Mapenzi ya now days afadhari kutembea na mme wa mtu

Tatizo huyo aliingia ndani na viatu, unatakiwa ukiingia uache viatu njee....Wanaume hasa vijana wa sasa taaabuuuuu...
Tatizo maadili yamebadilikaaa.....Chunguza utabaini muraaa
 
Mmezidi mizinga wenzenu wanaona bora kusepa we kila siku mzinga mtaishia kuchezewa.

Huyu nae kichefu chefu...Mizinga demu unataka alelewe na wenzio wewe usugue tuuu....Pichu anunuliwe na wengine, perfume, deodorant, powder, mafuta ya nywele, dawa, kusuka, nguo, braa, pd...wakununulie wenzio wewe ujue kusugua tuu...Wanaume km wewe lol ...........Mwanaume majukumu...Ukishakuwa na demu yule ndio mkeo wa kumtunza...Tunza mali yako kaka...Mpendezeshe mkeo (Tangazo la Airtel).....Ukiona demu wako amekuwa na kitu kipya km wewe hujui alipopata hela ulizaaa usiwe falaa utaliwaaa ohoooo
 
Habari wana JF,

Mapenzi ya siku hizi ni majanga mtu anadiriki kukuumiza bila sababu anayokwambia iliyopelekea akuache.

Ni afadhari kutembea na mme wa mtu kwa sababu unajua kabisa sio wako.

Inaelekea una kitu kikubwa sana moyoni mwako! Hebu funguka ili wajuvi wa mambo wakusaidie kutua mzigo huo.
 
Huko siwez rudii aisee kushinda ndaniii si ndio ntazidi kua wa baridii halaf mi na wese wapi na wapii unataka niwe cheusiii mangalaa akuuu ,umenimisooo Weka picha nioneee

Picha imeungua...labda nikupe negativu ukasafishe pale kwa Kassim mafoto...
 
Ivi kwenye uislam kuna cha mume wa mtu? Nielewesheni wapendwa maana wengine ukiwaambia kama ni mume wa mtu Wanasema dini inaruhusu
 
Habari wana JF,

Mapenzi ya siku hizi ni majanga mtu anadiriki kukuumiza bila sababu anayokwambia iliyopelekea akuache.

Ni afadhari kutembea na mme wa mtu kwa sababu unajua kabisa sio wako.

Ila mme wa mtu sio sumu ni maziwa.
 
Not everyone.... don't judge people collectively. watu wanaweza kuanguka kwenye dhambi lakini kuna masamaha pia. wako walithabiti..mazingira na life style vinaweza vikamwokoa mtu kutokana na kuepuka dhambi

Yaani wewe umeandika nini hapa juu, UKASAHAU ULICHOKIANDIKA kwenye comment iliyopita.

its not something to do with judging someone but i' am just saying it. i know this sounded weird to others, but am not blaming anyone either, am just a reporter..it damn real.!! sio wote waniitao bwana bwana ....dah dah dah
by their fruit ye shall know em... kama sista anajifungua ni wazi alikuwa ana........Banjuka!!! sio? ama tuseme ni artificial insermination(AI)?..amepandisha kwa chupa
 
Huyu nae kichefu chefu...Mizinga demu unataka alelewe na wenzio wewe usugue tuuu....Pichu anunuliwe na wengine, perfume, deodorant, powder, mafuta ya nywele, dawa, kusuka, nguo, braa, pd...wakununulie wenzio wewe ujue kusugua tuu...Wanaume km wewe lol ...........Mwanaume majukumu...Ukishakuwa na demu yule ndio mkeo wa kumtunza...Tunza mali yako kaka...Mpendezeshe mkeo (Tangazo la Airtel).....Ukiona demu wako amekuwa na kitu kipya km wewe hujui alipopata hela ulizaaa usiwe falaa utaliwaaa ohoooo

Kwani huyo msichana au mke hafanyi kazi mpaka mwanaume amgharamikie? Tatizo ni kuwa hata mwanamke akiwa na mshahara mkubwa ata-demand hela ya salon just because mwanaume yupo! Amazing!
 
mwaku huu nikufumuliwa tuu mnakazi gani vicheche ka nyie
 
Huyu nae kichefu chefu...Mizinga demu unataka alelewe na wenzio wewe usugue tuuu....Pichu anunuliwe na wengine, perfume, deodorant, powder, mafuta ya nywele, dawa, kusuka, nguo, braa, pd...wakununulie wenzio wewe ujue kusugua tuu...Wanaume km wewe lol ...........Mwanaume majukumu...Ukishakuwa na demu yule ndio mkeo wa kumtunza...Tunza mali yako kaka...Mpendezeshe mkeo (Tangazo la Airtel).....Ukiona demu wako amekuwa na kitu kipya km wewe hujui alipopata hela ulizaaa usiwe falaa utaliwaaa ohoooo

Tafuta kaz acha porojo nakuchoka na miznga yako
 
binafsi sipendi mahusiano ya kugandana wee ka luba, mume wa mtu nzuri sana,..and it may give u a chance to play hard to get with another man
je akikuambukiza magonjwa coz yeye ndo anakuwa anaendesha pezi kwasababu ya hela yake.....
 
Habari wana JF,

Mapenzi ya siku hizi ni majanga mtu anadiriki kukuumiza bila sababu anayokwambia iliyopelekea akuache.

Ni afadhari kutembea na mme wa mtu kwa sababu unajua kabisa sio wako.

Sasa hapo siutakuwa una muumiza mwanamke mwenzio au kwako ww hyo haina maana? Alafu jaman duniani hapa tunapita na tuendako ni hukumu sometimes ni vzr kufikiria kwanza yale unayotaka kuyatenda na hasara zake kweny future yako ya milele tusiishi as if hakuna Mungu
 
Yaani wewe umeandika nini hapa juu, UKASAHAU ULICHOKIANDIKA kwenye comment iliyopita.
mkuu mwanzo nili-point a finger kama mfano, but nikasisitiza simjaji mtu. but nilitumia kama reference. i know people can fall into sin but people can also be saved from it.Life is ever changing, just like people do. Today is not the same as tomorrow.
unaweza leo ukawa Padre au Nun kesho ukaacha na kuamua kuoa au kuolewa respectively.
pia ukagundua umefanya makosa ukarudi kwenye uppadre ama usista.
Makwazo hayana budi kutokea ila Yesu ameonya Olewao wawakwazao wadogo, ingelikuwa heri wafungiwe jiwe na kutupwa baharini.
Kwa padre mchungaji ama sista mzinzi kunapelekea kuwakwaza waumini. Lakini kuna haja waumini wakawaombea viongozi wao ili wasianguke kwenye dhambi.
 
Tatizo huyo aliingia ndani na viatu, unatakiwa ukiingia uache viatu njee....Wanaume hasa vijana wa sasa taaabuuuuu...
Tatizo maadili yamebadilikaaa.....Chunguza utabaini muraaa

Mhh next time nitafanya hivyo
 
Back
Top Bottom