Mapenzi ya now days afadhari kutembea na mme wa mtu

Mapenzi ya now days afadhari kutembea na mme wa mtu

Mwili hauokoki mkuu, roho ndio inaokoka! Mwili ni dhaifu hata bible inasema

Shem shem shem.. Mbona kimya kimya hta hatuambizani aiseee.... Nimeamini asiyekuwepo machoni na moyoni hayupo!!!

Kila la heri...
 
ulivyo na akili ndogo unadhan mume wa mtu ndio safe zone.! Usipojiongeza utaishia kuto..m.bwa sanaa hadi uamke mashavu ya papuchi yashapotea.!
 
Habari wana jf.

Mapenzi ya siku hizi ni majanga mtu anadiriki kukuumiza bila sababu anayokwambia iliyopelekea akuache. Ni afadhari kutembea na mme wa mtu kwa sababu unajua kabisa sio wako.

Waume za watu ni sumu kama walivyo wake za watu. Acha kabisa hayo mawazo waweza kumwagiwa maji ya moto.
 
ulivyo na akili ndogo unadhan mume wa mtu ndio safe zone.! Usipojiongeza utaishia kuto..m.bwa sanaa hadi uamke mashavu ya papuchi yashapotea.!
 
Habari wana jf.

Mapenzi ya siku hizi ni majanga mtu anadiriki kukuumiza bila sababu anayokwambia iliyopelekea akuache. Ni afadhari kutembea na mme wa mtu kwa sababu unajua kabisa sio wako.

We waogopa kuumizwa lakini waona ni afadhali umuumize mwanamke mwenzio kwa kutembe na mmewe.
 
Habari wana jf.

Mapenzi ya siku hizi ni majanga mtu anadiriki kukuumiza bila sababu anayokwambia iliyopelekea akuache. Ni afadhari kutembea na mme wa mtu kwa sababu unajua kabisa sio wako.

Naunga mikono na miguu more than 100%
 
Mwili hauokoki mkuu, roho ndio inaokoka! Mwili ni dhaifu hata bible inasema

Baibo inatuasa, ..Mwili ni hekali la mungu, unapolinajisi hekalu hili, inamaana kuwa hata na roho nayo inapotea.Ni vizuri tuondoe uchafu katika mahekalu yetu kama yesu alivyopinduapindua meza kwenye hekalu.
siku zote roho inashindana na mwili na wanaoongozwa na roho hao ndio wana wa mungu.
Tukisema tu mwili ni dhaifu inamaana tuna accept defeat. Tumtazame Yesu kwani hata yeye walimpiga mwili ili abadili msimamo. Anayeipoteza nafsi yake kwaajili ya Yesu ataiokoa.....
ushindni wa kila jambo ni maombi.. hata baba mchungaji Hini anajua............
 
Baibo inatuasa, ..Mwili ni hekali la mungu, unapolinajisi hekalu hili, inamaana kuwa hata na roho nayo inapotea.Ni vizuri tuondoe uchafu katika mahekalu yetu kama yesu alivyopinduapindua meza kwenye hekalu.
siku zote roho inashindana na mwili na wanaoongozwa na roho hao ndio wana wa mungu.
Tukisema tu mwili ni dhaifu inamaana tuna accept defeat. Tumtazame Yesu kwani hata yeye walimpiga mwili ili akufuru. Anayeipoteza nafsi yake kwaajili ya Yesu ataiokoa.....

Mkuu mbona ulikimbia?
 
Who are you to raise your finger and judge your fellow human being??Are you that perfect?or it's because you sin differently than them??Tafakari Chukua Hatua
kama umenifuatilia vizuri, Nilikuwa najibu swali la jerrymsigwa mkuu........
 
Pole shost, wala usihangaike kutafuta mume wa mtu usije ukarogwa bure, njoo nikupe mpenzi wangu....nipm fasta shoga angu.
 
Wazazi wako wamekula hasara, bora ungezaliwa kuku
 
watoto waliozaliwa kutokana na michepuko ndio wana mawazo km yako,umekulia kumuona mama yako akiwa 'side order' unafikiri ukiwa mtu mzima utaona kuna tatizo kweli?????
 
Tembea na mume wa mtu lakini sio wangu,nitakurudisha igunga
 
Back
Top Bottom