Mapenzi: Hatari, Kidogo Niue! Mungu Nisamehe.

Mapenzi: Hatari, Kidogo Niue! Mungu Nisamehe.

hello Tembosa, mi sio mchangiaji sana kwenye jukwaa hili but naamini unahitaji msaada katika hili kama ulivyoomba.

asante sana

Kwanza kabisa naona, you have so many questions which you need answers but apparently you can not get them and this leaves you in fustration and anger which i can bet you display in every sphere of your life.

frustration indeed na suffer sana

It is quite clear to me that this woman is neither good for you nor for her husband unless she undergoes major reconstruction in her heart and soul to become a better human being before she can learn to love someone, something i doubt she is willing to do.

she try much to prove that she is good to me but not so sure,
she took advantage of me been her first man

This woman uses you for her emotional inadequacy and uses you to satisfy her screwed ego.

mungu apitishe hili mbali kwani kama kwa hisia alizokuwa ananionyesha afu iwe nikusatisfy her screwed ego tu!!
itakuwa mbaya sana na atakuwa mwanamke mbaya sana kama unavyosema.

I can bet my bottom shilling that if she leaves her husband and hook up with you, she wiil do to you exacly what she is doing to her husband and even more.

sitaki kabisa nimwachanishe na mumewe, hata kama wataachana basi siyo kupitia mimi

Another thing that i love to tell you is to look at your life style, you seem to have chosen pombe as a substitute for love lost but it appears that pombe is not good for you at all.

thank you sana kwa huu ushauri wako mzuri

You need style up your lifestyle yourself so that you can move on, u deserve to be happy but i can figure from your lifestyle, true happiness is far from sight and you are more likely to hook up with the same kind of women.

i dont have an expectation to have woman in my life again

My advice is avoid this at any cost possible, something you are trying to do and i commend you for that.

thank you for ur good Advice

Make sure the decision you take is not entirely out of emotions so that you dont end up with regrets.
hope what ever i have given you is of help to you and other who are in similar kind of situation.

sure sure i apriciate ur advice. kwa mara nyingine asante tena
 
Hadithi tamu sana bwana Tembosa, ila swali langi ni kwamba hiki ni kisa cha kweli au utunzi wako tu ambao ni mzuri?

Kama ni kisa cha kwali naanza kuona kwamba hapo wote bado mnapendana sema ndo kila mmoja amejikuta kwenye fate tofauti kabisa ila hakuna anayekubali matokeo (hata wewe hapo hujakubali matokeo)

kama vipi adai talaka kwa mumewe muoane muishi kwa amani baas

CC mwallu
 
Last edited by a moderator:
nilikwisha sema humu kuna baadhi ya watu wana ugua aina fulani ya wehu......kama unasali kimara kamsimulie mchungaji wako wille samuel mastai tena usimfiche kuwa unazini na mke wa mtu otherwise yatakupata mabaya zaidi ya uliyonayo
 
Hadithi tamu sana bwana Tembosa, ila swali langi ni kwamba hiki ni kisa cha kweli au utunzi wako tu ambao ni mzuri?

Kama ni kisa cha kwali naanza kuona kwamba hapo wote bado mnapendana sema ndo kila mmoja amejikuta kwenye fate tofauti kabisa ila hakuna anayekubali matokeo (hata wewe hapo hujakubali matokeo)

kama vipi adai talaka kwa mumewe muoane muishi kwa amani baas

CC mwallu

ni kweli kabisa mkuu, sema sijaanzia hapa nilianza kuelezea hili tukio siku nyingi kidogo za nyuma. Tyta know this very well
 
Last edited by a moderator:
nilikwisha sema humu kuna baadhi ya watu wana ugua aina fulani ya wehu......kama unasali kimara kamsimulie mchungaji wako wille samuel mastai tena usimfiche kuwa unazini na mke wa mtu otherwise yatakupata mabaya zaidi ya uliyonayo

Naona umedandia jambo kwa mbele, na hakuna
ulichokijua hapa, hebu niambie ni wapi nilipozini na mke wa mtu?
au hujui maana ya kuzini wewe?
 
...Nilitoka kanisani muda wa saa 6 mchana,
Mawazo yangu yote bado yapo juu ya ahadi ya jumatatu,
Niliwaza sana hadi nikaona kama siku haiendi, nilikaa kwenye kochi
kwa muda wa saa moja hivi,
Kuna mshikaji wangu alikuja pale na tukatoka kwa ajili ya lunch!
Siku mwambia chochote kile juu ya outing niliyokuwa nimepanga kutoka na ex wangu ambaye ni mke
wa mtu.

Tuliingia bar moja hivi na tulikaa sana pale, hadi usiku
tukisindikwa na vinywaji..
Nilirudi home na kujitupa kitandani, pombe kumkichwa
Na usingizi ulinichukua mazima,
Nilishtuka kama saa kumi hivi, kucheki simu kulikuwa na missed calls kama nane hivi
Tatu zikiwa ni za huyu ex wangu na nyingine za watu wengine tu!

Dah nikajaribu kupiga nikaambiwa haipo hewani!!
Basi nikaendelea kulala kwa saa moja tena,
Kutoka Kimara kuja huku Temeke kazini huwa
inanilazimu niamke mapema sana ili niwahi job
Nikaja kazini ila bado akili yangu inawaza juu ya mtoko wa baadae
Huwa tunamaliza kazi saa nane na nusu mchana,
Muda wakufunga ofisi ukafika no any call from my ex...

Ukamtwanga risasi na sasa kalazwa Muhimbili?
 
....Ilivyofika mida ya saa Kumi kasoro,
tayari nilikuwa kwenye foleni pale Tazara,
Simu yangu ikaita mara hii kwa namba ya Voda, kupokea
alikuwa ni my ex..
aliniambia kashafika dar ila jana wakati anaondoka
alinipigia simu sikupokea akidhani nishabadili tena mawazo

Niliapologise kuwa simu siku isikia kabisa coz
nilikuwa nimelipuka kidogo, akaniambia hivi hujaacha tu kunywa pombe?
Nikamwambia pombe ndiyo mke wangu mpendwa
Siyo msaliti labda mimi nimsaliti kwa kukosa pesa..

Alinipa report kuwa yeye atapitia njia ya Kinyerezi
kuelekea Mbezi ili kukwepa foleni, nikamwambia haina shida.
Huku upande wangu foleni ilibana sana pia,
Na mimi kabla sijavuka Tazara nilipata wazo
Kuzungukia hiyo njia ya Kinyerezi kukwepa foleni!
Nilifanya hivyo ila nilimwambia Nipo na gari ya ofisini singeweza kwenda
Nayo kibaha, aliniambia kunasehemu nzuri pale mbezi ningepata parking
afu tutumie ya kwake,

Nilimwambia swadakta,
nilifika maeneo ya mbezi mwisho akanielekeza sehemu yakuiacha gari, mida ilikuwa inaenda
kwenye saa kumi na moja hivi.
Na tulikuwa hatujaonana bado alinipa maelekezo kupita simu.
Nilifanikiwa kufika aliponielekeza nikafanya Parking na aliniambia
Niende mbele ya kituo cha daladala(kipya), atanipitia hapo

haikupita kama dakika 30 hivi akawa ameenda kusimama kwa mbele zaidi ya pale
nilipokuwepo alinipigia akaniambia nisogee kwa mbele zaidi
Kuna gari ilikuwa kwa mbele kidogo Harrier nyeupe,
Nilifika na alikua ameshahamia siti ya upande wa pili,
Akaniambia niingie na niendeshe mimi,

Pale siku sema chochote, ila nilichofanya cha kwanza ni kutupia macho tumboni
kwake nione mimba ilikuwa imekuwa kwa kiasi gani,
Niliona katumbo kametuna ila siyo sana,
Nikamwambia inakuwaje unafanya safari za nje ilhali we ni mjamzito?

Akaniambia ndiyo ilikuwa tripu yake ya mwisho na hata safiri tena.
Tuliomgea ongea baadhi ya mambo ila nilionyesha ugumu flani hivi
ili ajue sina furaha yoyote ile kuwa nae wakati ule,
nilikuwa najenga expression ya uongo tu,
moyoni nilikuwa nafurahi hasa nikifikiria juu ya mtoto
atakae zaliwa na niliwaza ni jinsi gani nitakavyomtoa kwenye makucha ya baba yake ambaye ni feki,
Kiukweli nilianza kujiona Baba original hata kabla mtoto hajazaliwa..
Aliniambia tupitie pale Njuweni achukue pesa kidogo CRDB..

Tuliifika tulikokuwa tunaenda kama muda wa saa moja kasoro hivi..


Ukamparuza risasi ya shingo na sasa kalazwa Tumbi?
 
.....Tulikula pale huku tukiongea mawili matatu
Mawazo yangu yote nawaza ntaanzaje kumwambia avue
nguo yake ili niweke sikio tumboni kwake nisikie mapigo ya mwanangu..

Nilijua nikikurupuka kumwambia atajua tayari nishadata,
So nilikuwa mpole sana,
Tukamaliza kula pale akaniambia nenda kaoge sasa
heeh kwani wewe huogi? hapo nikijua ndiyo chance yakuweka sikio tumboni kwake
Akaniambia hapa yeye kashaoga,
alivyofika tu kwake cha kwanza ilikuwa ni kuingia bafuni.

Duh, basi sasa! ila alisema atanipa kampani bafuni
Nikamwambia haina haja.
Nikaenda zangu bafuni ni humo humo room
Sasa huko nikawanatafakari pakuanzia ila nilijua
tu itafika kipindi cha yeye kuvua.

Nikatoka bafuni akawa ananiangalia kwa kurembua
akanyanyuka akaja pale akanikumbatia sana
huku akiniambia i real real miss you and sorry sana kwa yote yaliyotokea
mi hapo sisemi kitu akaanza kunikisss anakiss kila sehemu,
alivyokuwa anakuja mdomoni nafanya kama namkatalia hivi!!
ila bado akawa ananishika shika sana, kuna mara akataka kunivua taulo
nikamzuia,

akasema nini kwani jamani? nkamwambia hatuwezi kufanya chochote while
hatujafanya mazungumzo..
anasema just one then we will talk, nkamwambia im not ready
now, then she asked me what do want kwani?
nkamwambia lets talk,

Nashangaa ananifanyia mashambulizi kibao
ya kimwili wakati yeye bado nguo zake kavaa,
siku taka kabisa kumvua kwa wakati ule
ili ajue ni kwa kiasi gani sijamshobokea,

in ma heart i wa think about her womb only
na kumkata stimu zaidi nilimwambia atulie tuongee na
tutimize lengo la kukutana,
kwangu nilijadai kuwa haikuwa mapenzi!!
ila nilijua kuna wakati tu nitamgegeda ila mpaka aone kuwa niko
imara na asinletee kiburi......

Ukamparuza na risasi na sasa we uko polisi na yeye kalazwa Tumbi?
 
Tembosa Pole sana kwa mkasa wote:

Maisha ni kupanga na kuchagua. Labda kabla hujamjudge kuwa yeye ni mkosaji sanaaa, hebu vuta picha nyuma , in your relationship did you show any signs of long term commitment au ulikuwa unajirusha bila dalili kuwa she may become your wife.

Pia jiulize what were the communications styles in your affair: mlikuwa so open kushare future prospects -za biashara, kazi , dini etc etc. Wanasema Love and communication are inseparable - so kama hapo nyuma either wewe , yeye au nyote mlilega basi it was a sure remedy to kill your relationshiop. Na kwa haiba ya kibantu wasichana huwa wanasuburi wanaume wawe starters katika communications. Malezi yamedidimiza sana uwezo wa watoto wa kike kuweza kuprobe from their men what the future holds. SO hapa kama mlilega matatizo ya yeye kuolewa bila kupenda yanawez yakawa yamechangiwa na wewe !

Having said that: Kwanza msamehe kwa roho nyeupe - you know what - women are women with all their fantasies and men are men- so objective . SO msamehe na iambie nafsi yako kuwa yametoea ,nimeumia ila lazima nisimame niendelee mbele. Pumzisha akili yako kwa siku kadhaa then mueleze mzazi wake kuwa you were dissapointed , umesamehe na unaendelea na maisha yako. Wala usijiumize kwenda kuonana na huyo dada-let her recover on her own na daima msimamo wako uwe aendelee kuishi na choise yake. Si vyema at this juncture uvunje ndoa yao -Advise her mom amsisitize alinde ndoa yake na aondoe fantasy za kurudi kwako.

Tatu: your hapiness, your future, your fate is upon your hands: Jiambie positive words like "Im passing through hard time but I will come out strong and life will go on" Usiseme sitaoa, au sitapenda au nitakimbilia pombe . Hapo unazidi kujipa sumu kwenye akili yako. Im sure una mambo mengi mazuri sana , kazi yako , elimu ,marafiki, ndugu, vitega uchumu. Honestly all these cant be bad forever because of the four year relationship you had with your ex?
Spend time with things that will bring you comfort - talk to friends, endelea kwenda church, hold on to your hobbies (sports, movies, etc)

Pia--dont fall into a relationship imediately hadi utakapona mind yako iko sober enough.

And as always "Mtegemee Mungu- the Divine healer"
 
kweli kabisa Kaizer..kuliko kuhangaika,waoane tu
Hadithi tamu sana bwana
Tembosa, ila swali langi ni kwamba hiki ni
kisa cha kweli au utunzi wako tu ambao ni mzuri?

Kama ni kisa cha kwali naanza kuona kwamba hapo wote bado mnapendana
sema ndo kila mmoja amejikuta kwenye fate tofauti kabisa ila hakuna
anayekubali matokeo (hata wewe hapo hujakubali matokeo)

kama vipi adai talaka kwa mumewe muoane muishi kwa amani baas

CC mwallu
 
Last edited by a moderator:
Kaombe kazi kwa Shigongo wewe... ndio angle zake hizi
 
Mapenzi yamenivaa naminiko ugenini
Akili imenipaa hata njia siioni
Mapenzi yana hadaa yakweli nawambieni.
 
kweli kabisa Kaizer..kuliko kuhangaika,waoane tu

read between lines ndugu..
huyu dada, ndoa yake ikivurugika kwa ajili yangu.
its will be a family disaster..
 
Last edited by a moderator:
Kwa wadau wote mliopitia hapa kwenye huu uzi

hususani wale wote tuliaoanza pamoja,
leo nimefanikiwa kupata likizo ya siku 28.
Naenda mapumzikoni, ila kabla sijaenda nimepanga kwenda kuonana na Mama Vane jumapili ya kesho kutwa..

halafu nitaondoka jumatatu.
Nitawataarifu kitakachojiri.
I have to do this, kwani
Ninawakati mgumu.
better to tel her mama, maybe anaweza kunisaidia kuongea na mtoto wake kwa ukaribu.
for the sake of her marriage, my life, her life and her husband's life...

ntawajuza what next..
Tyta miss chagga kamusi Mentor watu8 mwaJ njemba fulani Kaizer sweetylady Heaven on Earth Kinyau na
Wanajamvi wote wanaolewa kinachoendelea...
 
Last edited by a moderator:
Kila la kheri! Ila dah namhurumia huyo vane wa watu anavyoteseka juu ya penzi lako!! She real loves u that why anafanya hayo yote! Nadhani alishawishiwa kuolewa na huyo mtu kwa namna moja ama nyingne! anyway ni vema ukae nae mbali kwa sasa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom