Mapenzi: Hatari, Kidogo Niue! Mungu Nisamehe.

Mapenzi: Hatari, Kidogo Niue! Mungu Nisamehe.

...Nilitoka kanisani muda wa saa 6 mchana,
Mawazo yangu yote bado yapo juu ya ahadi ya jumatatu,
Niliwaza sana hadi nikaona kama siku haiendi, nilikaa kwenye kochi
kwa muda wa saa moja hivi,
Kuna mshikaji wangu alikuja pale na tukatoka kwa ajili ya lunch!
Siku mwambia chochote kile juu ya outing niliyokuwa nimepanga kutoka na ex wangu ambaye ni mke
wa mtu.

Tuliingia bar moja hivi na tulikaa sana pale, hadi usiku
tukisindikwa na vinywaji..
Nilirudi home na kujitupa kitandani, pombe kumkichwa
Na usingizi ulinichukua mazima,
Nilishtuka kama saa kumi hivi, kucheki simu kulikuwa na missed calls kama nane hivi
Tatu zikiwa ni za huyu ex wangu na nyingine za watu wengine tu!

Dah nikajaribu kupiga nikaambiwa haipo hewani!!
Basi nikaendelea kulala kwa saa moja tena,
Kutoka Kimara kuja huku Temeke kazini huwa
inanilazimu niamke mapema sana ili niwahi job
Nikaja kazini ila bado akili yangu inawaza juu ya mtoko wa baadae
Huwa tunamaliza kazi saa nane na nusu mchana,
Muda wakufunga ofisi ukafika no any call from my ex...

basi ukafa
 
....Ilivyofika mida ya saa Kumi kasoro,
tayari nilikuwa kwenye foleni pale Tazara,
Simu yangu ikaita mara hii kwa namba ya Voda, kupokea
alikuwa ni my ex..
aliniambia kashafika dar ila jana wakati anaondoka
alinipigia simu sikupokea akidhani nishabadili tena mawazo

Niliapologise kuwa simu siku isikia kabisa coz
nilikuwa nimelipuka kidogo, akaniambia hivi hujaacha tu kunywa pombe?
Nikamwambia pombe ndiyo mke wangu mpendwa
Siyo msaliti labda mimi nimsaliti kwa kukosa pesa..

Alinipa report kuwa yeye atapitia njia ya Kinyerezi
kuelekea Mbezi ili kukwepa foleni, nikamwambia haina shida.
Huku upande wangu foleni ilibana sana pia,
Na mimi kabla sijavuka Tazara nilipata wazo
Kuzungukia hiyo njia ya Kinyerezi kukwepa foleni!
Nilifanya hivyo ila nilimwambia Nipo na gari ya ofisini singeweza kwenda
Nayo kibaha, aliniambia kunasehemu nzuri pale mbezi ningepata parking
afu tutumie ya kwake,

Nilimwambia swadakta,
nilifika maeneo ya mbezi mwisho akanielekeza sehemu yakuiacha gari, mida ilikuwa inaenda
kwenye saa kumi na moja hivi.
Na tulikuwa hatujaonana bado alinipa maelekezo kupita simu.
Nilifanikiwa kufika aliponielekeza nikafanya Parking na aliniambia
Niende mbele ya kituo cha daladala(kipya), atanipitia hapo

haikupita kama dakika 30 hivi akawa ameenda kusimama kwa mbele zaidi ya pale
nilipokuwepo alinipigia akaniambia nisogee kwa mbele zaidi
Kuna gari ilikuwa kwa mbele kidogo Harrier nyeupe,
Nilifika na alikua ameshahamia siti ya upande wa pili,
Akaniambia niingie na niendeshe mimi,

Pale siku sema chochote, ila nilichofanya cha kwanza ni kutupia macho tumboni
kwake nione mimba ilikuwa imekuwa kwa kiasi gani,
Niliona katumbo kametuna ila siyo sana,
Nikamwambia inakuwaje unafanya safari za nje ilhali we ni mjamzito?

Akaniambia ndiyo ilikuwa tripu yake ya mwisho na hata safiri tena.
Tuliomgea ongea baadhi ya mambo ila nilionyesha ugumu flani hivi
ili ajue sina furaha yoyote ile kuwa nae wakati ule,
nilikuwa najenga expression ya uongo tu,
moyoni nilikuwa nafurahi hasa nikifikiria juu ya mtoto
atakae zaliwa na niliwaza ni jinsi gani nitakavyomtoa kwenye makucha ya baba yake ambaye ni feki,
Kiukweli nilianza kujiona Baba original hata kabla mtoto hajazaliwa..
Aliniambia tupitie pale Njuweni achukue pesa kidogo CRDB..

Tuliifika tulikokuwa tunaenda kama muda wa saa moja kasoro hivi..

 
watu kama wewe ndo mnastahili kupigwa manati ya kizungu,unatembea na mke wa mtu hadi unampa mimba?even Heaven cries
 
images
 
Daah! Umenikumbusha mwaka jana mwezi kama huu nikiwa ughaibuni hata baridi sikuisikia kwasababu ya CHAI CHUNGU na mjeda wake. naona umefuata nyao zake.
 
...Tuliingia pale hotelini na bahati nzuri
yule mhudumu wa zamu alivyotuona tu alitukumbuka kabisa.
Jamani hongereni sana, alikuwa ameshaiona pete aliyoivaa ex wangu!

Mi hapo nimenuna kimtindo na kuonyesha kismile cha mbali ili yule mhudumu aisgundue
what is going on between us,
yule mhudumu Aliniuliza niwape kile cha siku zote?
nikacheka kidogo!!! hahaah
nikamuuliza hakina mtu?
akaniambia nakutania tu kina mtu,
ila kuna kingine tu hakina mtu na mtakipenda tu..
my ex akamuuliza una uhakika gani kuwa tunalala hapa?

Akasema jamani mlivyokuja jioni yote hii nimefikiri
mtalala, basi jamani karibuni!
mi nikamwambia tunalala dada just give us that room,
mmhh! hapo sawa sasa siyo wifi ananirusha roho.
Tuliingia room, swali kwanza nilimuuliza kwako umesema unaenda wapi?
Na nani mnaishi naye zaidi ya mumeo?
Akaniambia anaishi na mdogo wa mume wake, mfanyakazi wa ndani
Vile vile kuna wadada wawili wa dukani kwake anakaa nao pale,
Akaniambia amewaaga kuwa anaenda nyumbani kusalimia wazazi wake na kuna vitu
amewaleta
so anawapelekea, na hata rudi kwani anamazungumzo marefu na mama yake!!
Ahaa nikamwambia poa,
Niambie sasa!! akaniambia ngoja akanichukulie
zawadi zangu kwanza kabla ya yote,
Nikamwambia fanya na order ya chakula kabisa, kwani nilikuwa nimeshinda
sijala kabisa kwasababu ta mawazo.

Akatoka, with in 10minutes akawa amerudi na kabegi flani ivi.
akaniambia zawadi zako hizi hapa,
kufungua ndani kulikuwa na simu Iphone S5 na laptop Toshiba.
Nikamwambia asante,
pale naangalia angalia ile simu akaniuliza do u like it?
nikamjibu price yake ikoje?
akaniambia i wont tell u, thats my gift to u darling!
Akajidai kinishika kwa nyuma huku anasema i real miss you
Hazikupita dakika nyingi nhudumu alileta chakula,
Nkamwambia aniletee na grants,
Sema hapa my ex alizuia kabisa,
basi nkasema isiwe ishu niletee tuu maji


 
hehehe! wewe unataka sisi wambea tusifanye kazi yoyote leo zaidi ya kusubiria story yako...
unajua tunakazi zingine huku embu maliza story basi. au anzia mwishoni urudi kinyuma nyuma!

Nimeipenda hiyo idea ya kuanzia mwisho
 
Nahisi huyu bwana anataka kuandika story kwa ajili ya Tamthilia.
 
.....Tulikula pale huku tukiongea mawili matatu
Mawazo yangu yote nawaza ntaanzaje kumwambia avue
nguo yake ili niweke sikio tumboni kwake nisikie mapigo ya mwanangu..

Nilijua nikikurupuka kumwambia atajua tayari nishadata,
So nilikuwa mpole sana,
Tukamaliza kula pale akaniambia nenda kaoge sasa
heeh kwani wewe huogi? hapo nikijua ndiyo chance yakuweka sikio tumboni kwake
Akaniambia hapa yeye kashaoga,
alivyofika tu kwake cha kwanza ilikuwa ni kuingia bafuni.

Duh, basi sasa! ila alisema atanipa kampani bafuni
Nikamwambia haina haja.
Nikaenda zangu bafuni ni humo humo room
Sasa huko nikawanatafakari pakuanzia ila nilijua
tu itafika kipindi cha yeye kuvua.

Nikatoka bafuni akawa ananiangalia kwa kurembua
akanyanyuka akaja pale akanikumbatia sana
huku akiniambia i real real miss you and sorry sana kwa yote yaliyotokea
mi hapo sisemi kitu akaanza kunikisss anakiss kila sehemu,
alivyokuwa anakuja mdomoni nafanya kama namkatalia hivi!!
ila bado akawa ananishika shika sana, kuna mara akataka kunivua taulo
nikamzuia,

akasema nini kwani jamani? nkamwambia hatuwezi kufanya chochote while
hatujafanya mazungumzo..
anasema just one then we will talk, nkamwambia im not ready
now, then she asked me what do want kwani?
nkamwambia lets talk,

Nashangaa ananifanyia mashambulizi kibao
ya kimwili wakati yeye bado nguo zake kavaa,
siku taka kabisa kumvua kwa wakati ule
ili ajue ni kwa kiasi gani sijamshobokea,

in ma heart i wa think about her womb only
na kumkata stimu zaidi nilimwambia atulie tuongee na
tutimize lengo la kukutana,
kwangu nilijadai kuwa haikuwa mapenzi!!
ila nilijua kuna wakati tu nitamgegeda ila mpaka aone kuwa niko
imara na asinletee kiburi......
 
Tembosa bado upo na hii mambo...

Nakumbuka juzi kati uliandika kuwa hutaki kabisa kumuona Vane wako na hata mtoko wa Dubai ukautolea nje...

Leo imekuwaje umelainika ghafla bin vuuu hivyo, kumbe ulikuwa sitaki nataka eenh
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom