Vien
JF-Expert Member
- Mar 6, 2020
- 8,391
- 14,927
Mimi napenda sana kusoma love stories, na kwa hapa JamiiForums nimewahi kusoma stories kadhaa za mapenzi. Lakini kuna story tatu ambazo kwangu mimi nimeziona ni best kabisa.
Hizi ndio top 3 zangu:
1. Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na mwanamke wa ajabu – INSIDER MAN
2. How I Met My Wife – KigaKoyo
3. Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu, Durban South Africa, yalivyotaka kunitoa roho – Konda Msafi
Kwangu mimi hizi ndio best love stories nilizowahi kuzisoma hapa JF. Kuna namna waandishi walivyoweza kusimulia mpaka unajikuta unaendelea kusoma bila kutaka kuacha. 😂❤️
Kama kuna nyingine ambazo mnaona ni kali kama hizi au hata kuzizidi, naomba mtaziongeza hapa ili tuzipitie.