Mapenzi: Hatari, Kidogo Niue! Mungu Nisamehe.

Ni upambavu wa hali yajuu mtu analala na wanaume wawili atajuaje hiyo mimba ni ya mwanaume
Muwe mnaacha kudanganywa na mtakufa kwa kuiba wake za watu alaaaaaaaa

Naona na wewe bado umedandia..pole!!
 
"and if i wil die for u plz take care of my
heart"

hapa alimaanisha umfanyie operesheni kisha utoe moyo wake ubaki nao?
 
"and if i wil die for u plz take care of my
heart"

hapa alimaanisha umfanyie operesheni kisha utoe moyo wake ubaki nao?

nadhani aliongea kifasihi zaidi..
soma mpaka mwisho then unishauri. mayb u can change something
 
Back
Top Bottom