Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 77,937
- 168,757
Hahahaaaaaa, atakayeona kabanwa sana atashukaa.......Halafu wanasema cha mtu huliwa na mtu, chuma ndo huliwa na kutuuuu.........!
Ni kubanana hapohapo tu
Hahahaaaaaa, atakayeona kabanwa sana atashukaa.......Halafu wanasema cha mtu huliwa na mtu, chuma ndo huliwa na kutuuuu.........!
Ndiyo maana nakupenda, huna unafiki unasema kweli tupu. Hata definition ya Prostitution inadai A has something B wants and B has what A wants, they meet and trade. (A has mpunga and B has papuchi). Karibu NjinjoVALID POINT! MUME WA MTU HAMNA DRAMA NI ALL CARDS ON THE TABLE, papuchi anapata na anaigharamia, wote second hand, hamna anaejiona BETTER THAN THE WORLD OR LARGER THAN LIFE.
PURELY BUSINESS! HIGHLY SEXUAL! Akitaka any empathy, n other illisional feeling he knows where to get them from THE WIFE! Na nyumba ndogo keeps focused on the SEX, mambo za his welfare, kazini, ndugu zake already taken care of by theirs trully THE WIFE. It makes her AN EXPERT IN PLEASING HIM CAUSE SHE HAS JUST ONE JOB, ONLY ONE TO TAKE CARE OF.
Hapana, inasemekana Mke wa mtu SUMU na mme wa mtu mtamu.Mme wa mtu sumu
Abiria chunga mzigo wako. Mtoto usicheze mbali unga roboNi kubanana hapohapo tu
kabisa Evelyn wacha wakasirike tuWanaume wenyewe wachache hawa, si tutoe wapi sasa tuumbe wetu?
tutabanana hapo hapo
kabisa Evelyn wacha wakasirike tu
Wanakasirika sahivi tu kwani nao si walibanjuliwa nao enzi hizo
wanajidai wamesahauWanakasirika sahivi tu kwani nao si walibanjuliwa nao enzi hizo
Ndo tunawakumbusha kama ifuatavyowanajidai wamesahau
Mi mwenyewe unanitesa kwakweli...Vipi mtoto mzuri, mbona kunitesa mtoto wa mwanamke mwenzio.......!?
Mi mwenyewe unanitesa kwakweli...
Namuongezeaa na Jiki piaa herooooooo
Weye mlimbwende upoooo?
Ni kubanana hapohapo tu
Ntakung'oa menoNa miminm nataka nibananee hapo hapoo kwakoo? ???
Ntakung'oa meno
Changu ni changu, chako ni changu piaSasa mimi nikabanane wapii sasa wakati mmesema tubananee popotee alaa acha uchoyoo we sogeaa nami nikaee
Changu ni changu, chako ni changu pia
Nipo niende wapiii mieee,za pasakaaa
Nilidhani umerudi Umangani kuchimba wese...
Za Pasaka njema kabisa nimekumisoooo