Mapenzi yanauma jamani

Mapenzi yanauma jamani

nicheke kwanza maana wengine tukiandikaga humu tunaonekana maboya haya Sasa umeshikwa panapostahili kushikwa na bado utanyooshwa Bata wewe.. watu wamafumania kabisa we unashika namba tu kelele nyingi hivi!! Tulia wakuchezeshe ngoma ya lidende..

Na kweli wewe ni boya tu, unaumia na samaki mmoja aliekuponyoka wakati bahari ina samaki aina nyingi
 
1.Epuka kudate na pisi kali zaidj yaani tafuta demu wa kawaida,

2.epuka kusikilizia Sana,ile kitu muda mwingine sex aombe yeye.wengine hushindwa kumtamkia mwanamume ila wewe tengeneza mazingira ili mradi aanze yeye

3.kuwa busy siyo unamtext kila muda mara video call huko wasapu .wakati mwingine subiri akutafute

4.Usikurupuke tengeneza mazingira ya kupendwa na siyo kupenda hapa panawasumbua wengi mno

5.Kuwa mwenye mikato mwanamume wa kweli hawi muongeaji

6.Mpe Hela,mpe pesa,Naaam! Mpatie vitu anavyopendelea

Embu waambiwe wenzio wasikie jaman
Ongeza sauti hapo kwenye mpe hela mana wengine hawaelewa
 
Hela!? Hela? Endelea kujidanganya!!
Nakuambia hivi endelea kujidanganya
Pesa inakupa outer cover ya maisha yako,
Ila ukirudi kwenye hali yako wewe ndio utajua hakuna thamani.
Utanunua magari mazuri,
Utanunua ndege,
Utanunua kila kitu
Ila kunawakati utalala kichwa na akili vitatulia ndio utajua bado kua na mtu unae m feel na yeye akakufeel ni issue nyingine kabisa

Yan mesoma comments zako kwnye hii thread
Unaongea kwa hisia sana mpka bas
Inaonekana ulimpenda sana uyo dada
Pole sana mkuu.
 
Yan mesoma comments zako kwnye hii thread
Unaongea kwa hisia sana mpka bas
Inaonekana ulimpenda sana uyo dada
Pole sana mkuu.

Nakosa namna ya kuelezea mambo.....
Nadhan ukiwa na mahusiano na wanawake wengi inasaidia(japo hili hua Siwezi)
Kwasababu hata maendeleo hutayaona.
Wengine wanakuja na option ya fedha....nnawashangaa sana ,pesa na mapenzi havilandani
Ila pesa ni maisha na mapenzi yapo ndani ya maisha ,
Kwa namna yoyote ile lazima fedha ihusike
Ila mapenzi nikitu kingine kabisaaaaaa

[mention]Darlin [/mention] kama kuna mtu anakupenda ...na unampenda
Shikilia sana hiyo
Kuna raha sana kwenye upendo
 
Dah. Mkuu kama wewe aisee. Mimi siku 5 zimepita. Sema mi nikaona isiwe shida nikaanzisha Mawasiliano na msamaha nikaomba mimi ingawa sio kosa langu.

Mwisho wa siku we only live once. Maisha mafupi.
Subiri uone utakavyoendeshwa bwege wewe
 
Nakosa namna ya kuelezea mambo.....
Nadhan ukiwa na mahusiano na wanawake wengi inasaidia(japo hili hua Siwezi)
Kwasababu hata maendeleo hutayaona.
Wengine wanakuja na option ya fedha....nnawashangaa sana ,pesa na mapenzi havilandani
Ila pesa ni maisha na mapenzi yapo ndani ya maisha ,
Kwa namna yoyote ile lazima fedha ihusike
Ila mapenzi nikitu kingine kabisaaaaaa

[mention]Darlin [/mention] kama kuna mtu anakupenda ...na unampenda
Shikilia sana hiyo
Kuna raha sana kwenye upendo

Aahh it’s true ila amna kitu tunaweza kufanya kama upendo umeisha.
Jus move on, huwez jua umeepushiwa nini.
Pole lakin utapona tu na utasahau mkuu.

Hahahah kweli mkipata mnafanana upendo una raha sana mkuu.
 
Mambo ndivyo yalivyo
Anyway tujipumzishe na hi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom