Amo1
JF-Expert Member
- Aug 6, 2014
- 1,610
- 2,373
Kijana amefuzu kozi sasaKwa lugha ingine amefuzu kinyang’anyiro hiko cha mapenzi

Kijana amefuzu kozi sasaKwa lugha ingine amefuzu kinyang’anyiro hiko cha mapenzi

Pia dawa haitaingia vizuriRelaaaaaax ukijikaza sana sindano itavunjika
Namaanisha ulimpenda...ndio mana ulivyoyumbishwa kidogo tu uliyumba kikweli kweli. Alafu kama mtu hujampenda kweli na akawa analeta mapicha picha unaumia vipi sasa yule ulimpenda yaani ulikamatika.Sio nlikamatwa
Ila n kwakua hua sipendelei kua na mtu zaidi ya mmja
Namaanisha ulimpenda...ndio mana ulivyoyumbishwa kidogo tu uliyumba kikweli kweli. Alafu kama mtu hujampenda kweli na akawa analeta mapicha picha unaumia vipi sasa yule ulimpenda yaani ulikamatika.

Namaanisha ulimpenda...ndio mana ulivyoyumbishwa kidogo tu uliyumba kikweli kweli. Alafu kama mtu hujampenda kweli na akawa analeta mapicha picha unaumia vipi sasa yule ulimpenda yaani ulikamatika.
Mpe Hela,mpe pesa,Naaam! Mpatie vitu anavyopendelea
Pole mzee, sema next time usimsusie demu we pambania Kombe hadi akae kwa line, ona sasa umekuwa single mwenzio huyo anaenda kwa mwingineNilikuwa naona mafala wanaolia na mapenzi
Nilikuwa naona kama wadhaifu au wana roho za kidada!!
Sasa mgumu yamenikuta. Juzi nimemfuma mpenzi na namba za jamaa kicheche sana hapa mtaani!!
Na nilishasikiaga kama jamaa kapga mademu wote akiwemo huyu mpenzi wangu!!! Nikajua tetesi tu
Tulivoingia kwene mahusiano kanihakikishia niko mwenyewe kwanza mi ndo mpenzi wake wa pili!!
Eeh juzi nimeshika simu yake nikakuta namba imeandikwa jina la yule jamaa nikasala kumuuliza akapanik tukazinguana.
Kila mtu kaenda kivyake!!
Wiki sasa imepta sijamtafuta nimefuta na namba zake !!
Ila naumia aisee !! Kuna namna kanizoesha nai nai ambazo ckua nimezoea!! Sasa najaribu kujiweka busy namsahau sekunde nikikumbuka naaaumia!!! Stress
Kaa zote
Kuna muda nataman anitafute aniombe msamaha yaishe!!ila ndo hivo kanilia buyu
Aisee hamna mgumu mapenzi yanauma![]()
Pole sana mkuusio kama usipoandika ndio utaonekana mwamba .
Linapokuja swala la mapenzi sisi sote ni wamoja tu.
Napita kwenye situation kama yako mzee
Tumepishana muda tu
Me naenda wiki ya pili hi![]()
Mwanaume kaumbwa kupenda, so big up! Kwa kupambania penzi lakoDah. Mkuu kama wewe aisee. Mimi siku 5 zimepita. Sema mi nikaona isiwe shida nikaanzisha Mawasiliano na msamaha nikaomba mimi ingawa sio kosa langu.
Mwisho wa siku we only live once. Maisha mafupi.
Kwa hili jibu lako ngoja tuishie hapa.Normal sio completely kama hivyo
Sababu siwez kumpenda single m wakat najua kabisa
Omba tu mzee, hiyo ndiyo common modality ya uendeshaji wa mapenzi hasa kwa walio pendaUjue nashindwa kuomba msamaha kwasababu hata sijakosa mm!! Unaombaje msamaha na huna makosa
hiyo point namba 6, wanawake wengi skuiz ndo zao. Sasa hapo mnakuwa hamna tofauti na wale wauza ngono na wanunua ngono. (Heri wao hawana stress za mapenzi.)1.Epuka kudate na pisi kali zaidj yaani tafuta demu wa kawaida,
2.epuka kusikilizia Sana,ile kitu muda mwingine sex aombe yeye.wengine hushindwa kumtamkia mwanamume ila wewe tengeneza mazingira ili mradi aanze yeye
3.kuwa busy siyo unamtext kila muda mara video call huko wasapu .wakati mwingine subiri akutafute
4.Usikurupuke tengeneza mazingira ya kupendwa na siyo kupenda hapa panawasumbua wengi mno
5.Kuwa mwenye mikato mwanamume wa kweli hawi muongeaji
6.Mpe Hela,mpe pesa,Naaam! Mpatie vitu anavyopendelea![]()
Hahah pole mzee aya makitu yanauma aisee ata uwe kicheche aje lkn unaempenda aki shake lazima usheki na wwNilikuwa naona mafala wanaolia na mapenzi
Nilikuwa naona kama wadhaifu au wana roho za kidada!!
Sasa mgumu yamenikuta. Juzi nimemfuma mpenzi na namba za jamaa kicheche sana hapa mtaani!!
Na nilishasikiaga kama jamaa kapga mademu wote akiwemo huyu mpenzi wangu!!! Nikajua tetesi tu
Tulivoingia kwene mahusiano kanihakikishia niko mwenyewe kwanza mi ndo mpenzi wake wa pili!!
Eeh juzi nimeshika simu yake nikakuta namba imeandikwa jina la yule jamaa nikasala kumuuliza akapanik tukazinguana.
Kila mtu kaenda kivyake!!
Wiki sasa imepta sijamtafuta nimefuta na namba zake !!
Ila naumia aisee !! Kuna namna kanizoesha nai nai ambazo ckua nimezoea!! Sasa najaribu kujiweka busy namsahau sekunde nikikumbuka naaaumia!!! Stress
Kaa zote
Kuna muda nataman anitafute aniombe msamaha yaishe!!ila ndo hivo kanilia buyu
Aisee hamna mgumu mapenzi yanauma![]()

subir wakuonesheU love girls eesubir wakuoneshe

Uchungu wa nyanya chungu ndiyo utamu wake etyHuo ni mwanzo tu ataona mengi sana zaman mapenz ilikuwa ni upofuTulia dawa ikuingie