Mapenzi ya now days afadhari kutembea na mme wa mtu

Mapenzi ya now days afadhari kutembea na mme wa mtu

hizi comments kwenye hii threas zimenichekesha sana,,,
 
mtuacheeeeeeeeeeeee na waume zetu jamani.. mbona mnataka kujimilikisha kirahisi hivyo? tukiwaachia muishi nao mtawaweza kweli? mtaweza vaa viatu vyetu?
 
Habari wana JF,

Mapenzi ya siku hizi ni majanga mtu anadiriki kukuumiza bila sababu anayokwambia iliyopelekea akuache.

Ni afadhari kutembea na mme wa mtu kwa sababu unajua kabisa sio wako.

pole sana dada!
 
sikuhizi wanaume wachache mgarasa yamejaa kama mchanga wa bahari
 
mtuacheeeeeeeeeeeee na waume zetu jamani.. mbona mnataka kujimilikisha kirahisi hivyo? tukiwaachia muishi nao mtawaweza kweli? mtaweza vaa viatu vyetu?

Wewe ni mwanamke wa shoka. Nimependa unavyoipigania haki yako katika ndoa.
 
mume wa mtu ndio utapata stress za wivu weeee tafuta wako tu
 
Mwanamume mwenye Akili hawezi kuhudumia nyumba ndogo Zaidi ya kwake...kiukweli lazima nihakikishe nyumbani wana vitu Zaidi ya vile ninavyompa gal friend ....na hata Siku Moja siwezi Kumpa fixed asset MWANAMKE wa nje unless proven Ana mtoto wangu....na Hiyo asset nitampa kwa Jina la mwanangu ati na hati nakaa nayoooo..
Vitu Kama Magari vinavyo depreciate sio ISHu
Kwa hiyo we unahisi uko so smart eenh?! Unahisi wote wanaosahaugi ndoa zao ni wajinga?Wote huzungumza hayo usemayo ila never underestimate the power of mchepuko.
Unaenda kwa mchepuko kula unajua chakula kaunga nini?
Ujinga wa kwanza ni kuwa na mchepuko .Omba Mungu akupe hekima.
 
Back
Top Bottom