Tembea na mume wa mtu lakini sio wangu,nitakurudisha igunga
hayo ndo mawazo ya kibavicha au?Njoo kwangu mie mme wa mtu, ila kupiga simu mwisho saa moja jioni na siku za weekend na sikukuu no kupiga simu mpaka mimi nikupigie,
Utaweza?
teheee tehee
Njoo kwangu mie mme wa mtu, ila kupiga simu mwisho saa moja jioni na siku za weekend na sikukuu no kupiga simu mpaka mimi nikupigie,
Utaweza?
teheee tehee
Hahahaaaa, kizuri kula na wenzio shost, halafu eti wanasema kama wa kwako mtamu watu watamtafuna.
Habari wana jf.
Mapenzi ya siku hizi ni majanga mtu anadiriki kukuumiza bila sababu anayokwambia iliyopelekea akuache. Ni afadhari kutembea na mme wa mtu kwa sababu unajua kabisa sio wako.
watoto waliozaliwa kutokana na michepuko ndio wana mawazo km yako,umekulia kumuona mama yako akiwa 'side order' unafikiri ukiwa mtu mzima utaona kuna tatizo kweli?????
Habari wana jf.
Mapenzi ya siku hizi ni majanga mtu anadiriki kukuumiza bila sababu anayokwambia iliyopelekea akuache. Ni afadhari kutembea na mme wa mtu kwa sababu unajua kabisa sio wako.
VALID POINT! MUME WA MTU HAMNA DRAMA NI ALL CARDS ON THE TABLE, papuchi anapata na anaigharamia, wote second hand, hamna anaejiona BETTER THAN THE WORLD OR LARGER THAN LIFE.
PURELY BUSINESS! HIGHLY SEXUAL! Akitaka any empathy, n other illisional feeling he knows where to get them from THE WIFE! Na nyumba ndogo keeps focused on the SEX, mambo za his welfare, kazini, ndugu zake already taken care of by theirs trully THE WIFE. It makes her AN EXPERT IN PLEASING HIM CAUSE SHE HAS JUST ONE JOB, ONLY ONE TO TAKE CARE OF.

kwani huwezi ishi bila mwanaume?Fanya yako
Wewe unaweza? Bwahahahaaa