda mfupi na gharama ndogo! Kwa kifupi kabisa Social Networking is a powerful tool in transforming politics. Obama yuko Twitter na FB kuna wafuasi wake kibao. Angalia Tunisia, Egypt, Libya na hata mid East na Arab world zinavyoweza kulazimisha mabadiliko. Ndugu unaishi wapi?
 
Back
Top Bottom