Hivi wewe unapinga nini na uanshauri nini?
Hivi huoni kuwa kwa kutembea na mume wa mtu utakuwa unasababisha mtu mwingine wa tatu (mke wa mume utembeaye naye) kuumizwa pia?
Hebu acha kuwa na akili za rejareja kama misukule ya Lumumba, kuna watu nafikiri mmepewa akili kama si za kufanikisha zoezi la kutawaza kinyesi chooni basi itakuwa za kukusaidia kufakamia matonge ya msosi...
definitely not all.. Because, some nuns engaged themselves in sexual promiscuity with some padre, bishops and cardinals, others and some choose to abandon their vows and get married. .. Not all that glitters are gold.i hope youknowhwatimean....
last year in Vatican one nun give birth to a child and she reported to say she didn't know where she got that pregnant.
Who are you to raise your finger and judge your fellow human being??Are you that perfect?or it's because you sin differently than them??Tafakari Chukua Hatua
Habari wana jf.
Mapenzi ya siku hizi ni majanga mtu anadiriki kukuumiza bila sababu anayokwambia iliyopelekea akuache. Ni afadhari kutembea na mme wa mtu kwa sababu unajua kabisa sio wako.
Habari wana jf.
Mapenzi ya siku hizi ni majanga mtu anadiriki kukuumiza bila sababu anayokwambia iliyopelekea akuache. Ni afadhari kutembea na mme wa mtu kwa sababu unajua kabisa sio wako.
Sisi waume za watu ndo pasua kichwa zaidi..mwisho wakupiga simu saa1, ukituma sms usiweke neno "dear" wala sweet wala baby...... na ni dhambi kubwa kutembea na mme/mke wa mtu
Excuse me sir; can you try to tackle my question on stage?
Uzinzi utawaua mnang`ang`ana nao utafikiri chai ya asubuhi kwani mabikira mbona wanaishi au uliambiwa ina tarehe ya ku expire ukiitunza bila kugawa.
Habari wana jf.
Mapenzi ya siku hizi ni majanga mtu anadiriki kukuumiza bila sababu anayokwambia iliyopelekea akuache. Ni afadhari kutembea na mme wa mtu kwa sababu unajua kabisa sio wako.