Mapenzi yanauma jamani

Maskini ndio wanaoteseka zaidi na mapenzi. Unakadem kako kazurii umekapata bila shida afukamekukubali kwa hali yako hiyo hiyo. Sasa mkizinguana nako lazma utapitia stress kwasababu unawaza kupata kama huyo tena ni ngumu
ukishakua maskini n tabu sana. Huwezi kupata elimu bora, Huduma za afya bora , Nyumba bora hata chakula bora nacho shida. Unakuta hata mapenzi n kuunga unga tyu. Dah

Sema nn tuokoke jamani angalau tukafaidi maisha mbinguni na bwana yesu.

kama unahitaji LOGO | POSTER | MABANGO YA BIASHARA ni cheki.
 
Mapenzi yanauma mara moja tu (first time unaachwa, chitiwa, mnaachana) yakikuumiza mara ya pili unakua boya
 

Similar Discussions

33 Reactions
Reply
Back
Top Bottom