Pole sana mleta uzi,
Mi nakushauri muombe wewe msamaha ili yaishe maana wewe ndio unayeteseka yanini kuzidi kujiumiza??
Hapo inaonekana we ndio umemzimia ila ye anakuchukulia kawaida sanaa

Dogo polee sana!sio kama usipoandika ndio utaonekana mwamba .
Linapokuja swala la mapenzi sisi sote ni wamoja tu.
Napita kwenye situation kama yako mzee
Tumepishana muda tu
Me naenda wiki ya pili hi![]()
Aisee! Ndio moja ya hatua kimahusiano ktk maisha mimi nipo mbioni kuingia hukoAhsante mkuu
Nimeyumba bro
sio kama usipoandika ndio utaonekana mwamba .
Linapokuja swala la mapenzi sisi sote ni wamoja tu.
Napita kwenye situation kama yako mzee
Tumepishana muda tu
Me naenda wiki ya pili hi![]()






mapenzi hayamapenzi haya
Aisee! Ndio moja ya hatua kimahusiano ktk maisha mimi nipo mbioni kuingia huko



Daaah na hapo ndo ulipokosea, si bora ujikaze uumie kisha usahau kuliko kuomba msamaha kwa kosa alilofanya yeye? Hapo umetuliza moto tu, usije kuhisi umelitatua tatizo.Dah. Mkuu kama wewe aisee. Mimi siku 5 zimepita. Sema mi nikaona isiwe shida nikaanzisha Mawasiliano na msamaha nikaomba mimi ingawa sio kosa langu.
Mwisho wa siku we only live once. Maisha mafupi.
Usije ukathubutu mkuu, we umia unavyoumia , unajua baada ya hapo utakuwa sawa kuliko kujishushia heshima yako.Ujue nashindwa kuomba msamaha kwasababu hata sijakosa mm!! Unaombaje msamaha na huna makosa
hiyo namba 4 ikoje1.Epuka kudate na pisi kali zaidj yaani tafuta demu wa kawaida,
2.epuka kusikilizia Sana,ile kitu muda mwingine sex aombe yeye.wengine hushindwa kumtamkia mwanamume ila wewe tengeneza mazingira ili mradi aanze yeye
3.kuwa busy siyo unamtext kila muda mara video call huko wasapu .wakati mwingine subiri akutafute
4.Usikurupuke tengeneza mazingira ya kupendwa na siyo kupenda hapa panawasumbua wengi mno
5.Kuwa mwenye mikato mwanamume wa kweli hawi muongeaji
6.Mpe Hela,mpe pesa,Naaam! Mpatie vitu anavyopendelea![]()
@Kelphin kepo upo iringaAh kwa mkwawa nlipata moja ya maeneo ya mji mwema apo aaaaaah mkuuyule ndio altaka kuniuwa
![]()
PoleeeNaogopa ataniumiza zaid ataona kama mm ndo nimedoda!!
Shida nna kiburi fulan cha ukooo