Mapenzi: Hatari, Kidogo Niue! Mungu Nisamehe.

..mpaka sasa sijui ana hali gani na sijui nitamuepuka vipi huyu naingia home time mbaya kweli kweli, anajua ninapoishi! hapo ninapokaa nimepanga, lakini pia nilikuwa najenga kwangu na nilipanga kuhamia kwangu tarehe 1-1-2014.

Hapo ninapojenga pia anapajua, ila sina uhakika kama anajua nahamia lini.

Wana MMU hebu nisaidie hapo, huyu nimwepuke vipi?
natamani hata kwenda kumwambia mama yake pengine itasaidia..

plz kanusha na usali kuomba Mungu akipenda uhamie kwako mwakani na sio kujipangia,kuna imani kuwa wanaotajaga tarehe exctly hufariki kabla ya kuifikia hiyo tarehe,sali na uitengue. Nina mifano miwili mpaka sasa.cha pili ukiona inafika mbali na anazidi usumbufu fanya mpango bila kumshirikisha wa kumwambia mume wake kwa siri bila kutaja majina au detail zako,ili amlinde mkewe.nakupongeza maana una hofu ya Mungu ndani mwako
 
Ila usingempiga. Ungemalizana naye kistaarab tu. Kuna mwaka atalipiza hata hivyo.

Nina hasira mbaya sana!
tena ashukuriwe Mungu kwani, sikunywa pombe ule usiku.
kwa sababu mngesikia mengine kwenye matv na maradio!
tena kwa tukio lile natamani kuacha pombe kabisa.
papokuwa ni ngumu kidogo.
 
kwanini ukampiga kaka, huyu mke wa mtu anakupenda kweli ndo maana alitumia njia ambayo hujaipenda. ila i hate kumpiga mwanamke, mungu aniepushe. hivi mtu ulikuwa unamwambia ur my baby, darling,honey, my mumy, my queen etc... leo unamdungua makofi, no one is perfect hata kama alitumia njia ambayo syo sahihi.
 
Mkuu wangu pole sana aisee. Bora hukunywa aisee ila inabidi uwe makini sana kama una mkono mwepesi basi inabidi ujijue mapema na uepuke

kweli mkuu, asante pia kwa mawazo yako mazuri.
 
kwanini ukampiga kaka, huyu mke wa mtu anakupenda kweli ndo maana alitumia njia ambayo hujaipenda. ila i hate kumpiga mwanamke, mungu aniepushe. hivi mtu ulikuwa unamwambia ur my baby, darling,honey, my mumy, my queen etc... leo unamdungua makofi, no one is perfect hata kama alitumia njia ambayo syo sahihi.

Nina hasira mbaya sana!
tena ashukuriwe Mungu kwani, sikunywa pombe ule usiku.
kwa sababu mngesikia mengine kwenye matv na maradio!
tena kwa tukio lile natamani kuacha pombe kabisa.
papokuwa ni ngumu kidogo.
 
Khaaa watu wanaacha nyuchi wengine muda huu wanabebeleza tax bubu impunguzie bei lol
 
Daaah pole sana but inabidi kujicontrol in urself coz pombe sio chai kama huwez ni bora ukawachia wenyewe.....POMBE NOUMA TAFADHALI KUNYWA KISTAARABU.
 
sikuchukua chochote kutoka kwake,
kabegi nilikaacha kwenye gari yake..

Aisee ni mara ya kwanza nasikia mwanaume anakataa kitu alichohongwa na mwanamke tena wa mtu. hii story kaka kama kweli; kama kweli ni ya kweli Mungu akujilie hitaji lako kuu.il a punguza ulabu
 
Tembosa pole sana duh!!!!!!!! lakini ni binti kukosa msimamo na maamuzi tu yanayomsumbua sasa muhimu nikuendelea kumkwepa tu huna namna , kwa sababu hata ukienda kwa mama yake papuchi anatembea nayo vanesa ni ngumu mama kukusaidia 100% na pia usifanye jambo ambalo mumewe atajua, akiachana na mumewe ujue we ndo utakuwa mume sasa,,,
 
Nashukuru sana kwa ushauri wako ndugu

Swala la kuoa mimi naona kama gumu sana,
Nahisi hata huyo nitakayemwoa nitamsumbua sana,
Labda moyo wangu ubadilike kivingine tena!!
Kitu ambacho ni kigumu sana,
 
Aisee ni mara ya kwanza nasikia mwanaume anakataa kitu alichohongwa na mwanamke tena wa mtu. hii story kaka kama kweli; kama kweli ni ya kweli Mungu akujilie hitaji lako kuu.il a punguza ulabu

ujue nimechagua Pombe kama burudisho langu la mwisho....
 
Nashukuru sana kwa ushauri wako ndugu

Swala la kuoa mimi naona kama gumu sana,
Nahisi hata huyo nitakayemwoa nitamsumbua sana,
Labda moyo wangu ubadilike kivingine tena!!
Kitu ambacho ni kigumu sana,

u need to change Tembosa one day u need to have your on family kwa hiyo........... some times you need to start again in order to fly ma dear Tembosa so just do it ok,....! dont be to rigid to your on life be flexible believe every thing happen for a reason that all.........
 
Tembosa naomba uanze kurusha nyavu kwa miss chagga...::joke::
Yote hayo ni kwa sababu upo upo tu bila mtu.... miss chagga, am a match maker najua huyu atakufaa....::joke::
 
Last edited by a moderator:
u need to change Tembosa one day u need to have your on family kwa hiyo........... some times you need to start again in order to fly ma dear Tembosa so just do it ok,....! dont be to rigid to your on life be flexible believe every thing happen for a reason that all.........

I'm not rigid my friend,
Najifunza sana ila mafunzo mengine
Yananifundisha niwe na msimamo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom