Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,487
- 96,974
..mpaka sasa sijui ana hali gani na sijui nitamuepuka vipi huyu naingia home time mbaya kweli kweli, anajua ninapoishi! hapo ninapokaa nimepanga, lakini pia nilikuwa najenga kwangu na nilipanga kuhamia kwangu tarehe 1-1-2014.
Hapo ninapojenga pia anapajua, ila sina uhakika kama anajua nahamia lini.
Wana MMU hebu nisaidie hapo, huyu nimwepuke vipi?
natamani hata kwenda kumwambia mama yake pengine itasaidia..
Kwa kifupi hadithi yetu ndo imeishia hapa. Makofi tafazali.
Haya tuambie hadithi hii kakufundisha nani na kakuambia ina maana gani?