Mapenzi yanauma jamani

Mapenzi yanauma jamani

Ujue nashindwa kuomba msamaha kwasababu hata sijakosa mm!! Unaombaje msamaha na huna makosa

Mkuu
Mapenzi ni upendo baina ya watu wawili
Ikiwa mwenzio ameshaona kasoro yako na ameona hawezi kuibeba akaamua kukutaftia sababu,ukilazimisha utakuja kulia Brothr
Me nlishakuta hadi txt akiongea na jamaa hivii
Na tulikaa chini tukayajenga
Ila kila mala nikiwaza ile situation moyo unapasuka kabisa
Hela kiasi nampa
Muda nampa
Kifupi nilikua napigana na uhalisia wa mambo
Ila lilikua linanitafuna
Na alikua single mother
Mwisho wa siku nikaona Hapana ngoja niache tu....coz nnapigana na wanaume wawili pekeangu .
Nkawaza tu haya yote kwanini yani
Mala nyingi mwanamke akisha kua na mahusiano mengiene huanza kukupuuza wewe

Jipe muda,fanya kazi ,jipende mwenyewe
Ila kuna muda nnammsi sana

By the way kua single raha sana
Now sms ikiingia notifications zipo on yaan naisomea nje tu huku simu ikiwa locked yan fresh tu
 
Nilikuwa naona mafala wanaolia na mapenzi

Nilikuwa naona kama wadhaifu au wana roho za kidada!!

Sasa mgumu yamenikuta
Juzi nimemfuma mpenzi na namba za jamaa kitombiii sana hapq mtaani!!

Na nilishasikiaga kama jamaa kapga mademu wote akiwemo huyu mpenzi wangu!!! Nikajua tetesi tu

Tulivoingia kwene mahusiano kanihakikishia niko mwenyewe kwanza mi ndo mpenzi wake wa pili!!

Eeh juzi nimeshika simu yake nikakuta namba imeandikwa jina la yule jamaa nikasala kumuuliza akapanik tukazinguana.

Kila mtu kaenda kivyake!!

Wiki sasa imepta sijamtafuta nimefuta na namba zake !!

Ila naumia aisee !! Kuna namna kanizoesha nai nai ambazo ckua nimezoea!! Sasa najaribu kujiweka busy namsahau sekunde nikikumbuka naaaumia!!! Stress
Kaa zote

Kuna muda nataman anitafute aniombe msamaha yaishe!! ila ndo hivo kanilia buyu

Aisee hamna mgumu mapenzi yanauma
afu ninyi ndo wanaume legelege nyie, mnatuaibisha wanaume. Unalialia nini mtoto wa kiume, acha mambo ya kishoga, tafta mwingine wanawake wapo kibao mpaka kero.

Mwanaume unatakiwa uwe mgumu na maamuzi na msimamo.
 
Nilikuwa naona mafala wanaolia na mapenzi

Nilikuwa naona kama wadhaifu au wana roho za kidada!!

Sasa mgumu yamenikuta
Juzi nimemfuma mpenzi na namba za jamaa kitombiii sana hapq mtaani!!

Na nilishasikiaga kama jamaa kapga mademu wote akiwemo huyu mpenzi wangu!!! Nikajua tetesi tu

Tulivoingia kwene mahusiano kanihakikishia niko mwenyewe kwanza mi ndo mpenzi wake wa pili!!

Eeh juzi nimeshika simu yake nikakuta namba imeandikwa jina la yule jamaa nikasala kumuuliza akapanik tukazinguana.

Kila mtu kaenda kivyake!!

Wiki sasa imepta sijamtafuta nimefuta na namba zake !!

Ila naumia aisee !! Kuna namna kanizoesha nai nai ambazo ckua nimezoea!! Sasa najaribu kujiweka busy namsahau sekunde nikikumbuka naaaumia!!! Stress
Kaa zote

Kuna muda nataman anitafute aniombe msamaha yaishe!! ila ndo hivo kanilia buyu

Aisee hamna mgumu mapenzi yanauma
Bro wanawake wa siku hizi usiwachunguze we shukuru upo nae enjoy the moment...

Ukimbembeleza utaharibu just move on
 
Tafuta hela kenge wewe, wanaume wenye pesa hawana muda wa kulialia kwenye mapenzi.

Hela!? Hela? Endelea kujidanganya!!
Nakuambia hivi endelea kujidanganya
Pesa inakupa outer cover ya maisha yako,
Ila ukirudi kwenye hali yako wewe ndio utajua hakuna thamani.
Utanunua magari mazuri,
Utanunua ndege,
Utanunua kila kitu
Ila kunawakati utalala kichwa na akili vitatulia ndio utajua bado kua na mtu unae m feel na yeye akakufeel ni issue nyingine kabisa
 
Nilikuwa naona mafala wanaolia na mapenzi

Nilikuwa naona kama wadhaifu au wana roho za kidada!!

Sasa mgumu yamenikuta
Juzi nimemfuma mpenzi na namba za jamaa kitombiii sana hapq mtaani!!

Na nilishasikiaga kama jamaa kapga mademu wote akiwemo huyu mpenzi wangu!!! Nikajua tetesi tu

Tulivoingia kwene mahusiano kanihakikishia niko mwenyewe kwanza mi ndo mpenzi wake wa pili!!

Eeh juzi nimeshika simu yake nikakuta namba imeandikwa jina la yule jamaa nikasala kumuuliza akapanik tukazinguana.

Kila mtu kaenda kivyake!!

Wiki sasa imepta sijamtafuta nimefuta na namba zake !!

Ila naumia aisee !! Kuna namna kanizoesha nai nai ambazo ckua nimezoea!! Sasa najaribu kujiweka busy namsahau sekunde nikikumbuka naaaumia!!! Stress
Kaa zote

Kuna muda nataman anitafute aniombe msamaha yaishe!! ila ndo hivo kanilia buyu

Aisee hamna mgumu mapenzi yanauma

sio kama usipoandika ndio utaonekana mwamba .
Linapokuja swala la mapenzi sisi sote ni wamoja tu.
Napita kwenye situation kama yako mzee
Tumepishana muda tu
Me naenda wiki ya pili hi

Dah. Mkuu kama wewe aisee. Mimi siku 5 zimepita. Sema mi nikaona isiwe shida nikaanzisha Mawasiliano na msamaha nikaomba mimi ingawa sio kosa langu.

Mwisho wa siku we only live once. Maisha mafupi.

🤣🤣 nicheke kwanza maana wengine tukiandikaga humu tunaonekana maboya haya Sasa umeshikwa panapostahili kushikwa na bado utanyooshwa Bata wewe.. watu wamafumania kabisa we unashika namba tu kelele nyingi hivi!! Tulia wakuchezeshe ngoma ya lidende..😜
Ni udhaifu mkubwa sana mwanaume kuteswa na kulia kisa mapenzi.

Nyie watu mpo very weak emotionally. Inakuwaje mnapenda penda mpaka mnaumizwa na kulia lia? Mbona mimi sipo hivyo wakuu?
 
kuna msela wangu kaachwa na demu sasa nikiwa naongea nae anakuw kama anasinzia hadi namuonea huruma.anazingizia kichwa kinauma.

mimi mapenzi yalinitesa enzi hizo nikiwa form two.

kwa experience niliyoipata mtu akiachwa kwa mara ya kwanza kuna kitu kinakuw kama mgandamizo kichwan huwez kufikir mengine zaid ya mpenz wako.

saiv PESA ndo inanitesa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom