Mapinduzi yaja Tanzania

Yote yanayoendelea hapa nchini yanadhihirisha usemi wangu wa kila siku kwamba "Huwezi kuwa na akili timamu ukashangilia CCM na viongozi wake, lazima uwe kichaa!!!!"
 
Reverend Masanilo,

Kuna mahali nilichangia kwenye thread aliyoianzisha mkandara leo alfajiri nikasema

Mkandara,

Hoja nzuri sana umetoa.Kama demokrasia ingekuwa universally beneficial kwa mataifa yote basi tungekuwa katika nafasi nzuri zaidi ya kunufaika.Kwa hali ilivyo sasa,ni kweli kuna kila Dalili kwamba Demokrasia imetushinda tunaifanyia majaribio tu bado tena kwa mbinu na mikakati ile iliyoshindwa

Kwa kweli hii dhana tuliyoletewa ya Demokrasia,imesababisha sisi kurudi nyuma.Hatuna tofauti na mfumo wa kisultani.Leo hii maamuzi magumu ya hayawezi kuchukuliwa kwa hoja ya kipuuzi kabisa mkuu wa nchi yupo nje ya nchi.Rais akiwa nje kuna VP na wengineo,katiba yenye maono ya demokrasia inasema hivyo.

Ni bora turudi kwenye mfumo wa chama kimoja utakaozuia fikra ili sisi wengine tusiopenda kuburuzwa tutumie nguvu za kimapinduzi kwa kusukumwa na uzalendo wetu tuchukue nchi tuongeze kidikteta lakini kizalendo.Tunahitaji utawala kama wa Gaddaffi,tunahitaji mfumo kama wa kagame na Hugo Chavez.tunahitaji mfumo kama wa Evo morales,kusema kweli na siogopi kusema Democracy does not Suit us.bado hatujajiandaa,hii ni imported vice ! ! !

Kama si kuitikia wito na kukubali kuburuzwa na mfumo wa kibeberu,leo hii ningekuwa kwenye kambi,milima ya mbali na au hata msituni kujiandaa kizalendo.Ningekuwa na sababu za kutosha ! ! ! Huwezi kuwa na demokrasia ya kweli kama wananchi wako ni maskini,wanasumbuliwa na maradhi na Ujinga....Huwezi kuwa na uongozi ambao ni zao la Demokrasia bila kuwa na msingi wa imani ya kisiasa,kiuchumi na kijamii katika kiungo cha uongozi na utawala (namaanisha ideology).

Leadership tuliyo nayo ni hadaa tu,sio kwa serikali tu hata kwa vyama vingine vya siasa.Tunapata pigo kubwa sana kwa ngumi iliyovaa gloves za demokrasia(Pseudo democracy).jaribu kufikiria na kutafakari juu ya mfumo wote wa vyama vya siasa Tanzania,jaribu kufuatilia mfululizo wa matukio kwenye vyama hivyo.Kila siku tunapiga hatua kuwasukuma vijana wazalendo kuingia kambini,milimani au misituni.kila dakika ambayo tunahubiri democracy na vijana wazalendo kweli kweli kwa nchi yao hawaoni uhalisia na matunda yatokanayo na dhana hiyo basi tunawatoa kwenye Demokrasia tunawapeleka misituni.

Haya yana Mwisho,kinachohitajika ni hatua za haraka zichukuliwe ama la basi yatatimia.Carl max,alisema...'A single step in the Revolutionary movement worths a Dozen programmes'

'wanaonyonywa wanapopambana kudai haki yao hakuna wanachopoteza zaidi ya minyororo ya ukandamizaji' Karl Marx
 
its now or never for the liberation of this beautiful country Tanzania. God gave us anything that could make a world super power but it has been spoiled by fisadis from the Magamba party.
Time for complaining is over is now time to take action- it begins with you
 
Nimesoma mawazo ya watu wote lakini bado sijaona hayo mapinduzi ya kweli yatapangwa vipi? Kama walichukua nchi kwa mtandao kwa nini tusiirudishe nchi kwa kutumia nyenzo zao hizo hizo? Jamani tuache kuongea sasa ni wakati wa kupanga miaka minne si mingi jamani
 
Mchungaji tunatakiwa kwenda mbali zaidi bado wenzetu katika vyombo vya dola havija tuunga mkono vya kutosha tunahitaji zaidi michango yao hasa kama wataanzisha sabotage mapema na hata operation ya kuwateketeza viongozi wanaotuangamiza, lazima sasa Jeshi na Usalama wa Taifa wajitenge waunde kikosi maalum cha siri kuwashughulia hawa watu sijui kwanini bado wamelala wakati Taifa lina angamia.
 
Reverend Masanilo,

Kwa kweli hii dhana tuliyoletewa ya Demokrasia,imesababisha sisi kurudi nyuma.Hatuna tofauti na mfumo wa kisultani.Leo hii maamuzi magumu ya hayawezi kuchukuliwa kwa hoja ya kipuuzi kabisa mkuu wa nchi yupo nje ya nchi.Rais akiwa nje kuna VP na wengineo,katiba yenye maono ya demokrasia inasema hivyo.

Ni bora turudi kwenye mfumo wa chama kimoja utakaozuia fikra ili sisi wengine tusiopenda kuburuzwa tutumie nguvu za kimapinduzi kwa kusukumwa na uzalendo wetu tuchukue nchi tuongoze kidikteta lakini kizalendo.Tunahitaji utawala kama wa Gaddaffi,tunahitaji mfumo kama wa kagame na Hugo Chavez.tunahitaji mfumo kama wa Evo morales,kusema kweli na siogopi kusema (this kind of Democracy does not Suit us). bado hatujajiandaa,hii ni imported vice ! ! !

nakubaliana na wewe hasa baada ya marekebisho
Well said,
Hii demokrasia ni mfumo ambao kwanza hakuna anaeelewa uko vipi, na manufaa yake hasa ni yapi, au niseme mimi sielewi.
 
Rev..

Mabadiliko halisi hapa Tanzania yatakuja kwa njia ya umwagikaji damu - hatuwezi kukwepa hilo hata kidogo. Siasa imeshindwa kubadili mfumo lakini nina UHAKIKA kuwa RISASI inaweza kuleta mabadiliko ndani ya angalau miaka kumi...

"... Freedom is coming (TODAY)!..."
 
WaTanganyika msijiongopeee HAMNA KABISA UJASIRI huo wa kuleta mapinduzi zaidi ya mapinduzi ya kilimo kuita kilimo kwanza.

Mapinduzi yanataka watu thabiti na waliojitolea kutetea maslahi ya wengi kwani lolote linaweza tokea. Nyie wengi ni wanafiki na kwa kuwa nchi mlipewa kwa njia ya barua basi mtasubiri hivyo hivyo mpaka barua nyingine ije.

Poleni sana
 
Mwaka 1982 walijaribu ... Miaka 30 baadaya wanaweza kutenda! Ujasiri hauji hivi hivi - Ujasiri upatikana baada ya kushindwa katika njia zote zinazofaa!
 
Mchungaji tunatakiwa kwenda mbali zaidi bado wenzetu katika vyombo vya dola havija tuunga mkono vya kutosha tunahitaji zaidi michango yao hasa kama wataanzisha sabotage mapema na hata operation ya kuwateketeza viongozi wanaotuangamiza, lazima sasa Jeshi na Usalama wa Taifa wajitenge waunde kikosi maalum cha siri kuwashughulia hawa watu sijui kwanini bado wamelala wakati Taifa lina angamia.
Hivi vyombo vya usalama kila nikivitafakari nachanganyikiwa zaidi, ilikuwaje nchi za wenzetu wanajeshi wa vyeo vya chini tu wakafanikisha mapinduzi kibao? Tangu nilipoijua JF ninajiuliza tufanyeje wanajeshi na polisi wa vyeo vya chini wapate access ya forum kama hizi, tungepata hata mmoja tu wa kutungua ndege moja au kuteketeza msafara wa magari machache, ili watakaokalia ikulu wawe na adabu kidogo. Si suala la kuunda kikosi, ni suala la mmoja au wachache walio kwenye idara sahihi kuwa wazalendo na kujitolea kufanya tendo litakaloiokoa nchi bila mzunguko mrefu.
 
Nimesoma mawazo ya watu wote lakini bado sijaona hayo mapinduzi ya kweli yatapangwa vipi? Kama walichukua nchi kwa mtandao kwa nini tusiirudishe nchi kwa kutumia nyenzo zao hizo hizo? Jamani tuache kuongea sasa ni wakati wa kupanga miaka minne si mingi jamani
miaka minne mkiwa na rais kilaza kama huyu ni kama karne,..i hope inatokea rais kashindwa kuendelea na ofisi for health reasons sababu kwa ukondoo wetu thst is the only way m.k.w.e.r.e anaweza kustep down before 2015...let's join hands in prayers christians and muslim and all other beliefs..god save us..amen
 
Rev..

Mabadiliko halisi hapa Tanzania yatakuja kwa njia ya umwagikaji damu - hatuwezi kukwepa hilo hata kidogo. Siasa imeshindwa kubadili mfumo lakini nina UHAKIKA kuwa RISASI inaweza kuleta mabadiliko ndani ya angalau miaka kumi...

"... Freedom is coming (TODAY)!..."
hapo kwenye red sema umwagikaji mkubwa wa damu maana arusha,nyamongo,mbeya,tabora na sehemu nyingine damu imeshamwagika lakini mkoloni mweusi kagoma kuachia utajiri wetu,..
i'd rather die on my feet than live on my knees...ernesto cheguevara
 
''Until the philosophy which holds one race superior and another inferior is finally and permanently discredited and abandoned, everywhere is war and until there are no longer first-class and second-class citizens of any nation, until the color of a man's skin is of no more significance than the color of his eyes. And until the basic human rights are equally guaranteed to all without regard to race, there is war. And until that day, the dream of lasting peace, world citizenship, rule of international morality, will remain but a fleeting illusion to be pursued, but never attained... now everywhere is war''. (bob marley)
 
Mchungaji tunatakiwa kwenda mbali zaidi bado wenzetu katika vyombo vya dola havija tuunga mkono vya kutosha tunahitaji zaidi michango yao hasa kama wataanzisha sabotage mapema na hata operation ya kuwateketeza viongozi wanaotuangamiza, lazima sasa Jeshi na Usalama wa Taifa wajitenge waunde kikosi maalum cha siri kuwashughulia hawa watu sijui kwanini bado wamelala wakati Taifa lina angamia.

Mkuu nakubaliana na wewe 100% ila tatizo ni hawa wenzetu kwenye vyombo ulivyovitaja hawa ni washirika wakubwa wa watawala kwani wamekubali kurubuniwa kwa kupewa marurupu mengi ambayo hawastahili hivyo kutumika kuimarisha udhalimu unaofanywa na wakoloni weusi. Mfano hai ni jinsi JWTZ na TISS alivyoshiriki kuibaka demokrasia wakati wa uchaguzi mkuu 2010,rejeeni vitisho vya Gen. Shimbo aliposema wapinzani lazima wakubali matokeo, rejeeni pia kauli za Jack Zokka kumkejeli Dr. Slaa kipindi kile cha uchaguzi,hawa si wenzetu ni adui tu kama walivyo mabwana zao wakoloni weusi.Kinachotakiwa ni wapambanaji nje ya vyombo hivyo kuanza kuwashughulikia wakubwa wa vyombo hivi kwani ndiyo wanaotumika.La msingi watu tusiogope damu kumwagika kwani wakoloni siku zote ni ving'ang'anizi kuwabandua lazima itokee tafrani.
 
Moderators tunaomba msifunge au kuhamisha hii thread...........................! na wala Usalama wa Taifa usiwatishe!

Kama hawataki haya yatokee,watumie usalama wa Taifa kukupata taarifa za wananchi kutoridhika na utawala/uongozi wao.Uhuru wa kutoa maoni,njia za kidemokrasia zinapohujumiwa katika kuleta utawala wenye nidhamu kwa watawaliwa basi mawazo ya kimapinduzi bila kufuata njia zilizohujumiwa za pseoudo-democracy ni inevitable!

No wonder, viongozi walioko madarakani afrika walishajiandalia mazingira ya kujilinda kwa kupitisha Azimio la kukataa mabadiliko utawala kwa njia ya kijeshi.Ok,sasa tufanye mabadiliko kupitia mass movement(essence ni kuwa na utawala uliotokana na umma na unawajibika kwa umma).hakuna wa kutuzuia kwa hili.kinachohitajika ni vijana kuwa tayari tu,ni kuwa tayari kwa ajili ya taifa lako.

demokrasia tuliyonayo ni njia ya kuhubiri mabadilko na sana sana naanza kuhisi hii ni njia ya kinafiki zaidi,hii ni njia ambayo inabidi tuwaachie cowards.Naanza kufikiria njia ambayo kama kweli tunataka kufanya mazoezi ya demokrasia basi tukihujumiwa ni moja kwa moja kutafuta haki kwa kutumia mass.there is no way unapiga kura,halafu kura zinaibiwa au kuhujumiwa katika mchakato wa uchaguzi,je hayo sio mapinduzi dhidi ya matakwa ya umma/coup civillien?yana tofati gani na udikteta na au mapinduzi ya kijeshi? pia tujiulize,je ni lazima kuwa na demokrasia isiyo na nidhamu ili kupata msingi wa maendeleo?

naona ni bora kuwa na utawala ulioingia kwa mass movement ambao ni very disciplined and accountable to the mass. comrade Hugo Chavez,Evo Morales,Muammar Gaddaffi,...endeleeni kuishi,mnatupa inspiration.

Che Guevara, Ahmed Sekou Toure,vladmir Lenin,Amilcar cabral,Samora machel,Chairman Mao na mwanamapinduzi wa pekee Ulaya magharibi Napoleon Bonaparte bado damu yenu inazunguka kwenye mishipa ya miongoni mwetu...your spirit lives....! tunatambua hapa ni public forum,mapinduzi hayaendi hivi lakini there is anothe better option & platform.hatujawa waoga wote kujitolea kwa ajili ya taifa hili,yeyote atakayeona aibu kuishi miaka zaidi ya 50 katika hali hii ni lazima atatafuta kurejesha heshima na staha kwa kujitoa sadaka na kwa hasara kwa kuunga mkono vuguvugu muda mchache ujao.Still we can make the life better,we have all it takes by our sacrifice,courage and tenacity to make Tanzania a great nation in Africa !

Tuwe tayari muda wowote,tujiandae.Hakuna wa kutuzuia....nitakuwa msatari wa mbele katika hili.Muda wenyewe hauko mbali
 
sikutaka kuchangia lakini baada ya kuyassoma mawazo ya wana Jamii nimeamini watu wamechoka na wanahitaji mabadiliko na ndio maana sijaona
ritz (Ridhiwani), FF, Nduka, Muhadhiri wakitia pua zao katika hii thread, to be honesty inatia uchungu jinsi Chama cha Magamba wanavyoiingiza nchi yetu kaburini. Mungu wa mbinguni naomba utuhurumie najua dhambi hii ilifanywa na mababu/mababa zetu lakini sisi ndio inaotutesa na kuumiza.
Heal our country oooh lord because your the one we praise.
wapige na upofu Mafisadi wote wanaoinyonya nchi yetu.
Jamani inauma
 
Back
Top Bottom