snowhite
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,422
- 25,324
Hii humbleness itakuponya.sio kama usipoandika ndio utaonekana mwamba .
Linapokuja swala la mapenzi sisi sote ni wamoja tu.
Napita kwenye situation kama yako mzee
Tumepishana muda tu
Me naenda wiki ya pili hi[emoji22]
Hold on there utakuwa sawa with time.
💪