Ok pamoja na mama yako na mpenzi wako na mama mkwe wako na bibi zako wote ni MBWA
kumbe na wewe mkali hivyo?
:A S-confused1::A S-confused1:
Ok pamoja na mama yako na mpenzi wako na mama mkwe wako na bibi zako wote ni MBWA
mi nakaa nae mbali,
kwanza najijua mwenyewe, afu sijui huyo mume wake ni waaje
Anahulka zaaje sielewi, so sijajua kama atajua atafanya nini,
Kwasababu kama atakuwa kama mimi najua lazima kuumizana kukubwa kuwepo!
Pili, ujue wazazi wangu na wake wanajuana wanaishi mtaa mmoja
So if any thing bad happen impact yake ni mpaka
Kwenye familia zetu tulizotoka.
lazima niwe makini sana hasa kipindi..
Thank u kwa kunipa moyo!!:smile-big:

C'omon Tembosa, is this all you can say to miss chagga? hem' pangusa vumbi uanze na kifaa hicho...teh! #justKidding
ujue nimechagua Pombe kama burudisho langu la mwisho....
Duh kosa ni moja tu haukumgegeda hapo ndo umetibua mtiririko mzm aaaaarrrgh aya sasa embu ukirudi unu ndani uendelee kwa kutueleza umemtafuta na umemgegeda.
ikiwa hii stori ni ya ukweli kama unavyosema mi nina ushauri wa aina mbili
1. inaonekana huyo mwanamke bado anakupenda, tena anakupenda sana, hicho cha kusingizia mimba ni ili apate sababu ya kukutana na wewe tu, kitu ambacho alifanikiwa japo kusudi lake halikufanikiwa..
na pia inaonyesha wazi na wewe bado unampenda moyoni mwako, na ndio maana ukakubali mialiko yote na pia ulitamani kufanya nae mapenzi (japo hukutaka yeye ajue unampenda/unamtamani, ukaweza kujikausha). ila nikiusoma moyo wako na wake naona wote mnapendana, tena sana..kinachokurudisha wewe nyuma ni kwa sbb yeye sasa ni mke wa mtu tu!!! vinginevyo ungemrudia...
NI BAHATI MABYA SANA huyu dada aliharakisha kuolewa na mtu asiyempenda. hapo hatakaa akafurahia ndoa yake maisha yake yote.. kaolewa na mwingine lakni mapenzi yote yako kwako.. sijui mlikaa kwenye uhusiano kwa muda gani lkn mimi naomba nikulaumu tu wewe kwa sababu kama uhusiano wenu ulifikisha zaidi ya miaka miwili ungetakiwa uonyeshe comitment japo ya kujitambulisha kwa wazazi au kutoa mahari, ili walau yeye aone uko serious. hii ingemfanya yeye asiingie kwenye hiyo ndoa mpya kwani nina hakika binti anakupenda wewe zaidi ya mume wake..
unajua kwa sisi wanawake kuna umri ukifika mtu anahitaji kabisa kuolewa, sasa akitokea mwanaume ambaye yuko serious msichana anaamua kuolewa hivyo hivyo.. yaani kwake hitajio ni kuolewa na akimpata wa kuoa anakubali, mapenzi hufuata baadae.. sasa inavyoonyesha huyu binti hajaona comitment yoyote kwa upande wako na hapo hapo akatokea mtu yuko tayari kumuoa na kwa kuwa yeye alikuwa katika hitajio kubwa la ndoa akaamua kuchukua huyo serious(japo hampendi)..
sasa sijui hiyo ndoa yeynyewe ina muda gani lkn inaonyesha wazi haitadumu kwa jinsi ambavyo mke hana mapenzi na mumewe...
ikiwa moyo wako bado wampenda basi waeza kuacha mambo yaende hivyo, akitaka avunje hiyo ndoa yake ili wewe uwe free kumchukua jumla.usitembee nae akiwa mke wa mtu..akitaka avunje ndoa kwanza...ushauri huu uuchukue kwa kuutazama moyo wako kama bado wampenda sana...na kama wewe unaona moyo wako unamuhitaji na kwamba mtakuwa couples wazuri baadae...chalenge yake kubwa ni kuvunja ndoa na hujui huyo mumewe atachukuliaje..
2. usahuri wa pili ni kuwa kama hutaki tena mahusiano naye ya aina yeyote basi wala usibadilishe laini ya simu wala nini, tafuta mwanamke, usikae single.. na kama yupo unayempenda basi oa mara moja na uwe karibu ya mke wako mpya.. hapo utamfanya akose nguvu na akate tamaa...ila hapa angalia na wewe usije kufanya makosa kama yake kwa kuoa usiyempenda maana ukioa usiyempenda utakuja kumkumbuka vanesa na mtarudiana kisirisiri..
CHA KUJIFUNZA HAPA KWENYE HUU UZI
kwa wanawake/wasichana- usije fanya kosa la kuolewa na mtu usiyempenda..najua wengi tuna hamu ya kuolewa kiasi kwamba unaamua liwalo na liwe, lkn mwisho wa siku ndio haya ya vanesa..unaishi kwenye ndoa isiyo na furaha..kweli kuolewa kuzuri lkn kuna raha gani km moyo upo nje wakati wewe upo ndani? ni wachahe wenye kupenda baada ya kuolewa,(km aliolewa kwa staili ya vanessa.. lkn km una unayempenda kwa dhati basi msubiri..usimuache halafu badae unamrudia tena(na kwa nn usimrudie wakat moyo ndio kaubeba yeye?). tuwe na subira jamani, haraka zingine hazina baraka..
kwa wanaume/vijana- kama una binti anakupenda na wewe unampenda kwa nini unakaa miaka bila kumuoa? basi peleka hata posa na lipa mahari akuone uko commited..siku zote msichana anapenda kuona vitendo na sio maneno matupu na ndio mana vanesa alipoona huyo mwingine anafanya kweli akamshit jamaa japo alikuwa anampenda sana..
badilikeni vijana usisubiri hadi ujenge nyuma ikamilike, unune gari, ndio uoe..vyote hivyo fanya ukiwa na mkeo..ili mradi kama una kazi basi wewe oa..mwisho wa siku unakosa mke wa maana aliyekupenda kwa dhati mpka yuko radhi kujiua kwa ajili yako kwa sbb ya kuchelewa chelewa na kutokuonyesha usiriazi..

nenda UKATETE na MUME wa huyo ex wako...hapo ndio mzizi wa fitna utakwisha na AKIKUSAMEHE tu mumewe basi na Mwenyezi Mungu pia ATAKUSAMEHE. Bila kukamilisha hilo basi huo ni mtihani utakaokusumbua milele. POLE!