Mapenzi: Hatari, Kidogo Niue! Mungu Nisamehe.

Tembosa

Tembosa

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2013
Messages
1,920
Likes
1,114
Points
280
Age
37
Tembosa

Tembosa

JF-Expert Member
Joined Nov 11, 2013
1,920 1,114 280
Wana MMU
naomba niendelee kuwaambia mambo magumu yanayoendelea
katika maisha yangu.
Nimekuja ofisini ila sina kazi nyingi leo,

Hivyo nimejikuta nawaza sana juu ya mambo yaliyonitokea...

Kama mtakuwa na kumbukumbu nzuri, kuna siku nilikuja hapa na
uzi wa hii ni suprize au nadanganywa?

Sasa hapa niwape mwendelezo kidogo wa yale yaliyojiri
Nipate walau ushauri wenu zaidi kwani kuanzia mwanzo,
kuna wadau hapa wamenishauri vyema sana!
nianze kuomba radhi kwa wale ambao nitakuwa sijafuata ushauri wao,
Kitu kilichonipelekea kwenye hali yakujaribu kuua!

Ex wangu alivyoniambia ana ujauzito wangu
nilikuwa katika hali ngumu sana,
coz nilimwambia ili nimwamini inabidi amwambie Mume wake
juu ya ujauzito alionao, kwani niliamini kuwa Kabla hajaolewa huyo mume wake
alikuwa anajua kuwa huyu V alikuwa kwenye mahusiano,
na sikupima sana juu ya impact ambazo zingeweza kumtokea.

Kusema kweli moyoni nilifurahi sana baada ya kuambiwa
juu ya ujauzito kuwa wa kwangu,
Ugumu wa kum'bania kutoka nae, kidogo moyoni nilianza kulegea.
Mimba iliniongezea mchecheto hadi nilianza kuwaza
kumrudia hata kama huyo mume wake angemfukuza.

Sasa nilivyomwambia aweke mambo wazi kwa mume wake
Alinikatalia katakata, akaniambia nikumbuke alichoniambia,
aliniambia nikumbuke kuwa ilibidi amdanganye huyo aliyemuoa kuwa
Mimba ni yake ili amuoe, sasa
akibadilika na kumwambia tena siyo yake,
mambo yatamuia vigumu mno,
aliendelea kuniomba niwe mpole na niendelee kuwa karibu nae!
Kwa mustakabali wa damu yangu iliyopo Tumboni mwake.....

Jumapili mida ya saa moja asubuhi alinipigia simu tena kwa namba ya nje(+971-09...........1)
Alikuwa Dubai akaniambia atakuwa Dar jumatatu mchana na akaomba sana jioni yake
Tuonane kwani kuna vitu alikuwa amelinunulia.......
Roho ilinikaba sana ikawa na nafsi mbili, moja usiende nyingine nenda tu!!

Nikiwaza juu ya mimba yake roho ya kubali mkutane ikakuwa zaidi.....
 
chakii

chakii

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Messages
17,021
Likes
14,892
Points
280
chakii

chakii

JF-Expert Member
Joined Sep 15, 2013
17,021 14,892 280
mhhhh,. Pasua kichwa hii!!

Ngoja wazoefu wa haya mambo waje,..
 
ndetichia

ndetichia

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2011
Messages
27,735
Likes
2,006
Points
280
ndetichia

ndetichia

JF-Expert Member
Joined Mar 18, 2011
27,735 2,006 280
mianamake ya kibongo bwana ni kwikwi..
 
Tembosa

Tembosa

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2013
Messages
1,920
Likes
1,114
Points
280
Age
37
Tembosa

Tembosa

JF-Expert Member
Joined Nov 11, 2013
1,920 1,114 280
So niliimwambia nitamjibu baadae kidogo,
Akanisisitizia sana juu ya umuhimu wa sisi kukutana na
kuzungumza na hususani juu ya maisha ya mwanae mtarajiwa,
Shauku ilizidi kuniajaa nyie acheni tu!
Kiume nikamwambia anicheki baada ya nusu saa ntakuwa nshadecide

Hata nusu saa haikupita akawa amepiga tena
wakati huo najiandaa kwenda ibadani,
Nilimuuliza mume wako kwani yuko wapi?
Akaniambia yupo South Africa na atarudi Tz by Tuesday,
Nikamwambia anataka tuonane wapi?
Akasema nichague mimi sehemu ya kukutana, tena ikiwezana for the whole Monday night

Dar nilipata vigugumizi kibao sana na wakati huo huo
Nawaza ni wapi sehemu nzuri tunayoweza kuwa pamoja na kuzungumza kwa kina,
Mawazo yalinipeleka tuende Bagamoyo,
Ila sikujua ni sehemu gani, niliwaza kidogo ila baadae nikamwambie tuende Kibaha,
Kuna sehemu moja tulikuwa tunakutana kipindi tuna date,
Alifurahi nilivyomwambia hiyo sehemu
akanipa time atakayokuwa amefika na akaniambia atafika home
kwake kwanza kuweka baadhi ya mizigo
kwasababu kuna ndugu wa mume wake huwa anakuja kumpokea
mara zote pindi mumewe hayupo.

Nikamwambia haina shida ye aweke tu mambo yake
vyema,
Baada ya mazungumzo yale tuliagana na nikamtaarifu naenda kusali,
Niombee na mimi tena usimsahau na mtoto wetu,
ndiyo kauli aliyoitoa kabla hajakata simu..

Nikaenda zangu kanisani, nasalia pale Kimara.......
 
I

ilisha juniour

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Messages
678
Likes
35
Points
45
I

ilisha juniour

JF-Expert Member
Joined Dec 26, 2012
678 35 45
Weka picha
 
kitali

kitali

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Messages
1,178
Likes
684
Points
280
kitali

kitali

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2012
1,178 684 280
So niliimwambia nitamjibu baadae kidogo,
Akanisisitizia sana juu ya umuhimu wa sisi kukutana na
kuzungumza na hususani juu ya maisha ya mwanae mtarajiwa,
Shauku ilizidi kuniajaa nyie acheni tu!
Kiume nikamwambia anicheki baada ya nusu saa ntakuwa nshadecide

Hata nusu saa haikupita akawa amepiga tena
wakati huo najiandaa kwenda ibadani,
Nilimuuliza mume wako kwani yuko wapi?
Akaniambia yupo South Africa na atarudi Tz by Tuesday,
Nikamwambia anataka tuonane wapi?
Akasema nichague mimi sehemu ya kukutana, tena ikiwezana for the whole Monday night

Dar nilipata vigugumizi kibao sana na wakati huo huo
Nawaza ni wapi sehemu nzuri tunayoweza kuwa pamoja na kuzungumza kwa kina,
Mawazo yalinipeleka tuende Bagamoyo,
Ila sikujua ni sehemu gani, niliwaza kidogo ila baadae nikamwambie tuende Kibaha,
Kuna sehemu moja tulikuwa tunakutana kipindi tuna date,
Alifurahi nilivyomwambia hiyo sehemu
akanipa time atakayokuwa amefika na akaniambia atafika home
kwake kwanza kuweka baadhi ya mizigo
kwasababu kuna ndugu wa mume wake huwa anakuja kumpokea
mara zote pindi mumewe hayupo.

Nikamwambia haina shida ye aweke tu mambo yake
vyema,
Baada ya mazungumzo yale tuliagana na nikamtaarifu naenda kusali,
Niombee na mimi tena usimsahau na mtoto wetu,
ndiyo kauli aliyoitoa kabla hajakata simu..

Nikaenda zangu kanisani, nasalia pale Kimara.......
sa c umalizie hiyo story bwashee
 
data

data

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2011
Messages
19,102
Likes
9,302
Points
280
data

data

JF-Expert Member
Joined Apr 9, 2011
19,102 9,302 280
aahh...kwahyo una bipu bipu habari yako..
 
miss chagga

miss chagga

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2013
Messages
57,572
Likes
31,028
Points
280
miss chagga

miss chagga

JF-Expert Member
Joined Jun 7, 2013
57,572 31,028 280
malizia basi ndo nini? umeazishaje story huku ukijua mda wa lunch unakaribia na auwezi maliza ndo nin?
 
chakii

chakii

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Messages
17,021
Likes
14,892
Points
280
chakii

chakii

JF-Expert Member
Joined Sep 15, 2013
17,021 14,892 280
hii taasisi ya ndoa inakatisha tamaa sana!!
 
Mpemba Mimi

Mpemba Mimi

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2013
Messages
452
Likes
269
Points
80
Mpemba Mimi

Mpemba Mimi

JF-Expert Member
Joined Jul 6, 2013
452 269 80
"Boss" alikuwa amempitia karibu, ilibidi asimame kidogo. Ataendelea tu "Boss" akiondoka.
 
Tembosa

Tembosa

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2013
Messages
1,920
Likes
1,114
Points
280
Age
37
Tembosa

Tembosa

JF-Expert Member
Joined Nov 11, 2013
1,920 1,114 280
...Nilitoka kanisani muda wa saa 6 mchana,
Mawazo yangu yote bado yapo juu ya ahadi ya jumatatu,
Niliwaza sana hadi nikaona kama siku haiendi, nilikaa kwenye kochi
kwa muda wa saa moja hivi,
Kuna mshikaji wangu alikuja pale na tukatoka kwa ajili ya lunch!
Siku mwambia chochote kile juu ya outing niliyokuwa nimepanga kutoka na ex wangu ambaye ni mke
wa mtu.

Tuliingia bar moja hivi na tulikaa sana pale, hadi usiku
tukisindikwa na vinywaji..
Nilirudi home na kujitupa kitandani, pombe kumkichwa
Na usingizi ulinichukua mazima,
Nilishtuka kama saa kumi hivi, kucheki simu kulikuwa na missed calls kama nane hivi
Tatu zikiwa ni za huyu ex wangu na nyingine za watu wengine tu!

Dah nikajaribu kupiga nikaambiwa haipo hewani!!
Basi nikaendelea kulala kwa saa moja tena,
Kutoka Kimara kuja huku Temeke kazini huwa
inanilazimu niamke mapema sana ili niwahi job
Nikaja kazini ila bado akili yangu inawaza juu ya mtoko wa baadae
Huwa tunamaliza kazi saa nane na nusu mchana,
Muda wakufunga ofisi ukafika no any call from my ex...
 
unataka MATUXI eehh!
 
Tyta

Tyta

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2011
Messages
12,824
Likes
2,898
Points
280
Tyta

Tyta

JF-Expert Member
Joined May 21, 2011
12,824 2,898 280
umemaliza au unaendelea?
aahh...kwahyo una bipu bipu habari yako..
malizia basi ndo nini? umeazishaje story huku ukijua mda wa lunch unakaribia na auwezi maliza ndo nin?
"Boss" alikuwa amempitia karibu, ilibidi asimame kidogo. Ataendelea tu "Boss" akiondoka.
hamumjui huyu....
part 1 ni hii...
[h=3]Aliwahi Kujaribu Kujiua Kwa ajili yangu! Na Sikumuoa[/h]part 2 hii hapa..
[h=3]Hii ni Suprize! au Nadanganywa tu?[/h]na sasa...

Forum statistics

Threads 1,252,206
Members 482,043
Posts 29,800,473