Mapenzi: Hatari, Kidogo Niue! Mungu Nisamehe.

Mapenzi: Hatari, Kidogo Niue! Mungu Nisamehe.

Nikwambie ki2 kaka angu?!, kila Adam ana Eva/Hawa wake. Huyo Vane ndo Eva wako, aliemuoa kakosea, mapenz yote yapo kwako. Wew umekosea sana kumfanya vile. Ipo cku utakuja na uzi mwingne kwmb umerudiana nae. Huyo ndo mwanamke wako. Take car.
NB: BENDING OF THE ROAD IS NOT THE END OF THE JOURNEY!!
 
Duh! we jamaa unanifanya nitoke ofisini mida hii...we noma!!!!:frusty::frusty::frusty:

Adhabu yako ushauri wangu usubiri nkiwa kwenye pantoni...:A S 39:

nasubiri Ushauri wako.
 
Nikwambie ki2 kaka angu?!, kila Adam ana Eva/Hawa wake. Huyo Vane ndo Eva wako, aliemuoa kakosea, mapenz yote yapo kwako. Wew umekosea sana kumfanya vile. Ipo cku utakuja na uzi mwingne kwmb umerudiana nae. Huyo ndo mwanamke wako. Take car.
NB: BENDING OF THE ROAD IS NOT THE END OF THE JOURNEY!!

sidhani kama nitaoa mkuu!!

CC: Mkoroshokigoli
 
Last edited by a moderator:
Hahaha kweli watu wanaolewa kuondoa mkosi. sasa fanya ivi inaonekana upo single and available ndo mana she still feel she can possess you kwa hiyo mimi Cynthia nikiwa na akili timamu bila kushurutishwa na mtu kuanzia kesho nitakuja kulala kwako then tutaangalia cha kumfanya mke wa mtu na kama rushwa ya ngono ya iPhone ulichukua uwe tayari kurudisha au unonaje my advice?r
 
Aaiiiiiiiiiii..... Msichezeane mapajaaaaaaaaaa
 
watu kama wewe ndo mnastahili kupigwa manati ya kizungu,unatembea na mke wa mtu hadi unampa mimba?even Heaven cries

Hii ni episode ya tatu ya hii stori,ya kwanza inaitwa alijaribu kujiua kwa ajili yangu,hatahivyo sikumuoa...if m nt mistaken
 
Hahaha kweli watu wanaolewa kuondoa mkosi. sasa fanya ivi inaonekana upo single and available ndo mana she still feel she can possess you kwa hiyo mimi Cynthia nikiwa na akili timamu bila kushurutishwa na mtu kuanzia kesho nitakuja kulala kwako then tutaangalia cha kumfanya mke wa mtu na kama rushwa ya ngono ya iPhone ulichukua uwe tayari kurudisha au unonaje my advice?r

sikuchukua chochote kutoka kwake,
kabegi nilikaacha kwenye gari yake..
 
..mpaka sasa sijui ana hali gani na sijui nitamuepuka vipi huyu naingia home time mbaya kweli kweli, anajua ninapoishi! hapo ninapokaa nimepanga, lakini pia nilikuwa najenga kwangu na nilipanga kuhamia kwangu tarehe 1-1-2014.

Hapo ninapojenga pia anapajua, ila sina uhakika kama anajua nahamia lini.

Wana MMU hebu nisaidie hapo, huyu nimwepuke vipi?
natamani hata kwenda kumwambia mama yake pengine itasaidia..

Simu na laptop????!!!!

Mi nadhani ukamwambie mama wa mume wake!!!
 
Aisee kosea kila kitu usikosee mtu wa kuoa/kuolewa naye.

Mmh nyie msipokuja kuoana sijui!!!
halafu hii true story ni nzuri sana unaweza ukaitengenezea movie aisee ILA pole kwa yaliyokukuta.

Utakuwa mchaga wewe,kama hicho kipigo hukunywa,ungekunywa cjui ingekuwaje kiruuuuu!
 
Aisee!!!

Hahaha kweli watu wanaolewa kuondoa mkosi. sasa fanya ivi inaonekana upo single and available ndo mana she still feel she can possess you kwa hiyo mimi Cynthia nikiwa na akili timamu bila kushurutishwa na mtu kuanzia kesho nitakuja kulala kwako then tutaangalia cha kumfanya mke wa mtu na kama rushwa ya ngono ya iPhone ulichukua uwe tayari kurudisha au unonaje my advice?r
 
You lost me##christina Aguilera##...soundtrack ya hii movie.((people who are meant to be together always find their way in the end)).
 
Mpwa ukiona hivyo ujue mbwa kala mbwa...hii kitu imehamia upande wa pili.

We vipi jamaa,kubali aje kwanza kulala na wewe huyu cynthia hayo ya vitu mtapiga pillow talk!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
...Nilitoka kanisani muda wa saa 6 mchana,
Mawazo yangu yote bado yapo juu ya ahadi ya jumatatu,
Niliwaza sana hadi nikaona kama siku haiendi, nilikaa kwenye kochi
kwa muda wa saa moja hivi,
Kuna mshikaji wangu alikuja pale na tukatoka kwa ajili ya lunch!
Siku mwambia chochote kile juu ya outing niliyokuwa nimepanga kutoka na ex wangu ambaye ni mke
wa mtu.

Tuliingia bar moja hivi na tulikaa sana pale, hadi usiku
tukisindikwa na vinywaji..
Nilirudi home na kujitupa kitandani, pombe kumkichwa
Na usingizi ulinichukua mazima,
Nilishtuka kama saa kumi hivi, kucheki simu kulikuwa na missed calls kama nane hivi
Tatu zikiwa ni za huyu ex wangu na nyingine za watu wengine tu!

Dah nikajaribu kupiga nikaambiwa haipo hewani!!
Basi nikaendelea kulala kwa saa moja tena,
Kutoka Kimara kuja huku Temeke kazini huwa
inanilazimu niamke mapema sana ili niwahi job
Nikaja kazini ila bado akili yangu inawaza juu ya mtoko wa baadae
Huwa tunamaliza kazi saa nane na nusu mchana,
Muda wakufunga ofisi ukafika no any call from my ex...

Wee dogo unatutania eeeh?
Sasa ngoja tuimalizie wenyewe hii story,,,,
Baada ya kama saa moja kupita toka nitoke ofisini nikasikia simu inaita
kuangalia nikakuta namba siijuwi ila baada ya kuitika nikakutana na sauti
nzito ya kiume ikinionya kwamba nisipochunga tabia yangu ya kula vya watu
risasi zipo za kutosha kuninyamanzisha.
...............................
 
Ila usingempiga. Ungemalizana naye kistaarab tu. Kuna mwaka atalipiza hata hivyo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom