Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,715
- 11,324
hayo ndo mawazo ya kibavicha au?
Angalia mazingira bwana sometimes watu wanajoke,sasa hapa BAVICHA imefikaje?
hayo ndo mawazo ya kibavicha au?
binafsi sipendi mahusiano ya kugandana wee ka luba, mume wa mtu nzuri sana,..and it may give u a chance to play hard to get with another man
Watu wengine bhana waandika tu bila kushirikisha ubongo. Sasa ukitembea na mme wa mwenzio yeye hatakuwa ameumizwa au. Ulizoea kuumiza wenzio ndio maana umeumizwa!Habari wana jf. Mapenzi ya siku hizi ni majanga mtu anadiriki kukuumiza bila sababu anayokwambia iliyopelekea akuache. Ni afadhari kutembea na mme wa mtu kwa sababu unajua kabisa sio wako.
Wacha ww..mume wa mtu sukari siyo..angalia mwenzako alivyofanywa hapa...alikuwa anatembea na mume wa mtu..mwenye mume alipogundua ili kuwa View attachment 152978ni mwendo wa viwembe tu..
Duh, lugha chafu kama nini! chonde chonde, punguza ghadhabu za nyumbani kwako unapo comment mada za watu. UkiMheshimu usiyemjua utampenda unayemjua.
Jirani...heri ya sikukuu ya pasaka...
Tafuta OMO uisafishe...
Mi sipend mume wa mtu napenda wangu peke yanguu
VALID POINT! MUME WA MTU HAMNA DRAMA NI ALL CARDS ON THE TABLE, papuchi anapata na anaigharamia, wote second hand, hamna anaejiona BETTER THAN THE WORLD OR LARGER THAN LIFE.
PURELY BUSINESS! HIGHLY SEXUAL! Akitaka any empathy, n other illisional feeling he knows where to get them from THE WIFE! Na nyumba ndogo keeps focused on the SEX, mambo za his welfare, kazini, ndugu zake already taken care of by theirs trully THE WIFE. It makes her AN EXPERT IN PLEASING HIM CAUSE SHE HAS JUST ONE JOB, ONLY ONE TO TAKE CARE OF.
Habari wana JF,
Mapenzi ya siku hizi ni majanga mtu anadiriki kukuumiza bila sababu anayokwambia iliyopelekea akuache.
Ni afadhari kutembea na mme wa mtu kwa sababu unajua kabisa sio wako.