Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,234
- 26,754
Hakuna mimba hapo, we ngoja atakuja kuandika mwenyewe hapa...hii stori ndio inakoelekea bi mkubwa
Mtabiri nakuaminia...............kuna kagodoro nimechekaje
Hakuna mimba hapo, we ngoja atakuja kuandika mwenyewe hapa...hii stori ndio inakoelekea bi mkubwa
Uwiiiii!.... Hadi naona aibu kuitikia daah!.. Sijambo lovely dady..... Missing you kwa sana!
wewe umejuaje ? aya nikweli hakuna mimba .
Mtabiri nakuaminia...............kuna kagodoro nimechekaje
n hadithi yetu imeishia hapo nendeni mkalale watoto wangu wazuri Heaven on Earth na sweetlady na wewe kaka yao watu8 hakikisha wameshusha net
A very great story line....itabidi uipeleke bongo movie waigize kabisa....
Ukiwa unapenda kuangalia visa vya Wahindi, hii makitu haiwezi kukupa tabu kutabiri
Mr Rocky haijaisha..mi silali sa hivi hadi iishe banan hadithi yetu imeishia hapo nendeni mkalale watoto wangu wazuri Heaven on Earth na sweetlady na wewe kaka yao watu8 hakikisha wameshusha net
Harakisha bana... Kuna mtu namsimulia hapa, atashangaa kuona siendelei lol
unataka MATUXI eehh!
Harakisha bana... Kuna mtu namsimulia hapa, atashangaa kuona siendelei lol