Mapenzi yanauma jamani

Mapenzi yanauma jamani

Kwanini huweki tego ili uwe na amani ndugu, mbona simple fatilia ile thread jinsi ya kuweka tego kwa mke wako
 
sio kama usipoandika ndio utaonekana mwamba .
Linapokuja swala la mapenzi sisi sote ni wamoja tu.
Napita kwenye situation kama yako mzee
Tumepishana muda tu
Me naenda wiki ya pili hi
post kama hii mtu anabonyeza emoj ya kucheka 😂 sio vizuri
 
Dah. Mkuu kama wewe aisee. Mimi siku 5 zimepita. Sema mi nikaona isiwe shida nikaanzisha Mawasiliano na msamaha nikaomba mimi ingawa sio kosa langu.

Mwisho wa siku we only live once. Maisha mafupi.
Anayetandika kitanda hukilalia.
 
Umekwisha atalala na mwingine kama kawaida maana keshajua ushakuwa dhaifu kwake na huna la kumfanya. Mimi nikigundua ameni cheat palepale tunamalizana afuate yake nifuate yangu.
Hahaha tendo linaloitwa mausiano ni changamoto sana na inategemea na ulio nae ana changamoto zipi na umempenda vipi, me binafsi naona msamaha ni kama fimbo inayomkumbusha mtu aripo kosea kweri mapenzi yanauma Ila sometimes sisi hatuko ndani ya mapenzi ya kweri tunaendeshwa na tamaa za mwili ila tuko kwenye mapenzi jina ambayo tunategemea sifa toka Kwa watu.
 
Yani nimesoma comments nimeamini vijana wa kiume wanateswa sana na mapenzi/mahusiano.

Pole sana mkuu ila mapenzi yanauma sana.

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu me pia bado nipo kwenye hali kama yako Ila nimepata dem mpya sawa lakn bado akili yangu ipo kwa yule dem yaan cjui kaniloga maana uyu wa saiv kila ninach hitaj ananipa Ila bado cridhiki namtaka yule wa mwanzo japo yeye kuna alivykuw ananinyima huw naomba mungu aje ata aniombe msamaha basi lkn kakaza saiv tuna siku 4
Mkuu hapo kwenye "kila ninachohitaji ananipa?". Nini hicho unapewa ugenini ambavyo ulikua unanyimwa na ex?

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
 
Nilikuwa naona mafala wanaolia na mapenzi

Nilikuwa naona kama wadhaifu au wana roho za kidada!!

Sasa mgumu yamenikuta. Juzi nimemfuma mpenzi na namba za jamaa kicheche sana hapa mtaani!!

Na nilishasikiaga kama jamaa kapga mademu wote akiwemo huyu mpenzi wangu!!! Nikajua tetesi tu

Tulivoingia kwene mahusiano kanihakikishia niko mwenyewe kwanza mi ndo mpenzi wake wa pili!!

Eeh juzi nimeshika simu yake nikakuta namba imeandikwa jina la yule jamaa nikasala kumuuliza akapanik tukazinguana.

Kila mtu kaenda kivyake!!

Wiki sasa imepta sijamtafuta nimefuta na namba zake !!

Ila naumia aisee !! Kuna namna kanizoesha nai nai ambazo ckua nimezoea!! Sasa najaribu kujiweka busy namsahau sekunde nikikumbuka naaaumia!!! Stress
Kaa zote

Kuna muda nataman anitafute aniombe msamaha yaishe!! ila ndo hivo kanilia buyu

Aisee hamna mgumu mapenzi yanauma
Ni wazi unampenda kuliko anavyo kupenda, na akigundua huu udhaifu ndio atatumia kama fimbo. It's obvious wanaume tupaswa kujitahidi kuficha udhaifu wetu ili mambo yaende. Km ume-prove ana cheat, una uhakika gani hata akirudi hatakucheat tena? Au utakuwa umeshazoea maumivu?

Universal principles ya wanaume km umegundua mwanamke amecheat achana nae kabisa, la huwezi ukubali kushare huyo mwanamke na mwanaume mwenzako b'coz psychologically asilimia kubwa ya wanawake hawacheat kwa tamaa wanakuwa na strong reason behind. Na hakuna ndoa au mapenzi yanayoweza kuwa na amani kama mwanamke anacheat. Ni bora mwanaume acheat maana maumbile yetu yanawasha data for no reason. Baada ya hapo tunapotezea ila sidhani km wanawake wanawasahau kirahisi wanaume waliolala nao hasa akikunwa vizuri.

"Good design doesn't date"
 
Uwe huna pesa af demu akukimbie kwa kuwa huna hela inauma zaidi ya konz la kende
Manzi akinikimbia sababu sina hela siwazi hta kidogo

Ila akinikimbia sababu simfikishi hpo ndo naweza lazwa mahututi kabisa


Nilizaliwa na mbupu sio hela, so zawadi yangu ya thamani ni hilo mbupu.
 
My Experience

Na declare interest huyu baby mama wangu ninampenda sana. Mwanzoni wa uhusiano wetu tulikuwa tukizinguana hata kama yeye ndio mwenye makosa nilikuwa naomba msamaha mimi. Yeye kuomba msahama ni mzito kweli.

Basi Mungu sio athumani akapata ujauzito. Kama kumjali ndio nilizidisha mara 100. Yaan hapa sikutaka hata kugombana naye kabisa kidogo tu nisamehe hivyo.

Mtoto kazaliwa copy yangu. Ila sijui inatokea nini mwanamke akipata mtoto wako, kibao kimegeuka yaan kwanza hata kama nimezingua na najua nimezingua nakaza yeye ndio anaomba msamaha. Naomba msamaha pale tu ninapoamua kuomba msamaha.

Nimemjengea kuwa nampenda ila akizingua tu naweza sepa vilevile.
 
My Experience
Na declare interest huyu baby mama wangu ninampenda sana. Mwanzoni wa uhusiano wetu tulikuwa tukizinguana hata kama yeye ndio mwenye makosa nilikuwa naomba msamaha mimi. Yeye kuomba msahama ni mzito kweli.
Basi Mungu sio athumani akapata ujauzito. Kama kumjali ndio nilizidisha mara 100. Yaan hapa sikutaka hata kugombana naye kabisa kidogo tu nisamehe hivyo.
Mtoto kazaliwa copy yangu. Ila sijui inatokea nini mwanamke akipata mtoto wako, kibao kimegeuka yaan kwanza hata kama nimezingua na najua nimezingua nakaza yeye ndio anaomba msamaha. Naomba msamaha pale tu ninapoamua kuomba msamaha. Nimemjengea kuwa nampenda ila akizingua tu naweza sepa vilevile.
Sasa anajua hana pa kwenda
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom