Strictly Syrup
JF-Expert Member
- Aug 4, 2013
- 1,227
- 1,821
Nije tusali rozari?!Bora sisi masister
Nije tusali rozari?!Bora sisi masister
Pandora's Boks...,Sanduku la Pandora. Hukuisoma hiyo Hadithi Mkuu?Hii picha Ina maana gani
huo ndo uanaume, hao wa kulilia kama wanawake ni aina ya kina delicious.Mimi sijawahi kuwa na fake love na sijawahi kuwa na parallel relationships hata siku moja. Nikipenda napenda kwa dhati lakini huwa sizinguliwi mkuu.
Lijendarinicheke kwanza maana wengine tukiandikaga humu tunaonekana maboya haya Sasa umeshikwa panapostahili kushikwa na bado utanyooshwa Bata wewe.. watu wamafumania kabisa we unashika namba tu kelele nyingi hivi!! Tulia wakuchezeshe ngoma ya lidende..
![]()




Yakikukuta hata hizo pesa hazikusaidii. Ila mzitafute sana jamani maana tunazihitaji.Tafuta hela kenge wewe, wanaume wenye pesa hawana muda wa kulialia kwenye mapenzi.
Haya mambo hayana fomyula hata kidogo kwa sababu Homo Sapiens ni kiumbe mtata mno. Mimi naamini kuchapiwa kuko palepale ndo maana na mimi mpenzi (siyo mke) wa mtu akijichanganya namkanyaga tu...1.Epuka kudate na pisi kali zaidj yaani tafuta demu wa kawaida,
2.epuka kusikilizia Sana,ile kitu muda mwingine sex aombe yeye.wengine hushindwa kumtamkia mwanamume ila wewe tengeneza mazingira ili mradi aanze yeye
3.kuwa busy siyo unamtext kila muda mara video call huko wasapu .wakati mwingine subiri akutafute
4.Usikurupuke tengeneza mazingira ya kupendwa na siyo kupenda hapa panawasumbua wengi mno
5.Kuwa mwenye mikato mwanamume wa kweli hawi muongeaji
6.Mpe Hela,mpe pesa,Naaam! Mpatie vitu anavyopendelea![]()
BroUsiombe msamaha



Kwanini unataka pesa za wanaume wenzako mkuu?Yakikukuta hata hizo pesa hazikusaidii. Ila mzitafute sana jamani maana tunazihitaji.
Weak ni kushindwa ku handle situation kupenda sio weakness bali kushindwa kujidhibiti.Ni udhaifu mkubwa sana mwanaume kuteswa na kulia kisa mapenzi.
Nyie watu mpo very weak emotionally. Inakuwaje mnapenda penda mpaka mnaumizwa na kulia lia? Mbona mimi sipo hivyo wakuu?
Dunia hadaa walimwengu shujaa..😂Lijendari![]()
Ahsante kwa ufafanuziHiyo ndio Pandora box
Ni Moja kati ya ngano za wagiriki wa kale wakielezea jinsi Dunia ilikua sehemu nzuri ya kuishi na hakukuwa na mabaya watu waliishii Kama paradiso Sasa huyo Mwanaume mtunzaji wa Hilo sanduku akanogewa na penzi na kumpa zawadi mwanamke mmoja mrembo apate kutunza Hilo box masharti yake ilikua marufuku kufungua ila kutokana na ukaidi wa mwanamke na Ile roho ya ufukunyuku akalifingua Kwa Siri kumbe ndani zilifungiwa roho za uovu
Ndio hapo sasa Hao wakulungwa wanatoka na kuiletea Dunia balaa!
Hii Hadith inafanana na ya
Adamu & Eve pale Eden eve kula tunda alilokataziwa kimasikhara kimasikhara!
ChutamaNilikuwa naona mafala wanaolia na mapenzi
Nilikuwa naona kama wadhaifu au wana roho za kidada!!
Sasa mgumu yamenikuta
Juzi nimemfuma mpenzi na namba za jamaa kitombiii sana hapq mtaani!!
Na nilishasikiaga kama jamaa kapga mademu wote akiwemo huyu mpenzi wangu!!! Nikajua tetesi tu
Tulivoingia kwene mahusiano kanihakikishia niko mwenyewe kwanza mi ndo mpenzi wake wa pili!!
Eeh juzi nimeshika simu yake nikakuta namba imeandikwa jina la yule jamaa nikasala kumuuliza akapanik tukazinguana.
Kila mtu kaenda kivyake!!
Wiki sasa imepta sijamtafuta nimefuta na namba zake !!
Ila naumia aisee !! Kuna namna kanizoesha nai nai ambazo ckua nimezoea!! Sasa najaribu kujiweka busy namsahau sekunde nikikumbuka naaaumia!!! Stress
Kaa zote
Kuna muda nataman anitafute aniombe msamaha yaishe!!ila ndo hivo kanilia buyu
Aisee hamna mgumu mapenzi yanauma![]()
"Muoshwa huoshwa"Me ndo maana nliona bora nijiunge chama la watendaji na sio ili chama la kulia lia......hapa nmetoka mchapia kidume mwenzang dem wake ambae ni ex wang.....namsaidia majukumu maana yupo mbali na anamtolea mahali.mapenzi konyo
🤣🤣sio kama usipoandika ndio utaonekana mwamba .
Linapokuja swala la mapenzi sisi sote ni wamoja tu.
Napita kwenye situation kama yako mzee
Tumepishana muda tu
Me naenda wiki ya pili hi![]()
Kwamba avue mwingine tuu..🙂Basi muda huu tafuta wa kuzugia ata awe anakupa company kuchat usiku na kuongea.
Ila ilivuka mwezi utakua ndio basi. Bai ze way, there are plenty of fish in the sea!