Mapenzi: Hatari, Kidogo Niue! Mungu Nisamehe.

Mapenzi: Hatari, Kidogo Niue! Mungu Nisamehe.

...nilivyofika pale nilipo park nilimuuliza ni kwanini unataka kwenda kwangu?

akaniambia tena hajisikii vizuri,
nikamwambia we have to finish ths 1nce for all..
sasa hujisikii vizuri hospital umegoma kwenda, kwangu uliambiwa kuna daktari?

akaniita tena jina langu, akaniambia hivi una moyo wa aje wewe!
Nikamwambia ur the 1st to show betrayal
So u have to blame ur self.
Umeolewa tayari, stop and dont try to trick me again, this time i will kill u for real.

Nikasogeza gari karibu na pale nilipopark yangu.
Nikapiga honi jamaa wakafungua geti,

nikarudi tena rivasi, nikashuka nikamwambia ex wangu, chukua gari yako! sepa kwako, mi nikashuka nikaingia pale nikachukua gari wakati natoka nilimwona Vanie nayeye ameshashuka kwenye gari yake, bado analia!
mi huyo nkasepa zangu!
akawa anapiga simu sipokei.
anatuma msg sijibu.

Ule usiku sikwenda home nikijua angenifuata nyuma, nikaenda kulala kwa jamaa yangu,
Asubuhi ikabidi nianze kufanya mkakati wa kubadilisha namba ya simu.
Na toka jumanne naenda kwangu at mid9t..

We jamaa unakimbia papuchi una akili kweli? Na ntamwambia atakapokukuta sa maana naona urijali unakupa kisogo!let by gone be by gone! Gegedaa
 
..mpaka sasa sijui ana hali gani na sijui nitamuepuka vipi huyu naingia home time mbaya kweli kweli, anajua ninapoishi! hapo ninapokaa nimepanga, lakini pia nilikuwa najenga kwangu na nilipanga kuhamia kwangu tarehe 1-1-2014.

Hapo ninapojenga pia anapajua, ila sina uhakika kama anajua nahamia lini.

Wana MMU hebu nisaidie hapo, huyu nimwepuke vipi?
natamani hata kwenda kumwambia mama yake pengine itasaidia..
 
Nilikuwa na hasira na hasira ziliongezeka mara dufu nikikumbuka maneno
aliyoniambia muda mfupi uliopita, yakuwa hakuwa tayari kubeba mimba ya mumewe kwa wakati ule?

sasa nikamuuliza kwanini aliolewa nae?
Akaniambia mi sikuwa na dalili yoyote ile yakumwoa na yeye umri wake ndiyo unazidi kuwa mkubwa.
Ikabidi tu akubali kuolewa.

Akaanza kuniambia, darling its time for us to make a baby!
Nkamwambia Go!
just go away! idiot.
no i cant go before we ful fil it,

not with me u idiot,
machozi yalianza kunitoka nilikasirika to the maximum!
kosa alilofanya nikunishika tena, nilimzaba kibao kimoja cha hatari,

akaniambia u just kill me! do it, kill me!
nikamweka mtama wa hatari, nahisi shetani alikuwa ameshaniingia akili kwangu.
alilala hapo chini kama dakika mbili hivi nadhani aliangukia kichwa,

akawa analia sana, ila bado sikuwa na huruma! bado nawaza kumfanyia tocharing!!
aliongea kwa huzuni sana, akaniita jina akaniambia umeniumiza kichwa, nasikia maumivu ya kufa.
and if i wil die for u plz take care of my heart
We falla kweli.. Unampiga mwanamke kiasi hivho.. Kama stori hujaitunga. Naweza kukuita --------.
 
...nilivyofika pale nilipo
park nilimuuliza ni kwanini unataka kwenda kwangu?

akaniambia tena hajisikii vizuri,
nikamwambia we have to finish ths 1nce for all..
sasa hujisikii vizuri hospital umegoma kwenda, kwangu uliambiwa kuna
daktari?

akaniita tena jina langu, akaniambia hivi una moyo wa aje wewe!
Nikamwambia ur the 1st to show betrayal
So u have to blame ur self.
Umeolewa tayari, stop and dont try to trick me again, this time i will
kill u for real.

Nikasogeza gari karibu na pale nilipopark yangu.
Nikapiga honi jamaa wakafungua geti,

nikarudi tena rivasi, nikashuka nikamwambia ex wangu, chukua gari yako!
sepa kwako, mi nikashuka nikaingia pale nikachukua gari wakati natoka
nilimwona Vanie nayeye ameshashuka kwenye gari yake, bado analia!
mi huyo nkasepa zangu!
akawa anapiga simu sipokei.
anatuma msg sijibu.

Ule usiku sikwenda home nikijua angenifuata nyuma, nikaenda kulala kwa
jamaa yangu,
Asubuhi ikabidi nianze kufanya mkakati wa kubadilisha namba ya simu.
Na toka jumanne naenda kwangu at mid9t..

***Singing*** This is super storyyyy!
 
..mpaka sasa sijui ana hali gani na sijui nitamuepuka vipi huyu naingia home time mbaya kweli kweli, anajua ninapoishi! hapo ninapokaa nimepanga, lakini pia nilikuwa najenga kwangu na nilipanga kuhamia kwangu tarehe 1-1-2014.

Hapo ninapojenga pia anapajua, ila sina uhakika kama anajua nahamia lini.

Wana MMU hebu nisaidie hapo, huyu nimwepuke vipi?
natamani hata kwenda kumwambia mama yake pengine itasaidia..
Kwa nini upige mwanamke kiasi hicho? Aisee .. Mimi nikikutana na wewe nawea nkakupa mangumi adi uende polisi. Usirudie tena kama ni kweli.
Hata kama kakudanganya si uondoke ama mwambie ukweli. Unampiga ili iweje na si unajua kabisa kuwa kaolewa sasa wivu wa nini?
 
...

Ule usiku sikwenda home nikijua angenifuata nyuma, nikaenda kulala kwa jamaa yangu,
Asubuhi ikabidi nianze kufanya mkakati wa kubadilisha namba ya simu.
Na toka jumanne naenda kwangu at mid9t..

kweli we kauzu hukupiga hata cha farewell!!

hongera kwa kuikimbia zinaa ila hapo ndio atazidi kukupenda zaidi
 
..mpaka sasa sijui ana hali
gani na sijui nitamuepuka vipi huyu naingia home time mbaya kweli
kweli, anajua ninapoishi! hapo ninapokaa nimepanga, lakini pia nilikuwa
najenga kwangu na nilipanga kuhamia kwangu tarehe 1-1-2014.

Hapo ninapojenga pia anapajua, ila sina uhakika kama anajua nahamia
lini.

Wana MMU hebu nisaidie hapo, huyu nimwepuke vipi?
natamani hata kwenda kumwambia mama yake pengine itasaidia..

Sasa mama yake utaenda kumweleza nini wewe Tembosa? Au Story ya kale kagodoro?
 
Last edited by a moderator:
Kwa nini upige mwanamke kiasi hicho? Aisee .. Mimi nikikutana na wewe nawea nkakupa mangumi adi uende polisi. Usirudie tena kama ni kweli.
Hata kama kakudanganya si uondoke ama mwambie ukweli. Unampiga ili iweje na si unajua kabisa kuwa kaolewa sasa wivu wa nini?

Tena mkuu namshukuru huyu huyu Mungu,
kwani sikunywa pombe ule usiku.
mngekuwa mmeyasikia mengine kwenye vyombo vya habari..
 
Tena mkuu namshukuru huyu huyu Mungu,
kwani sikunywa pombe ule usiku.
mngekuwa mmeyasikia mengine kwenye vyombo vya habari..
Mkuu wangu pole sana aisee. Bora hukunywa aisee ila inabidi uwe makini sana kama una mkono mwepesi basi inabidi ujijue mapema na uepuke
 
Shuzi lisilokuhusu wamtafutia nini mjambaji wake?

Mkuu watu nane!
unaweza kushauri la kufanya kama umenielewa, nashangaa sana wengi mnadhani hii ni story ya kutengeneza..
 
Duh! we jamaa unanifanya nitoke ofisini mida hii...we noma!!!!:frusty::frusty::frusty:

Adhabu yako ushauri wangu usubiri nkiwa kwenye pantoni...:A S 39:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom