Mapenzi yanauma jamani

Mr Chromium

JF-Expert Member
Aug 20, 2020
2,088
2,705
Nilikuwa naona mafala wanaolia na mapenzi

Nilikuwa naona kama wadhaifu au wana roho za kidada!!

Sasa mgumu yamenikuta. Juzi nimemfuma mpenzi na namba za jamaa kicheche sana hapa mtaani!!

Na nilishasikiaga kama jamaa kapga mademu wote akiwemo huyu mpenzi wangu!!! Nikajua tetesi tu

Tulivoingia kwene mahusiano kanihakikishia niko mwenyewe kwanza mi ndo mpenzi wake wa pili!!

Eeh juzi nimeshika simu yake nikakuta namba imeandikwa jina la yule jamaa nikasala kumuuliza akapanik tukazinguana.

Kila mtu kaenda kivyake!!

Wiki sasa imepta sijamtafuta nimefuta na namba zake !!

Ila naumia aisee !! Kuna namna kanizoesha nai nai ambazo ckua nimezoea!! Sasa najaribu kujiweka busy namsahau sekunde nikikumbuka naaaumia!!! Stress
Kaa zote

Kuna muda nataman anitafute aniombe msamaha yaishe!! ila ndo hivo kanilia buyu

Aisee hamna mgumu mapenzi yanauma
 
Dah. Mkuu kama wewe aisee. Mimi siku 5 zimepita. Sema mi nikaona isiwe shida nikaanzisha Mawasiliano na msamaha nikaomba mimi ingawa sio kosa langu.

Mwisho wa siku we only live once. Maisha mafupi.

UPDATES:

Nimeachika officially ingawa bado nampenda.
 
🤣🤣 nicheke kwanza maana wengine tukiandikaga humu tunaonekana maboya haya Sasa umeshikwa panapostahili kushikwa na bado utanyooshwa Bata wewe.. watu wamafumania kabisa we unashika namba tu kelele nyingi hivi!! Tulia wakuchezeshe ngoma ya lidende..😜
 
images(6).jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom